Prove me RIGHT or WRONG....

Nakubaliana na wewe kuwa kwa kiasi kikubwa ni kweli sababu hizi:-


  1. Mara nyingi mtoto wa kike ambaye anaenda club ni kw ushawishi wa aidha rafiki zake, ama ndugu wa karibu (awe wa kike ama kiume) kwenda clubbing. Na akisha enda mara ya kwanza na in the future kusukumwa mwenyewe kutaka kuenda ina maana kisha jua/penda/vutiwa na vitu vyote viambatanavyo na clubbing. Na we know clubbing is not only about music… Hio ni asusa of the real thing.
  2. Akiwa binti anakunywa pombe kwa wizi ina maana anapenda but anajua hairuhusiwi possibility ya kuwa Bk hapo ipo wala minimally… But kama yupo huru to the extent anakunywa kwa raha kabisa akiwa club ina maana kuwa kisha ona kuwa kisha mature… Na nothing makes a gal feel mature kama vile kuingiliwa kimwili iwe na fellow gal or boy.
  3. Binti wa umri mkubwa (yaani mdada tuna rule out kuwa sio BK) BUT kama ni binti mdogo anaenda club, mara nyingi inakuwa kwenda kukutana na boyfriend, kwenda kwa mkumbo (na hawa wadogo wadogo ndio hutongozwa na wanaume ambao ni wakali wa ‘one night stands’ na sababu ni mdogo kushawishika ni mara moja).
  4. Kwa binti yeyote anae fanya clubbing na anakunywa pombe ana nafasi kubwa sana ya kuleweshwa ili akachezewe vyovyote vile na mwanaume alie mnywesha.

Niseme tu ni hatari sana kwa binti/mwanamke asiye jitambua kupenda kuenda clubbing na ni mnywa pombe mzuri, labda uwe independent, na siku zote with a reliable company.
 
hii sijui umeitoa wapi

wengi wanaoenda club huwa wametoroka makwao
na wengu hurudi kabla wazazi wao hawajashtuka

so chance ya ku sex wakiwa out sio kubwa ki vile

but sema huko club wanaweza pata contacts za kuja ku sex nazo
baadae tena wakiwa sober....

nazuungumza from experience.....
 
hii sijui umeitoa wapi

wengi wanaoenda club huwa wametoroka makwao
na wengu hurudi kabla wazazi wao hawajashtuka

so chance ya ku sex wakiwa out sio kubwa ki vile

but sema huko club wanaweza pata contacts za kuja ku sex nazo
baadae tena wakiwa sober....

nazuungumza from experience.....

Boss katika experience yako... Uli note unywaji wa pombe wa hao mabinti? Naomba kama hutajali usema ilikuwepo, ama minimal ama excessive... Take note kasema wanaoenda club na kunywa pombe...
 
Boss katika experience yako... Uli note unywaji wa pombe wa hao mabinti? Naomba kama hutajali usema ilikuwepo, ama minimal ama excessive... Take note kasema wanaoenda club na kunywa pombe...

Da Asha...ili kuthibitisha 'kiSayansi' kuwa kuna association kati ya 'uendaji club na kunywa pombe' na 'kutokuwa na bikra' kwa wasichana inabidi uchunguze makundi mawili...i) wasichana wanywaji pombe na kwenda club...vs...ii) wasichana wasiokunywa pombe wala kwenda club..ambao utawa'match' kwa umri, education, socio-economic status etc...kisha ufanye statistical comparison kwa uwepo/kutowepo bikra...the difference will NOT be significant, na wala hakutakuwa na ushahidi mwingine wa kimazingira kusupport hypothesis yako! Andika proposal uiombee grant ufanye uone..
 
Scientifically...hakuna association yeyote kati ya 'kwenda club' na 'kuwa/kutokuwa na bikra'!

scientifically?scientifically ndio dudu gani?scientifically unaweza ku-prove mapenzi yangu kwa mke wangu?nikitizama karatasi ya litmas ya bluu iliyoandikwa jina la mke wangu inageuka nyekundu?????!!!!!!
 
Kuna mambo mengi ambayo ni kweli na hakika lakini ni vigumu sana kuthibitisha....!!
Mimi nasema "hakuna msichana ambaye anakunywa POMBE na kwenda CLUB katika umri wowote ule,,then akawa BIKIRA.....

Ur welcm..

99.9% is absolutely true.
 
Labda kwa kuwa umesema kunywa pombe NA kwenda club, ingekuwa au ningesema baadhi ya catholic nuns wanakunywa pombe and baadhi yao ni virgins.

Lakini pamoja nao, nafikiri kuna frigid girls ambao wanaparty na kuchill lakini they are virgins, au hata lesbians ambao hawatumii dildos
Kaunga kwanini umerejea Catholic? Sisi wakatoliki hatuna unafiki na hata tunakunywa hadharani na tunajiheshimu vile vile. Ungemjibu tuu mtoa hoja kanusho au kukubaliana na hoja yake badala ya kuingiza imani kwenye mjadala. Mfano kule kibosho wanaamini mbege ni kinywaji kama ilivyo soda na watoto hutengewa mgao kama kuna sherehe lakini haimaanishi wanaishia kwenye uasherati baada ya kunywa
 
Last edited by a moderator:
Uwezekano mkubwa hawana bikira LAKINI si Lazima hawana.

Ngumu sana kuongelea maana tabia za binadamu za kijamii hazifanani kama maembe.
Nitoe Ushuhuda hapa?? Au nitatisha wajukuu??
 
of course, hiyo hoja ni sawa na kuuliza kama Rome kuna wakatoliki.pombe na club, wanaenda vijana ambao sa yoyote wanaweza kuathiriwa na peer pressure, na siku hizi wanadanganyana kuwa sex before marriage ni fashion'UZINZI'
 
Pombe zinatabia ya kutia nyege...
Au kama sio pombe kutia nyege moja kwa moja...basi inampa mtu confidence 2 dance with no limit...
During dancing its hard to stop sm1 u dance with 2 tach u lomantic..
Usinibishie kama haujawai kwenda club au ukifika unazimika ukiwa kaunta ya nje...
Sasa afta hzo tach jamani...
Watu wanazungumzia nin sijui...
Pombe +msichana+club...= bikira (its amiracle)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom