Psychopath Obsession . . .

Hao sio normal, tutawaita domo zege :A S angry:

Steve Dii we mtokee tu, kama nini tuambie tukaseme nae :high5:

... Gaijin, siyo mimi dear. 'Matter of fact naongelea upande wa wanaume zaidi pale ambapo unatokea kupendwa sana na demu lakini wewe unakuwa mtu wa kuuchuna tu. Anakuletea michocolate, mi-rose, ticket za concerts, etc, etc.. but being such a mean guy you don't reciprocate to show a touch of love. And not that you aren't romantic, but you just choose to be mean as opposed to someone's being overly obsessed as described above, i.e. psychopath.
... kweli "umdomo zege" unakuwepo hapa?
... kuna mademu wanakuwa 'madomo zege' au wanakuwa hawajui tu 'kulengeshea'?
 
Last edited by a moderator:

Hapo kweli sio domo zege (mwanamme). Anafanya makusudi, inakuwa ile "apendwae akajua, haachi kujizuzua"

Hata huyo mwanamke nae si domo zege, manake kama kumuonyesha mwanamme kuwa anampenda ameshamuonyesha, sema huyo mwanamme mwenyewe tu kaamua kujitoa fahamu.

Namuonea huruma huyo mtoto wa kike, lazima ajichukie :sick:
 
mmh, japo siijui term ya hiyo kitu, nahisi inahusu saikolojia ya mhusika kutokana na makuzi na malezi.

Sidhani kwamba unachagua tu kuwa 'mean'
kuna sababu hata kama ndogo ndogo zinasababisha mtu kuwa mean.

Ngoja niendelee kutafakari . . .

... Gaijin, siyo mimi dear. 'Matter of fact naongelea upande wa wanaume zaidi pale ambapo unatokea kupendwa sana na demu lakini wewe unakuwa mtu wa kuuchuna tu. Anakuletea michocolate, mi-rose, ticket za concerts, etc, etc.. but being such a mean guy you don't reciprocate to show a touch of love. And not that you aren't romantic, but you just choose to be mean as opposed to someone's being overly obsessed as described above, i.e. psychopath.
... kweli "umdomo zege" unakuwepo hapa?
... kuna mademu wanakuwa 'madomo zege' au wanakuwa hawajui tu 'kulengeshea'?
 
Last edited by a moderator:
Duh! Kongosho umenikumbusha mbali niliwahi kukutana na mtu wa aina hii, nilijuta kumfahamu kwanza alianza kuniacha yeye kumbe alikuwa ana test mi nikakubali matokeo ckujua anapima .baadae nkashangaa mtu anifuatilia kila nnapoenda nakunivurugia kila nilichokuwa nafanya kunitangazia ubaya kila kona.mwisho rafiki yake wa Karibu Akanitonya kwamba mwenzangu hajakubali matokeo ya kuaachana naye! Nkimwambia alitaka mwenyewe tena mwambie is too late. Aliendelea kunifutilia Mwaka mzima mpaka alipojiridhisha kuwa there is way back btwn us. But it was pain in as*y
 
Mh, mmenikumbusha machungu. Nilikutana na mmoja kumbe kanifwatilia siku nyingi anajua home,ofisi na anafahamu watu wengi ninaowafahamu.

Kumbe jamaa pepo. Hasikii haelewi anatuma love sms sio chini ya kumi kwa siku, anapiga simu hata usiku wa manane. Nikimjibu aache ndio kama namkoleza.

Ana namba nyingi za simu nisipopokea anatumia ambayo siijui. Au anapiga napokea halafu haongei hata sipokata hakati simu inakaa tu hewani mpaka vocha yake iishe.

Hatari zaidi kila siku jioni alikuwa ananisubiri getini with a big smile!!

Kuna siku nilijidai aliyepokea simu ni dada yangu, aliipata fresh nikamwambia akiendelea nampeleka polisi. Akatuma sms nikapiga hakupokea. Ndio ikawa mwisho.
 
duh, pole sana.

Kumbe hili jambo limekumba wengi.

tena kuna wengine wanatishia hata kukudhuru kimwilia ama kudhuru watu wa karibu yako.

Duh! Kongosho umenikumbusha mbali niliwahi kukutana na mtu wa aina hii, nilijuta kumfahamu kwanza alianza kuniacha yeye kumbe alikuwa ana test mi nikakubali matokeo ckujua anapima .baadae nkashangaa mtu anifuatilia kila nnapoenda nakunivurugia kila nilichokuwa nafanya kunitangazia ubaya kila kona.mwisho rafiki yake wa Karibu Akanitonya kwamba mwenzangu hajakubali matokeo ya kuaachana naye! Nkimwambia alitaka mwenyewe tena mwambie is too late. Aliendelea kunifutilia Mwaka mzima mpaka alipojiridhisha kuwa there is way back btwn us. But it was pain in as*y
 
Hivi wenye maradhi haya wengi ni wanawake au wanaume?
Thank God sijakutana na mwanamke wa aina hii!
 
sijajua victim wengi ni wanawake ama wanamme.

Ila kwa maisha ya kitanzania ama kiafrika, uwezekano wa wanawake kuwa wahanga ni mkubwa kuliko ule wa wanamme.

Zamani wanawake walikuwa hawaonesho kama na wao wanapenda hadi kufikia kuwaanza wanamme.

Hata pale ambapo mwanamke ameachwa na mwanamme ilikuwa ni aibu kwa mwanamke kuonesha anamng'ang'ania mwanamme.

Lakini kwa sababu siku hizi wanawake wamewezeshwa, basi wanaweza kuwa wahanga pia.

Hivi wenye maradhi haya wengi ni wanawake au wanaume?
Thank God sijakutana na mwanamke wa aina hii!
 
Kuna filam moja maarufu mno ya kihindi ilikuwa inaitwa Dar
Ni nzuri mno kwa thread hii..
 
Hii hali haijawahi kunitokea kwa mtu wala kufanyiwa na mtu..kwa inavyoonesha ni tatizo kubwa sana, hata usalama wa maisha unaweza kuwa hatihati.
 
Psychopath or sociopath is a person afflicted with a personality disorder characterized by a tendency to commit antisocial and sometimes violent acts and a failure to feel guilt for such acts Also called sociopathpsychopathic adj
psychopathically adv

Hivyo mwnangu Kongosho nadhani concept nzima ya ugonjwa huu umeipata vibaya kiasi cha kuioan akama upendo wa kupindukia.
 
a person with a psychopathic personality, which manifests as amoral and antisocial behavior, lack of ability to love or establish meaningful personal relationships, extreme egocentricity, failure to learn from experience, etc.
 
asante kwa definition ya psychopath.

sio kwamba naona kama upendo wa kupindukia

ila inanitisha hasa nikifikiria kwamba, mabinti wengi hawaandaliwi na wazazi katika masuala ya mapenzi.

Ama hata pale anapokutana na psychopath hawezi sema haraka, wengine hadi wanadhurika.

Nadhani tukijadili hili, na sie kuelewa tunaweza elimisha wanaotuzunguka.

Psychopath or sociopath is a person afflicted with a personality disorder characterized by a tendency to commit antisocial and sometimes violent acts and a failure to feel guilt for such acts Also called sociopathpsychopathic adj
psychopathically adv

Hivyo mwnangu Kongosho nadhani concept nzima ya ugonjwa huu umeipata vibaya kiasi cha kuioan akama upendo wa kupindukia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom