Siku hizi vipi?Au unaogopa Max kutoa majina yako halisi? Mkuu kweli umebadili msimamo.
Ok, kumbe mara nyingne huwa unalegeza msimamo kwa manufaa ya wengi, hongera.Mimi bila Max, Faiza ni jina langu halisi - kumbuka hilo.
Having a message sent and delivered is one thing,Message sent and delivered.
Anapp sema laana za mababu anamaanisha nini ?Ujumbe huu ni wa kipekee.....ukilenga kutahadharisha. Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.....wahenga walisema mavi ya kale hayanuki......
Katulenga Mimi Na wewe Na ujumbe umetufikia!. Hao wengi hata kwenye makongamano huwa hawaendi labda wasikie kongamano la "singeli talent search"Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
Yuko kisongo arusha alikochagua kuishi kwa mudaIs it doing such a thing?
My friend ...jiulize Godbless yuko wapi?
wewe umefanya nini kuzuia huo unaosema ni unyanyasaji?Kila mtu anajua kuwa huu ni unyanyasaji ila ndio hivo wengine waoga sana
Vunja Mkuu kwenye real ID, watakuja kuandika hakika.Mbona mimi nikivunja ukimya huwa hamji kuniandika hapa![emoji17]
Unavyosema real ID unamaanisha nini mkuu?[emoji30]Vunja Mkuu kwenye real ID, watakuja kuandika hakika.
Vunja Ukimya kwa kutumia jina lako halisi Mkuu. Watakuandika tu.Unavyosema real ID unamaanisha nini mkuu?[emoji30]