Profile la kijana mkataa ndoa

Profile la kijana mkataa ndoa

Kuhudumiwa ni nature yetu..

Kuhudumiwa kunapunguza mood swings....hivyo kupunguza conflicts

Kuhudumiwa ni muhimu kwa afya ya mahusiano yenu!, acha mawazo ya kijima babu!
Hoja zakuhudumiwa ndio hizi tu???daahh hii ni akili ya ubinafsi sana,kwahyo mwanaume ahudumiwe nanani???wakati mme namke ktk ndoa nimwili mmoja???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30 and under.

2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially.

3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.

4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,

5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.

Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
Umesahau moja... Wote ni watoto wa kiume wenye tabia za kimama. Wana vimelea vya ushoga....
 
Wewe ukiulizwa nature imeanza lini utajibu?
Unauliza maswali kama MTU aliyefyatuka.

Unahudumiwa umekuwa maiti?
Mbona mnapenda kujidharau na kudharaulika?

Yaani MTU na Akili timamu husikii aibu kusema unahudumiwa.
Ndoa ni umoja na ushrikiano, ndoa ni Upendo.
Ukishakuwa kwenye serikali wewe ni sehemu ya Serikali.
Ukiwa kwenye Ndoa wewe ni sehemu ya Ndoa.
Unahudumiwaje?

Ukishakuwa na mtizamo huo lazima ndoa ikusumbue Kwa sababu unakuwa sio sehemu ya Ndoa.

Sijui hizi Akili ni zawapi walahi
Broo unajitahidi kumuelewesha chizi asiyejitambua kabisa,yaani hajui kabisa kua akiwa mke anakua sehemu yamaamuzi katika hyo ndoa,anawajibika mojakwamoja ktk kuhakikisha ndoa inakwenda mbele kwa misingi ya upendo,haki naushirkiano sasa yy ameweka kipaumbele kua ahudumiwe yy au nwanamke matunzo,sasa ndio maana namm nikawa nnamuuliza je huyo mwanaume wakukutunza nakukuhudumia akiwa anaumwa utahudumiwa nanani naona anajibu ndivyo sivyo!!

Tena chizi hasaaa…. Swala la kuhudumiwa wakati unaumwa halipo Hilo linajulikama, Ila Sio ujifanye msahaulifu wakati wewe ni mzima… hell no!
 
Kataa ndoa ni idea ya shetani mwenyewe.

Mlikutana wapi akasema?
Kwenye kitabu cha Ayubu, Shetani aikutana na Mungu akaongea nae kuhusu Ayubu.
Kwenye mwanza, Mungu alikutana na Eva wakapanga yao.

Haya niambie wewe na Shetani mlikutana wapi?

#YNWA
 
Na mama yako alikuwa na njaa ndiyo akakimbilia ndoa kwa baba yako

Mna stress za maisha ndugu zangu, Wazazi sasa wanaingiliaje kwenye mada zenu?

Nikiwa kama RAISI WA kukataa ndoa...

Ndoa zimeanza kukataliwa baada ya formation of the millennial women, ambao Beijing ndio ili wabeba Sana.

#YNWA
 
Ni misogynist ndio Hata posts zao zingine zinawatabainisha hivyo

Hata Nick II alituona sisi mafaler akampost sanaa Joan wake, na Mc pilipili mpaka akabadilika akawa mchungaji na Yule mchungaji masanja bila kusahau balozi wa Comoro.

Ila yaliyowakuta SINA HAJA YA KUKUELEZEA maana UNAYAJUA.

Wangekuwa single boys sijui kama YANGEWAKUTA.

Hao uliowataja ni wangapi kati ya watanzania wenye successful marriages?
 
Mna stress za maisha ndugu zangu, Wazazi sasa wanaingiliaje kwenye mada zenu?

Nikiwa kama RAISI WA kukataa ndoa...

Ndoa zimeanza kukataliwa baada ya formation of the millennial women, ambao Beijing ndio ili wabeba Sana.

#YNWA
Wewe sio mzazi?

Ah sorry nishasahau kuwa huna sifa ya kuwa mzazi
 
Wewe sio mzazi?

Ah sorry nishasahau kuwa huna sifa ya kuwa mzazi

Umeelewa nilichouliza?
Au unataka tutukanane ili tupigwe ban faler wewe.

Sasa mtu yeye hataki ndoa halafu wewe unamuingiza mzazi wake wa nini.

Na ulivyo mkund-u unaelewa kabisa, kwa kijana wa JF anayekataa ndoa lazima awe na miaka <20's hapo means mzazi wake ni miaka ya 50's hukoo.

Huyu mtu wa 50's ukute hata JF haijui halafu "Halafu we malayer unaanza mdhihaki" na kumfananisha na mzazi wa miaka ya 20's na 30's

Tuendelee ila usisahau Kuna ban, na Mimi Niko tayari KULIPATA HILO BAN.

#YNWA
 
Ubaya sinywi pombe na kutoa mipasho, usihuzunike. Hatahivyo pole, inawezekana katika makuzi makuzi Wazazi wako walipashana mipasho baada ya kunywa hiyo Serengeti laiti!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom