Kumbe hakuwa muuzaji

Kumbe hakuwa muuzaji

dawa yenu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
2,833
Reaction score
3,750
Ilikuwa Jumamosi flan ya kutakata sana wiki ya Christmas last year nikiwa na jamaa yangu tukaamua tukale bata "Club La charz." Time hiyo mifukoni tupo sawa kabisa, unyunyu mwingi, scrub za kutosha, wazee tunga'aa tunaufokea umasikini! Ratiba yetu ilikuwa fupi tu pombe sana, nyama nyingi na totoz za maana kwa ajili ya kuzitafuna usiku huo! Full stop!

Watasha tukatinga club. All eyes on us watu wanashangaa. Kwa mbaaaali nakuja kama Jux hivi halafu kwa karibu nakuja kama dawa yenu ! Tukachukua meza, tukavuta viti tukakaa mithili ya jamaa Fulani kutoka ughaibuni! Hatuna haraka Wala Nini! Chap ratiba ikaanza chupa nyingi mezani, nyama za kushato halafu tupo tunapiga macho kuchagua totoz maana zilikuwa nyingi sio mchezo! Muhimu ule kitu roho inapenda sio baadae uje ujilaumu!

Sikutaka mambo mengi, nikachagua miss bantu mmoja nikamleta kati! Napendaga nyama nyingi na kwenye hilo huwa si-compromise halafu mchezoni huwa sizimi taa so Ili nienjoy lazima macho yafurahie yanachokiona. Bila hivyo inakuwa mazoezi tu ya kiuno! Bi dada akasogea kati... Tukaendelea kula kuku na pombe nyingi!

Piga vyombo sana halafu muziki sichezi kwa nguvu najitikisa kimtindo na sifuati biti wala nini kwa maana ni wajibu wa miss bantu kufuata miondoko yangu! Si ni hivyo tu? Kuja kushtuka jamaa yangu simuoni! Nikajua ashachukua totoz yake amepita hivi! Sio kesi!

Nikashika chupa kwa hasira nikamiminia kinywaji mdomoni, nikakisikiliza hadi kimefika kwenye maini kikaanza kuyakaanga! Tutafufuliwa na miili mipya, acha maini yangu yawe mishkaki kitu gani!? Nikashika ile kiuno matata ya miss bantu, akanicheki usoni akagundua muda wa malipo umefika! Wanasema karma is a bitch! Utatafunwa kwa kadri na namna ulivyotafuna!

Huku tunapepesuka hadi nje, bodaboda akaja tukapanda haooooo tukasepa!
Home nafuga paka! Hii detail ni muhimu sana ndio mjue ninaishi nyumbani sio geto! Miss bantu alishangaa home papo decent Sana pamekosa mke tu masikini ya Mungu! Hapo mnara wa babeli umesimama, roho mchafu amenijaa kila nikitazama shundu la miss bantu nasema nipewe nini Mack Muga kwa sauti ya Ali Kiba!

Nikamshika mkono tukazama dimbani, hapo nina feelings za Real Madrid ndani Santiago bernabeu nitamfanya Nini huyu Arsenal? Twende taratibu!

"Sorry baby... ngoja niende kwanza washroom... Nakuja... Mwaaaaa!" Aliniaga miss bantu halafu akanisindikiza na busu mbandiko la mdomoni, mi hoi! Mtoto akapunguza nguo halafu akapunguza tena akabaki na hii kitu wanaita G string akajifunga mtandiko kiunoni halafu kwa mwendo wa ashuo akazianza hatua kwenda msalani!

Unaambiwa mtoto ana tako lainiiiiiiiiii, rangi ya mtume, ananukia kama jini subiani, hipsi zimechomoza yaani pale ndio nilijua katika vitu nimebarikiwa ni kuchagua totoz! Huwa nazingatia fahari ya macho Sana!

Sikumbuki ilikuaje, sijui chochote! Nakumbuka tu niliamka asubuhi kichwa kinauma, mwili hauna nguvu! Nateseka! Pembeni miss bantu hayupo! What??????
Nikirudisha kumbukumbu nakumbuka Kila kitu isipokuwa mzagamuo! Khaa! Unaambiwa nilicheki mafaili Hadi kwenye medula oblangata but no mzagamuo! Ina maana nyama imekula nyama bila yenyewe nyama kuliwa nyama! Why? Why? Why?

Ikabidi nianze kukagua rasilimali zangu kama Kuna chochote kimepungua! Simu ipo, mashuka yapo, viatu, nguo, saa vyote vipo! Mbaya zaidi Hadi nguo zake zipo! Kwa mbali nikawa nasikia sauti ya tv.... Nikapata ahueni kidogo huenda miss bantu Bado yupo kwenye himaya yangu!

