Profile la kijana mkataa ndoa

Profile la kijana mkataa ndoa

Umeelewa nilichouliza?
Au unataka tutukanane ili tupigwe ban faler wewe.

Sasa mtu yeye hataki ndoa halafu wewe unamuingiza mzazi wake wa nini.

Na ulivyo mkund-u unaelewa kabisa, kwa kijana wa JF anayekataa ndoa lazima awe na miaka <20's hapo means mzazi wake ni miaka ya 50's hukoo.

Huyu mtu wa 50's ukute hata JF haijui halafu "Halafu we malayer unaanza mdhihaki" na kumfananisha na mzazi wa miaka ya 20's na 30's

Tuendelee ila usisahau Kuna ban, na Mimi Niko tayari KULIPATA HILO BAN.

#YNWA
Haya ndio matusi yako ya mwisho au bado unaendelea?
 
Majibu ya ovyo na majibishano yasio na heshimu kati ya mabinti wa humu na wanaume yanaonyesha kabsa , hakuna haja ya kuwa kwenye ndoa kwa sababu , ebu fikiria mwanamke ana matusi kama paka la bar uingie nae ndoani itakuaje
 
Mlikutana wapi akasema?
Kwenye kitabu cha Ayubu, Shetani aikutana na Mungu akaongea nae kuhusu Ayubu.
Kwenye mwanza, Mungu alikutana na Eva wakapanga yao.

Haya niambie wewe na Shetani mlikutana wapi?

#YNWA

😂😂😂
Mwambie Mwanaume hajawahi kukutana na Shetani tangu Dunia imeumbwa, aliyekutana na Shetani ni Mwanamke.
Sasa Nani anaagenda ya kishetani baina ya Me na Ke?
 
Pitia nyuzi zangu nimeleta vimbwanga kibao vya ndoa.

Halafu kuhusu swali lako ni kwamba, Asilimia kubwa sanaa ya watu wanateseka na ndoa sema wameamua kuvumilia na wengine kupuuzia.

#YNWA
umeleta vimbwanga kibao vya ndoa,sababu wewe ni mpinga ndoa lazima ubongo wako umeuset uwe SELECTIVELY unaona vimbwanga vya ndoa tu na si vinginevyo.

Hujui kuteseka na ndoa, hujawahi kuoa, hio experience ni kitu hujawahi kukiexperience,hivyo HUKIJUI,
 
Hujui kuteseka na ndoa, hujawahi kuoa, hio experience ni kitu hujawahi kukiexperience,hivyo HUKIJUi
 
1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30 and under.

2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially.

3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.

4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,

5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.

Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
Ndoa ni baraka, ndoa ni heshima, ndoa ni raha sana. Hakuna raha kama kuwa na familia yako, wanao mkeo mnakua pamoja kwa amani na upendo kwenye kufanya maendeleo.

Haya yote yapo na yanatokea kila siku, inabidi tu kwenye ndoa uingie na mtu sahihi, and trust me hao sahihi wapo wengi sana. Ni sisi tu kuangalia vizuri na kutulia, wasio sahihi wanaonekana ndio wengi ila sio kweli. Kila mtu ni kama yupo in a panic mode sababu ya wachache wasio waaminifu wanawachafua hata wale waaminifu.

Ila misingi ya dunia na mapenzi ya Mungu ni kuona dunia inaongezeka katika hali sahihi ambayo ni ndoa takatifu, na sio kinyume na hapo. Kwa upande wangu kama umeumizwa na ndoa au mapenzi usifanye kampeni ya kukataa ndoa/mahusiano, tulia na ujitafakari kupata suluhisho maana lipo.

Ninaamini hii kampeni ya kupinga ndoa ni kampeni ya kishetani na isiyo na maadili katika jamii au dini yoyote, na itakua inaendana sana na hizo kampeni nyingine zilizopo dunia za kueneza mapenzi ya jinsia moja duniani. USISHIRIKI KUFANYA KAMPENI ZA KISHETANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom