Profile la kijana mkataa ndoa

Kuhudumiwa ni nature yetu..

Kuhudumiwa kunapunguza mood swings....hivyo kupunguza conflicts

Kuhudumiwa ni muhimu kwa afya ya mahusiano yenu!, acha mawazo ya kijima babu!
 
Kuhudumiwa ni nature yetu..

Kuhudumiwa kunapunguza mood swings....hivyo kupunguza conflicts

Kuhudumiwa ni muhimu kwa afya ya mahusiano yenu!, acha mawazo ya kijima babu!

Hujui hata maana ya ujima.
Hujui hata maana ya nature,
Utapeli unaita nature.
Unashindwa kuona hata kuona wanyama wanaishije, unakalia Utapeli
 
Hujui hata maana ya ujima.
Hujui hata maana ya nature,
Utapeli unaita nature.
Unashindwa kuona hata kuona wanyama wanaishije, unakalia Utapeli
Mjima naujua na nikiona mjima namjua!

Utapeli gani, unapingana na nature,ni sawa na kusema Robert hakojoi kwa kusimama, wa ajabu wewe..
 
Mjima naujua na nikiona mjima namjua!

Utapeli gani, unapingana na nature,ni sawa na kusema Robert hakojoi kwa kusimama, wa ajabu wewe..

Ninyi ndio mliaminishwa kuwa Wanawake hawawezi kuwa madaktari au marubani Kwa kisingizio cha nature.
Uvivu, Utapeli na ulaghai ndio mnaita nature.

Kitu kinachoitwa nature MTU anazaliwa nacho, sio chakufundishwa.
Tabia ya Wanawake kupenda kuhudumiwa sio ya Asili Bali ni mfumo wa kijima aliojengewa, sasa imekuwa hulka ya Mwanamke lakini sio SILIKA
 
Nonsense.....

Nani alimuaminisha nani nini???..Lini????

Huo mfumo wa mwanamke kupenda kuhudumiwa mpaka leo umekua hulka sio asili ni umejengwa, ulianza kujengwa karne ya ngapi ???
 
Ila wewe nawe! kama haya unayoyahubiri ndio unayatekeleza kwa 100% your wife will never find peace, hatokaa apate furaha maisha, na ni bora umwambie aondoke, au hana pa kwenda? watu wanaogopa kukwambia ukweli acha mi nikwambie.

Mke anahudumiwa na mumewe, na mke anamhudumia mumewe kwa vitu ambavyo si lazima iwe financially, kama ni financially basi iwe ni usaidizi tu. Haimaanishi mke pesa yake iende pasipojulikana.

Hubirini ukweli acheni upotoshaji. Kwamba? Kuhudumiwa ni kunyonya? Yaani mume kwa upendo wake aamue kumhudumia mkewe mke aitwe mnyonyaji?

Unyonyaji ni uporaji wa pesa pasipo consent ya mhusika au by manipulation, au kwa ushirikina. Naelewa dhana ya unyonyaji kama mnavyoitumia ila hilo la kuhudumiwa usiliweke kwenye unyonyaji.

Unataka kusemaje? Tunaowanunulia wanaume zetu material stuffs pia tunanyonywa? au unyonyaji anafanya mke tu?

Acheni ubinafsi, ndio maana hoja ya mleta hoja ya ubinafsi na uchoyo inaweza kuwa na mashiko.
 
Naunga mkono hoja kwani migogoro ya haina umri wala .ndoa za sasa hali mbaya mi mwezi 11 mwaka jana kuna bro kafa kanywa sumu .kisa mke ananyanyaswa na mke.hoja yako ya msingi sana
 
Lidangaji hilo limwanamke kwa kivuli cha ndoa. Nimelishtukia kitambo sana. Kununuliwa linaita kuhudumiwa.
 
Hapana ndoa si kwa wanaume walioko financially stable tu, hebu nikuulize swali, kuna ndoa zimedumu 30-40 years hadi wanandoa wamezeeka. We unaamini miaka yote hiyo mwanaume alikuwa financially stable? Mbona mnaunderate uwezo wa wanawake kuokoa majahazi.

Learn.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…