Prove me RIGHT or WRONG....

Jrb kufafanua zaid labda usha jrb wanawake wangap wanaofanya mambo hayo ukaona hawana prove it by evedence mkuu
 
Kaunga kwanini umerejea Catholic? Sisi wakatoliki hatuna unafiki na hata tunakunywa hadharani na tunajiheshimu vile vile. Ungemjibu tuu mtoa hoja kanusho au kukubaliana na hoja yake badala ya kuingiza imani kwenye mjadala. Mfano kule kibosho wanaamini mbege ni kinywaji kama ilivyo soda na watoto hutengewa mgao kama kuna sherehe lakini haimaanishi wanaishia kwenye uasherati baada ya kunywa

Samahani, haikuwa lengo langu kuingiza dini ndani ya hii, nilikosa mifano ninayoijua hivyo nikatumia nuns kwa kuwa ndio ninaowajua wameapa kulinda bikira zao na as you said, ukatoliki haukatazi watu kunywa pombe.

Personally hiyo kauli kwangu ina ukweli kwani nimefundishwa kunywa pombe na boyfriend; so pombe na uasherati kwangu vinahusiana.
 
scientifically?scientifically ndio dudu gani?scientifically unaweza ku-prove mapenzi yangu kwa mke wangu?nikitizama karatasi ya litmas ya bluu iliyoandikwa jina la mke wangu inageuka nyekundu?????!!!!!!

Sasa mapenzi yako na mke wako yanahusiana vipi na hypothesis ya kuwa 'clubbing na pombe zinapelekea kutoka kwa bikra'? Usidandie treni kwa mbele...
 
Sasa mapenzi yako na mke wako yanahusiana vipi na hypothesis ya kuwa 'clubbing na pombe zinapelekea kutoka kwa bikra'? Usidandie treni kwa mbele...

ok kiongozi ni aina tu ya uandikaji ndio imekukwaza,kifupi ni kama nilikuwa nakuuliza,hivi kila kitu kinaweza kuwa scientific proven?na mfano ni huo wa mke wangu!tuliza kichwa utanielewa
 
Samahani, haikuwa lengo langu kuingiza dini ndani ya hii, nilikosa mifano ninayoijua hivyo nikatumia nuns kwa kuwa ndio ninaowajua wameapa kulinda bikira zao na as you said, ukatoliki haukatazi watu kunywa pombe.

Personally hiyo kauli kwangu ina ukweli kwani nimefundishwa kunywa pombe na boyfriend; so pombe na uasherati kwangu vinahusiana.

Pole Kaunga inaelekea kila ukimimina bia kwenye glass unakumbuka birika yako iliyotolewa kabla ya ndoa
 
Last edited by a moderator:
Hii kwanza na kubaliana nayo kwa 100% sababu pombe ni kilevi na umfanya mtu kuwa un sound:

na linapo kuja swala la pombe wasichan/wanawake wengi ushindwa kuhimiri vishindo hivyo kujikuta wanafanya au kufanyiwa mambo bila kutegemea!

Na ukikuta mwanamke mwnyaji wa pombe si mchezo, wengine ujisahau hadi wana vua kabisa!

Kwa hiyo ni kweli kabisa kwa msichana mwanyaji kubaki na bikra ni ngumu sana!


Kuna mambo mengi ambayo ni kweli na hakika lakini ni vigumu sana kuthibitisha....!!
Mimi nasema "hakuna msichana ambaye anakunywa POMBE na kwenda CLUB katika umri wowote ule,,then akawa BIKIRA.....

Ur welcm..
 
Labda kwa kuwa umesema kunywa pombe NA kwenda club, ingekuwa au ningesema baadhi ya catholic nuns wanakunywa pombe and baadhi yao ni virgins.

Lakini pamoja nao, nafikiri kuna frigid girls ambao wanaparty na kuchill lakini they are virgins, au hata lesbians ambao hawatumii dildos
siamini kama kuna nuns wa kikatoliki wana bikra wengi wamechoka, na wanakazana sana na kusagana na kufilana humo kwenye makasri yao wakistarehe kwa pombe na ngono
 
28379458_435737283530273_403334923495078811_n.jpg

kama hivi masela wanajiokotea wanaenda kula mzigo kiulaini. pombe sio chai.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom