Profile la kijana mkataa ndoa

Profile la kijana mkataa ndoa

Nilisoma comment yake mara 2 naacha naingia profile naangalia nikasema hamna nikarudia 😂😂😂😂Yani alinote humu kama ilivo kwa hali Ile ndoa asikatae aikimbie kabisa sio Kwa taasisi Ile 😂😂😂
Tareek
 
Nilisoma comment yake mara 2 naacha naingia profile naangalia nikasema hamna nikarudia 😂😂😂😂Yani alinote humu kama ilivo kwa hali Ile ndoa asikatae aikimbie kabisa sio Kwa taasisi Ile 😂😂😂
Tareek
Operation ilichelewa asingekuwa na taasisi ya misukule
 
😂😂😂Mengine hayavumiliki ukikaa nalo rohoni linakukaba unakufa😂😂😂
Dunia ya sasa ni kuviziana.
Wasiopendana kuishi Pamoja
FB_IMG_16730876117946524.jpg
 
Nimepitia matukio magumu sana na ukijiless kwake mtu anaharibu kila unapoenda kuweka kambi tena sio kikawaida kawaida.
Hakikisha unamjua Mungu wa unaye date nae kabla ya kuingia matatizoni
Ukiingia Chaka unaanza kuongea pekeyako njiani
 
Mtu na akili yako timamu Unamfuga Binadamu mwenzako! Na wewe kwanini Ukubali kufugwa kama msukule?

Kijana KATAA NDOA,

Ndoa ni UTUMWA,

Ndoa ni chanzo cha UMASIKINI,

Kijana acha kufuga binadamu mwenzako kama Msukule.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom