Profile la kijana mkataa ndoa

Profile la kijana mkataa ndoa

Inamaana dada yangu ndoa nikwa walio financially stable tu??ndio manaa vinana wanapinga unyonyaji kwann ulazimishe kuhudumiwa wakati mtu hana uwezo wakukuhudumia???kama ndoa ni kwa ajili ya wanaume walio financially stable basi hoja za wazee wakataa ndoa niunyonyaji nautapeli wako sahihi,maana sio lazima tulingen uchumi dada.
mkuu, wanatumia neno Kuhudumiwa kujificha chini kama kivuli, ila neno halisi ni Ukahaba

Ndio maana tunasisitiza kila kukicha Ndoa Ni Utapeli na Unyonyaji
 
Unaongea vitu ambavyo mtoto Mdogo angevieleza.

Wewe Subiri misukule ya kuinyonya Ila wanaume wa maana utawasikia kwenye redio tuu.

Kwenye Ndoa hakuna kipengele cha kuhudumiwa MKE. MKE ni sehemu ya familia iweje ahudumiwe?
Hivi hizi Akili mnazitoa wapi?
MKE ni sehemu ya mamlaka ya serikali ya familia sasa iweje useme anahudumiwa?

Huko ni kutengeneza mazingira ya Unyonyaji, ndio tunaita Ukupe na ukahaba.
Ushaambiwa MKE na Mume ni mwili mmoja alafu Kwa uelewa wako Mdogo au WA kitapeli unataka uhudumiwe.😂😂

Subiri wanaume wa level YAKO

Wewe kama umeshindwa kujua furaha kwa mwanamke ni kuhudumiwa, this simple fact umeshindwa kuijua...anyway sikushangai hata mkeo hujui kama ana pretend ama not....!

Usinichoshe na upuuzi wako mwingi usiokuwa na substance.
 
haaaa Kulelewa na mwanamke au kuoa mwanamke hakukufanyi wewe kuwa sio mMisogynist!...utetezi wa kijinga kabisa huu.... unamchukia mama yako subconsciously na mkeo hana furaha sababu wewe unachukia wanawake, so kua nae sio ishu....kitendo chako kila ukizungumzia wanawake ni negatively kinakufanya wewe ni mchukia wanawake sio hao majirani zako

Nazungumzia negative Kwa Wanawake wajingawajinga ili wawe Werevu,
Wanawake Werevu wanajua nini nazungumzia, Ila wale Akili mgando kama wewe ndio hamjui hata kinachozungumziwa.

Kali kulazimisha hapo ATI MKE wangu Hana furaha, sijui Mama yangu kafanyaje,
Ila hoja hapa ni kuwa acheni Utapeli, Unyonyaji, uvivu na kuigeuza ndoa kama ajira yenu.
Hakuna mwanaume Makini ambaye yupo tayari kuoa NGEDERE
 
mkuu, wanatumia neno Kuhudumiwa kujificha chini kama kivuli, ila neno halisi ni Ukahaba

ndiyo maana tunasisitiza kila kukicha Ndoa Ni Utapeli na Unyonyaji

Na kwa nini tujifiche chini kwa chini??? mwanamke kuhudumiwa, ukitafsiri ni ukahaba utajua mwenyewe!
 
KATAA NDOA
NDOA NI USANII

Usanii kwenye mapenzi unakuja pale ambapo kila mtu anamcheat mwenzake lakini mnaigiziana kama mnapendana

KATAA NDOA
NDOA NI WIZI

•Likija suala la talaka mke anagawana mali zilizotafutwa kwa jasho na mwanamume ona mume anavyoibiwa hapo.
•Sheria za ndoa ziko kumnufaisha mke pindi wanatalikiana

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI

Utapeli wa mapenzi.
•Wewe unajitoa kwa mwenzako kumbe mwenzako kakupendea pesa tu ana kijamaa chake huko kinamsugua tena anakihonga pesa zako
•Wewe unawekwa ndani kama golikipa kumbe mwenzako ana mchepuko wake anauhudumia kuliko wewe mke wa ndoa

KATAA NDOA
NDOA NI UNYONYAJI

Wanawake wanataka ndoa ili wapate nafuu ya maisha wana msemo wao pesa ya mwanamke ni ya mwanamke na pesa ya mwanamume ya wote. Ona mwanamume anavyonyonywa hapo

KATAA NDOA
LINDA AFYA YAKO YA AKILI

KATAA NDOA
TUNZA KIBUNDA CHAKO
 
Wewe kama umeshindwa kujua furaha kwa mwanamke ni kuhudumiwa, this simple fact umeshindwa kuijua...anyway sikushangai hata mkeo hujui kama ana pretend ama not....!

Usinichoshe na upuuzi wako mwingi usiokuwa na substance.

MKE wangu angekuwa na Akili za hivyo wala asingeweza kuwa hata mpenzi wangu.
Sinaga ukaribu na Wanawake wapuuzi kama hivyo.
Binti yangu mwenyewe hawezi kuwa na Akili za kizamani kama hizo ulizonazo wewe.