Huku napepesuka Hadi sebuleni nakuta bi dada kajilaza kwenye kochi anakunywa chai mdogo mdogo bila kitafunwa! Nikamuangaliaaaaaaaaaa nikamtazamaaaaaaa pale ndio nikajua Nini nyumba imekosa! Imekosa mother figure! Imekosa mmliki! Nikasogea nikaa pembeni!

Miss bantu anatabasamu!
"Unalala Sana bwana mkubwa!" Akaongea huku anaweka kikombe mezani.

"Nilichoka Sana aisee... Vipi mbona chai kavu?"

"Nyumba sio yangu siwezi nikaanza kufunua funua vitu!"

"Aaah usijari Kuna mkate kabatini, chukua ngoja mimi niagize supu"

Ilikuwa siku nzuri kati ya siku nzuri nilizowahi kuziishi! Bi dada aliitawala nyumba na nyumba ikamtii. Akafanya usafi soft Sana akaweka maji bafuni tukaingia kuoga! Humo ilikuwa ni kuchezeana Sana mizagamuo heavy! Alinipa kitu roho inapenda.

Jioni aliondoka huku tukiwa tumezoea Sana! Aliendelea kuja home Kila akiwa free! Hadi akawa my official sweetheart! Nikampa heshima yake! Kumbe hakuwa muuza mbususu kama nilivyokuwa nawaza ni vile tu sometimes maisha yanakupa options ambazo hujawahi kuzifikiria!

So nikaishi nae Sana! Akawa ananitunza Mimi na paka wangu kipenzi!
 
Ilikuwa jumamosi flan ya kutakata sana wiki ya Christmas last year nikiwa na jamaa yangu tukaamua tukale bata "Club La charz." Time hiyo mifukoni tupo sawa kabisa, unyunyu mwingi, scrub za kutosha, wazee tunga'aa tunaufokea umasikini! Ratiba yetu ilikuwa fupi tu pombe sana, nyama nyingi na totoz za maana kwa ajili ya kuzitafuna usiku huo! Full stop!

Uliokota dodo kwenye mnazi
 
Refusha na kunenepesha uume kwa size unayoitaka wewe kwa bei poa tu
Ongeza size na unene wa uume ndani ya muda mfupi tumia
*DAWA HII ILIYOFANYIWA UCHUGUZI NA KUSAIDIA WATU WENGI UNASAFIRIZHIWA NDIPO ULIPE EPUKA MATAPELI
* Ni Dawa asilia ya kuongeza size na unene wa uume wako,inanenepesha na kuongeza ukubwa na urefu wa uume wako kwa muda mfupi, ni dawa isiyo na kemikali, imetengenezwa kwa kutumia virutubisho vya mimea asilia, ni dawa bora inayotumiwa na wengi wameipenda, inarefusha na kunenepesha size ya uume wako kwa haraka ,ni ndani ya siku 5 tu unapata matokeo
JINSI YA KUTUMIA ni rahisi ,unapaka kwenye uume wako baada ya kuoga na kupaka mafuta yako ya lotion au mgando,inauwezo wa kuongeza uume
AGIZA SASA PIGA SIMU!
+255 744393735
Chupa nzima inapatikana kwa Tsh 30'000/= ,pia ukitaka ya kupima kulingana na size unayotaka,mfano ya kuongeza ukubwa wa kuanzia inch 1 ni sh Tsh 20,000/= tu
Agiza utumiwe popote ulio ndani ya Tanzania, mikoani na nje ya nchi tunatumaa
 
Thread ni ndefu, yenye burudani,
ina alama F, nakula yangu majani,

🍁...........kush master..........🍁
 
Ilikuwa Jumamosi flan ya kutakata sana wiki ya Christmas last year nikiwa na jamaa yangu tukaamua tukale bata "Club La charz." Time hiyo mifukoni tupo sawa kabisa, unyunyu mwingi, scrub za kutosha, wazee tunga'aa tunaufokea umasikini! Ratiba yetu ilikuwa fupi tu pombe sana, nyama nyingi na totoz za maana kwa ajili ya kuzitafuna usiku huo! Full stop!

Watasha tukatinga club. All eyes on us watu wanashangaa. Kwa mbaaaali nakuja kama Jux hivi halafu kwa karibu nakuja kama dawa yenu ! Tukachukua meza, tukavuta viti tukakaa mithili ya jamaa Fulani kutoka ughaibuni! Hatuna haraka Wala Nini! Chap ratiba ikaanza chupa nyingi mezani, nyama za kushato halafu tupo tunapiga macho kuchagua totoz maana zilikuwa nyingi sio mchezo! Muhimu ule kitu roho inapenda sio baadae uje ujilaumu!

Sikutaka mambo mengi, nikachagua miss bantu mmoja nikamleta kati! Napendaga nyama nyingi na kwenye hilo huwa si-compromise halafu mchezoni huwa sizimi taa so Ili nienjoy lazima macho yafurahie yanachokiona. Bila hivyo inakuwa mazoezi tu ya kiuno! Bi dada akasogea kati... Tukaendelea kula kuku na pombe nyingi!

