Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 391
- 873
Jamani nafikiri muda wa kubadilisha sheria au ku enforce vizuri na vikali sawa; wasichana wa kazi iwe marufuku kulipwa at the very most minimum ya 200k kwa mwezi na wale wa kwenda na kurudi at least 150k and I thk minimum salary is around hiyo kwa Serikali; which means hata kama ukiwaongeza Poa tu na kodi walipe.
But hii tabia ya kuchukua watoto wa watu below 18 uko kijijini kuja kumlipa 50k per month bado matusi, unyanyasaji(mostly wanawake ndo wanaongoza; coz wanaume the worst case ni Akita or kingono au akubake but asipotaka most men hawatokusumbua km wanawake) so iwe illegal to hire anyone under 18 coz anatakiwa awe shule.
Pia msichana huyo apitishwe at least basic haki zake na ajue pa kulalamika in case akinyanyaswa Au hata kupigwa na awe na simu hata tochi na kuwe na Union ya hawa watu ili wafuatiliane kama kuna mmoja hajatucheki wiki nzima na kama yupo hai au mzima.
Lakini hii tabia ya kulipa wadada wa watu 50k na akivunja glass sijui tunakata kw salary sijui nini ni uhuni. Hawa wadada wanavumilia mengi sana na wanafanya kazi sana kuliko hata hao wabunge na matumbo yao.
Wanastahili heshima na utu; pia kama una hela nyingi unaweza kumsaidia kidogo kidogo ajiendeleze kwenye maisha sio abaki kwako permanently tu.
Kuna mijitu itaanza oh analala kwangu, anakula kwangu sijui nini??? Nyooo jaribu kwenda kufanya Kazi kwa mtu uone raha yake of seeing your life stuck and others are flying tu; pia kama Wewe mtu wa maisha ya Kati basi you can't afford domestic worker kaa chini do your own work coz wanyanyasaji wakubwa ni hawa middle incomers wao wenyewe watu wa laki laki watataka two house girls( manina) fanya kazi mwenyewe tu waache hao wanaoingiza 40m achukue two house girls and walipwe at least 500k; hawa hata wakifoka utaona kweli hela anatoa. Lakini bado kwa urafi na uchoyo wa waTZ wanaojiita wa jamaa mtu anaweza akawa anaingiza 50m na bado msichana wa kazi anapata 50k or 60k hawa watu cjui wanalalaje usiku?😳
Oh cjui hana adabu cjui nn basi mpe hela yake na nauli kwaheri sio kumpiga au kumtukana unaweza kuongea naye vizuri tu yakaisha km mjeuri kweli mwache aende. Pia ana haki ya kuwa na boyfriend hata kufanya ngono chumbani kwake akiwa ameheshimu muda na hajasababisha wizi wowote Au hata akikuaga anaenda kwa malavidavi ana haki iyo; hajaja hapo kuwa bikira maria Achezewe na watoto wenu wa kiume tu then abwagwe wakienda kudate akina Lulu Diva uko when yeye afue nguo zote hadi chupi na anaambulia 50k. This is evil inanikumbusha Filamu ya "A cry for Help" ya Nigeria kuhusu unyanyasaji wa Yule Yatima Ble Ble.
Most of our families are guilty and pia sisi tusimame kukana awe mama yetu, dada zetu kw kunyanyasa wasichana wa kazi. Ivi mtu anasaidia kulea watoto wako, anapika, anafua unapata wapi ujasiri wa kumnyanyasa? Akiwawekea sumu wanao na kusepa au kuwatelekeza uko? Na tunawaonea wadada coz tunajua wakaka au houseboys sio popular uku km West Africa pia changamoto za wanaume na ubabe sio rahisi kumtesatesa all the time bila kupokea ngumi; pia we know risk ya wanaume in terms of sexual abuse; most men sio wabakaji wa watoto au wanawake but most rapists ni wanaume so that's why tunakimbilia safer option which is female domestic workers basi tuwatreat kwa heshima na tuwalipe minimum to have decent life km huwezi Acha. Yaani so far wazungu tu ndo wanalipwa wasichana vizuri