Ninyi ndio mnafanya Wanawake mnadharaulika Kwa Tabia za kupenda vya Bure.
Wapo Wanawake wenzako wanaojielewa hawana mtazamo kama wako WA kimaskini na kinyonyaji.
 
Nazungumzia negative Kwa Wanawake wajingawajinga ili wawe Werevu,
Wanawake Werevu wanajua nini nazungumzia, Ila wale Akili mgando kama wewe ndio hamjui hata kinachozungumziwa.

Kali kulazimisha hapo ATI MKE wangu Hana furaha, sijui Mama yangu kafanyaje,
Ila hoja hapa ni kuwa acheni Utapeli, Unyonyaji, uvivu na kuigeuza ndoa kama ajira yenu.
Hakuna mwanaume Makini ambaye yupo tayari kuoa NGEDERE
Shenzi wewe, eti unazungumza kwa wanawake wawe werevu, ndio iwe kila siku??? yaani ina maana huwaoni wanawake werevu hata mara moja????

eti nilazimishe, kwa kisa gani?? Mkeo hana furaha sababu hakuna mwanamke aliyeoolewa na Misgyonist akawa na furaha thats a FACT.

and yes ma misogynist kama wewe wengi mna shida na mama zenu thats a FACT

Nani tapeli, wewe hudumia hilo limkeo unaloliita libepari wakati hujui lina pretend ama NOT
 
uko nje ya mada mkuu

nimesema mimi binafsi punyeto ni replacement ya mwanamke, mimi binafsi

shida yangu ni kukojoa tu, na BabyCare yangu inatimiza hilo
Naomba tuelewane, wanaokataa ndoa wana hoja za msingi, lakini sikubaliani na wewe kwenda mbele zaidi kuprotest ukhanisi hili halikubaliki.

Kijana Mdogo wa miaka 18 anayevutiwa na post zako humu akaona wewe ndio role model wake naye aanze kupiga punyeto kutwa Mara 3 nakuhakikishia akifika miaka 25 ni khanisi kamili na hawezi kusimamisha mboo tena.

Kwa hili hapana upotoshaji huu ukomeshwe na hili ni lazima tuchukuwe hatuwa zaidi sisi kama Wazazi.

Hatuwezi kukubali kuona jamii ya Kitanzania inabomolewa na watu wenye ajenda zao za siri, hili halikubaliki.
 
MKE wangu angekuwa na Akili za hivyo wala asingeweza kuwa hata mpenzi wangu.
Sinaga ukaribu na Wanawake wapuuzi kama hivyo.
Binti yangu mwenyewe hawezi kuwa na Akili za kizamani kama hizo ulizonazo wewe.

Ninyi ndio mnafanya Wanawake mnadharaulika Kwa Tabia za kupenda vya Bure.
Wapo Wanawake wenzako wanaojielewa hawana mtazamo kama wako WA kimaskini na kinyonyaji.
Mpaka sasa huujui mtazamo wangu, usijifanye kuufosi unaujua...

Mkeo huyo pretender ndio asingekua na ukaribu na wewe????
 
Naomba tuelewane, wanaokataa ndoa wana hoja za msingi, lakini sikubaliani na wewe kwenda mbele zaidi kuprotest ukhanisi hili halikubaliki.

Kijana Mdogo wa miaka 18 anayevutiwa na post zako humu akaona wewe ndio role model wake naye aanze kupiga punyeto kutowa Mara 3 nakuhakikishia akifika miaka 30 ni khanisi na hawezi kusimamishwa mboo tena.

Kwa hili hapana upotoshaji huu ukomeshwe na hili ni lazima tuchukuwe hatuwa zaidi sisi kama Wazazi.
Hatuwezi kukubali kuona jamii ya Kitanzania inabomolewa na watu wenye ajenda zao za siri, hili halikubaliki.
mkuu uko nje ya mada, kupiga nyeto ni afya pia

sipati STIs wala STDs, nyie endeleeni kuridhisha hayo mashimo huku mkibugia ARV na Tricozole za wazungu
 
Shenzi wewe, eti unazungumza kwa wanawake wawe werevu, ndio iwe kila siku??? yaani ina maana huwaoni wanawake werevu hata mara moja????

eti nilazimishe, kwa kisa gani?? Mkeo hana furaha sababu hakuna mwanamke aliyeoolewa na Misgyonist akawa na furaha thats a FACT.

and yes ma misogynist kama wewe wengi mna shida na mama zenu thats a FACT

Nani tapeli, wewe hudumia hilo limkeo unaloliita libepari wakati hujui lina pretend ama NOT
😂😂😂

ATI limkeo😀😀

Kitendo cha kumuita Utapeli na UHUNI mnaoufanya kuwa ni ndoa ndio kunanifanya nione Dunia inavioja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom