Psychopath Obsession . . .

Psychopath Obsession . . .

umeona eeh! ndo maana mimi naamini sana katika break baada ya kuachana na mpenzi..... break inasaidia sana kujitambua kabla hujajishtukia umejaza treni, lol!


Nakubaliana na wewe....

Baada ya kuachana na mtu, ni jambo la muhimu sana kutulia na kubalance mahesabu....

Inasaidia kurudi kwenye akili ya kawaida kabla ya kuandaa shambulizi jingine..

It worked for me miaka hiyo ya ujana wangu!!

Babu DC!!
 
Kumbe alikufanyia upuuzi na kukuumiza....?

Hebu piga chini huyo mtu ili akatafute msaada somewhere else...

Labda kujua kuwa unamwonea huruma ndo maana anakimbizana na mikono yako kama fisi, hoping kwamba one day mmoja unaweza kudondoka auokote!!

Ningekuwa mie, tungeshamalizana long time!

Babu DC!!
babu huyu jamaa alinifanya nione wakaka ni watu wabaya sana.....usiulize nilikuwa namwangaliaje babangu kipindi hicho, angejua naona angenipa radhi, lol!
kwanza alikuwa my first love...... mtu ambaye kila mtu anayetuzunguka anajua nini kinaendelea kati yetu (including wazazi wetu). usiniulize kilitokea nini..... ila kesi yake ilishindikana kabisa kusuluhishwa..... alikuwa na aunt yake sister wa kanisani, alinisihi sana na kufanya novena haya yapite, ilishindikana..... nilichowaambia tu ni kwamba nimemsamehe na kama atataka kuwa rafiki yangu tutakuwa hivyo, siyo zaidi ya hapo
 
babu sasa wewe hutoi msaada, unazidi kuua kabisaaaaa. unafikiri kama anaweza kupita hapa si atajisikia vibaya.....
kwanza tuache kumzungumzia, lol! Kongosho mada ilikuwa inahusu nini vile?

Hapa umenitisha mkubwa mwenzangu.....

Ila nakuelewa....Sitii neno tena!!

Ukiona hivyo ujue kidonda hakijapona.

Bahati nzuri ni mwanamme anaweza kuoa anytime, imagine angekuwa mwanamke athari yake ingekuwa kubwa vipi?

Kuna mahali nilisema labda anasumbuliwa na EGO. Lakini miaka 13 pia ni kitu cha kuleta hofu.

mawazo mabaya yananijia sometimes;
Asije akajifunzia hapo u-serial killer, anasubiri nini? Hadi lini? Nini kinampa nguvu ya kusubiri?

Huo ndio ulikuwa wasi wasi wangu....

Na hapa umepresent mawazo ya babu kama mtu mwenye heshima zake kabisa...!!

Kumbe bhange zikikuachia unakuwa mtu.....Basi uachane nazo!

he he he, asante kwa kujali

topik ya leo ni konsonat za MMu

Hapo sasa.......

Hawa ma-Ex hawa......

Nawaogopa kama ukoma wallah....Unaweza kuhisi kwamba bora ukutane na green mamba!!

huwezi amini babu, ni mchapa kazi mzuri na anamaendelea yak mazuri sana.
si mtu ambaye anaweza kukosa mtu wa kumuoa........ kiufupi jamaa yupo fresh

Sasa kinachomzuia kupata mwenzi wake nini??

Something is wrong with him bwana.....!!

Kwani yeye ndiye wa kwanza kuachwa?

Babu DC!!!
 
Nakubaliana na wewe....

Baada ya kuachana na mtu, ni jambo la muhimu sana kutulia na kubalance mahesabu....

Inasaidia kurudi kwenye akili ya kawaida kabla ya kuandaa shambulizi jingine..

It worked for me miaka hiyo ya ujana wangu!!

Babu DC!!
yeah.....haya mambo ya kuhamahama unajishtukia umechukua hasira za huku umepeleka kwa mwingine, basi inakuwa shida tupu
 
the same, piga chini hata jina nadelete kwenye medula.

Nakumbuka wakati najifunza haya makitu, ujanani sana kuna kimjamaa kiliingia mitini.

Mie sikujua hata sababu ya kuachwa, by that time alikuwa 'hot' kwa wasichana mtaani afu mie nilikuwa naonekana 'too old fashioned' kuwa naye. Sijui kama niliumiiia ila i was upset sababu ndio ilikuwa kwa mara ya kwanza nimesema 'yes' kwa mkaka.

Baada ya yeye kusepa, mie nikaendelea na maisha yangu. Tulikuja kutana kama baada ya miaka 6 hivi, akaniambia 'najuuta kukuacha, natamani nirudishe siku nyuma, wee ni mwanamke wa familia'

nilitabasamu tu, tukaongea weee, hata namba ya simu sikumpa. Nikaona kama alikuwa na plan ya kujirudisha kwa kasi, mie kichwani namwambia ppphhhwwweeeww!

Hizo za mtu kumwacha sababu anaona yupo yupo tu, zipo saana.

Kumbe alikufanyia upuuzi na kukuumiza....?

