kapyoko
JF-Expert Member
- May 10, 2022
- 1,420
- 2,191
Hakuna kuoa tunaishi kama Sam mangwana miaka 78 na bado mwamba anaskiliziaNyie ndio mnaokuja kuoa uzeeni
Subiri muda utakwambia
Hakuna kuoa tunaishi kama Sam mangwana miaka 78 na bado mwamba anaskiliziaNyie ndio mnaokuja kuoa uzeeni
Subiri muda utakwambia
Eeee... hudumieniNdoa ya Mungu Mwanamke alikuwa msaidizi WA mwanaume, ndoa za kishetani zinazoendelea humu Duniani, Mwanamke anakuwa mnyonyaji WA wanaume. Lihudumiwe kila kitu kama maiti.
Na hapo hapo lifanye umalaya ulisamehe.
Hiyo ndoa au upuuzi





Olewa wewe wacha kuwa mpenzi mtazamaji miaka inaenda unjueSiku mkutane uwanjani mzichape 😂😂😂
Watazamaji tupo 😂
Nakusubir wew Bora hata umenishtua nilikuwa nishasahau kama Kuna kuolewa😂Olewa wewe wacha kuwa mpenzi mtazamaji miaka inaenda unjue
Ah wee mzushi unanichocha hapa nikija pm naambulia dharau...oh mie siwezi olewa na bodabodaNakusubir wew Bora hata umenishtua nilikuwa nishasahau kama Kuna kuolewa😂
Dah😂Ah wee mzushi unanichocha hapa nikija pm naambulia dharau...oh mie siwezi olewa na bodaboda
Ndio ukweli. Ila uolewe sasa muda wa kuonja onja de libolo umekwishaDah😂
Mbona mm najiona mdogodogo😂😂😂Ndio ukweli. Ila uolewe sasa muda wa kuonja onja de libolo umekwisha
mdogo wakati umemaliza FOM FOO?Mbona mm najiona mdogodogo![]()
NDOA Ni tsunami
NDOA Ni makirikiri
NDOA Ni mchezo wa pata potea
NDOA Ni kamari
NDOA Ni usanii
NDOA Ni majanga Kama yalivo matetemeko na vimbunga fredi
NDOA Ni upuuzi





umeleta vimbwanga kibao vya ndoa,sababu wewe ni mpinga ndoa lazima ubongo wako umeuset uwe SELECTIVELY unaona vimbwanga vya ndoa tu na si vinginevyo.Pitia nyuzi zangu nimeleta vimbwanga kibao vya ndoa.
Halafu kuhusu swali lako ni kwamba, Asilimia kubwa sanaa ya watu wanateseka na ndoa sema wameamua kuvumilia na wengine kupuuzia.
#YNWA
NAKAZIANDOA Ni tsunami
NDOA Ni makirikiri
NDOA Ni mchezo wa pata potea
NDOA Ni kamari
NDOA Ni usanii
NDOA Ni majanga Kama yalivo matetemeko na vimbunga fredi
NDOA Ni upuuzi
umeleta vimbwanga kibao vya ndoa,sababu wewe ni mpinga ndoa lazima ubongo wako umeuset uwe SELECTIVELY unaona vimbwanga vya ndoa tu na si vinginevyo.
Hujui kuteseka na ndoa, hujawahi kuoa, hio experience ni kitu hujawahi kukiexperience so HUKIJUI.