Piga vyombo sana halafu muziki sichezi kwa nguvu najitikisa kimtindo na sifuati biti wala nini kwa maana ni wajibu wa miss bantu kufuata miondoko yangu! Si ni hivyo tu? Kuja kushtuka jamaa yangu simuoni! Nikajua ashachukua totoz yake amepita hivi! Sio kesi!

Nikashika chupa kwa hasira nikamiminia kinywaji mdomoni, nikakisikiliza hadi kimefika kwenye maini kikaanza kuyakaanga! Tutafufuliwa na miili mipya, acha maini yangu yawe mishkaki kitu gani!? Nikashika ile kiuno matata ya miss bantu, akanicheki usoni akagundua muda wa malipo umefika! Wanasema karma is a bitch! Utatafunwa kwa kadri na namna ulivyotafuna!

Huku tunapepesuka hadi nje, bodaboda akaja tukapanda haooooo tukasepa!
Home nafuga paka! Hii detail ni muhimu sana ndio mjue ninaishi nyumbani sio geto! Miss bantu alishangaa home papo decent Sana pamekosa mke tu masikini ya Mungu! Hapo mnara wa babeli umesimama, roho mchafu amenijaa kila nikitazama shundu la miss bantu nasema nipewe nini Mack Muga kwa sauti ya Ali Kiba!

Nikamshika mkono tukazama dimbani, hapo nina feelings za Real Madrid ndani Santiago bernabeu nitamfanya Nini huyu Arsenal? Twende taratibu!

"Sorry baby... ngoja niende kwanza washroom... Nakuja... Mwaaaaa!" Aliniaga miss bantu halafu akanisindikiza na busu mbandiko la mdomoni, mi hoi! Mtoto akapunguza nguo halafu akapunguza tena akabaki na hii kitu wanaita G string akajifunga mtandiko kiunoni halafu kwa mwendo wa ashuo akazianza hatua kwenda msalani!

Unaambiwa mtoto ana tako lainiiiiiiiiii, rangi ya mtume, ananukia kama jini subiani, hipsi zimechomoza yaani pale ndio nilijua katika vitu nimebarikiwa ni kuchagua totoz! Huwa nazingatia fahari ya macho Sana!

Sikumbuki ilikuaje, sijui chochote! Nakumbuka tu niliamka asubuhi kichwa kinauma, mwili hauna nguvu! Nateseka! Pembeni miss bantu hayupo! What??????
Nikirudisha kumbukumbu nakumbuka Kila kitu isipokuwa mzagamuo! Khaa! Unaambiwa nilicheki mafaili Hadi kwenye medula oblangata but no mzagamuo! Ina maana nyama imekula nyama bila yenyewe nyama kuliwa nyama! Why? Why? Why?

Ikabidi nianze kukagua rasilimali zangu kama Kuna chochote kimepungua! Simu ipo, mashuka yapo, viatu, nguo, saa vyote vipo! Mbaya zaidi Hadi nguo zake zipo! Kwa mbali nikawa nasikia sauti ya tv.... Nikapata ahueni kidogo huenda miss bantu Bado yupo kwenye himaya yangu!

Huku napepesuka Hadi sebuleni nakuta bi dada kajilaza kwenye kochi anakunywa chai mdogo mdogo bila kitafunwa! Nikamuangaliaaaaaaaaaa nikamtazamaaaaaaa pale ndio nikajua Nini nyumba imekosa! Imekosa mother figure! Imekosa mmliki! Nikasogea nikaa pembeni!

Miss bantu anatabasamu!
"Unalala Sana bwana mkubwa!" Akaongea huku anaweka kikombe mezani.

"Nilichoka Sana aisee... Vipi mbona chai kavu?"

"Nyumba sio yangu siwezi nikaanza kufunua funua vitu!"

"Aaah usijari Kuna mkate kabatini, chukua ngoja mimi niagize supu"

Ilikuwa siku nzuri kati ya siku nzuri nilizowahi kuziishi! Bi dada aliitawala nyumba na nyumba ikamtii. Akafanya usafi soft Sana akaweka maji bafuni tukaingia kuoga! Humo ilikuwa ni kuchezeana Sana mizagamuo heavy! Alinipa kitu roho inapenda.

Jioni aliondoka huku tukiwa tumezoea Sana! Aliendelea kuja home Kila akiwa free! Hadi akawa my official sweetheart! Nikampa heshima yake! Kumbe hakuwa muuza mbususu kama nilivyokuwa nawaza ni vile tu sometimes maisha yanakupa options ambazo hujawahi kuzifikiria!

So nikaishi nae Sana! Akawa ananitunza Mimi na paka wangu kipenzi!
Hebu weka picha ya kuanzia kiunoni. Maana sura hata mbuzi anayp.
😅😂🤣
 
Back
Top Bottom