Hebu piga chini huyo mtu ili akatafute msaada somewhere else...

Labda kujua kuwa unamwonea huruma ndo maana anakimbizana na mikono yako kama fisi, hoping kwamba one day mmoja unaweza kudondoka auokote!!

Ningekuwa mie, tungeshamalizana long time!

Babu DC!!
 
yeah.....haya mambo ya kuhamahama unajishtukia umechukua hasira za huku umepeleka kwa mwingine, basi inakuwa shida tupu


Mie nilikaa karibia 3 years and it worked...Ndo maana nikimsikia anajishaua kuniongelesha natamani kumshushia genocide!!
 
babu huyu jamaa alinifanya nione wakaka ni watu wabaya sana.....usiulize nilikuwa namwangaliaje babangu kipindi hicho, angejua naona angenipa radhi, lol!
kwanza alikuwa my first love...... mtu ambaye kila mtu anayetuzunguka anajua nini kinaendelea kati yetu (including wazazi wetu). usiniulize kilitokea nini..... ila kesi yake ilishindikana kabisa kusuluhishwa..... alikuwa na aunt yake sister wa kanisani, alinisihi sana na kufanya novena haya yapite, ilishindikana..... nilichowaambia tu ni kwamba nimemsamehe na kama atataka kuwa rafiki yangu tutakuwa hivyo, siyo zaidi ya hapo

Sasa kwa nini unamwonea huruma??

Mtu ambaye aliamua kupoteza chance hastahili hata kuchekewa....

Anyway, tumeshamaliza mjadala...

Ila napata hasira kiasi kwamba siku nikimwona naweza kumtwanga makofi bure!!

Babu DC!!
 
the same, piga chini hata jina nadelete kwenye medula.

Nakumbuka wakati najifunza haya makitu, ujanani sana kuna kimjamaa kiliingia mitini.

Mie sikujua hata sababu ya kuachwa, by that time alikuwa 'hot' kwa wasichana mtaani afu mie nilikuwa naonekana 'too old fashioned' kuwa naye. Sijui kama niliumiiia ila i was upset sababu ndio ilikuwa kwa mara ya kwanza nimesema 'yes' kwa mkaka.

Baada ya yeye kusepa, mie nikaendelea na maisha yangu. Tulikuja kutana kama baada ya miaka 6 hivi, akaniambia 'najuuta kukuacha, natamani nirudishe siku nyuma, wee ni mwanamke wa familia'

nilitabasamu tu, tukaongea weee, hata namba ya simu sikumpa. Nikaona kama alikuwa na plan ya kujirudisha kwa kasi, mie kichwani namwambia ppphhhwwweeeww!

Hizo za mtu kumwacha sababu anaona yupo yupo tu, zipo saana.

Hao mapimbi siyo wa kuchekea hata kidogo.....

Tena nadhani kama wanawake ndiyo wasumbufu zaidi kwenye hii issue ya kutaka kujirejesha kwenye makoloni...

I hate hawa ma-Ex hadi basi!!

Babu DC!!
 
Moyo kama unalia hata upewe mabilioni ya JK hayasaidii.

Unaweza tamani urudishiwe mtu wako afu muwe mnakula tembele daily.

Chezeiya kupenda wewe.

huwezi amini babu, ni mchapa kazi mzuri na anamaendelea yak mazuri sana.
si mtu ambaye anaweza kukosa mtu wa kumuoa........ kiufupi jamaa yupo fresh
 
Moyo kama unalia hata upewe mabilioni ya JK hayasaidii.

Unaweza tamani urudishiwe mtu wako afu muwe mnakula tembele daily.

Chezeiya kupenda wewe.

Tuishie hapa Konie,

Halafu unajua tulikuwa tujadili first love ya mtu.......hahahahahaahahaahahaaaaa!!

Ni ngumu kumeza ila mazombie ya namna hii yanaweza kuharibu udhu wa mtu!!

Ndiyo maana sitaki kabisa kusikia mtu anajikesha kesha kwangu.........

Nitakufa na tai shingoni ila siyo kukaribisha michwa ndani nyumba yangu ya thamani!


Nendeni mkalale kwa amani ya bwana na mapepo ya mazombie yawaachie....

Naona hata wewe linakuandama...lol!!

Babu DC!!
 
ha ha ha, zombie wangu harmless
hasubiri mkono uanguke afu yeye achkue.

Alishakubali matkeo.

Kuhusu kujichekesha mbele ya babu 🙂 🙂
haya mawili yatakulaza salama.

Tuishie hapa Konie,

Halafu unajua tulikuwa tujadili first love ya mtu.......hahahahahaahahaahahaaaaa!!

Ni ngumu kumeza ila mazombie ya namna hii yanaweza kuharibu udhu wa mtu!!

Ndiyo maana sitaki kabisa kusikia mtu anajikesha kesha kwangu.........

Nitakufa na tai shingoni ila siyo kukaribisha michwa ndani nyumba yangu ya thamani!


Nendeni mkalale kwa amani ya bwana na mapepo ya mazombie yawaachie....

Naona hata wewe linakuandama...lol!!

Babu DC!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom