Profesa BAREGU ndiye kinara wa kupinga dual citizenship

Ndugu katafiti tena wanaopewaga uraia huwa wanakuwa wameukana uraia wa huko wanakotoka.

nani kakudanganya?
waulize wahindi waliokuwa maeneo ya mpwapwa,kidodi,malinyi wapo wapi siku hizi,maana waliowengi walikuwa ni raia wa Tanzania na sasa wapo canada na siku wakijisikia wanarudi Tanzania kama raia wa TZD
MKUU jambo hili hulijui vyema,lakini ndio uhalisia ulivyo
tuwape nafasi watanzania waliokwenda nje ya Tanzania kutafuta maisha,warudi kuendeleza jamaa,ndugu na marafiki zao,si lazima wote tofaidike,hata ukichaguliwa kuwa mbunge unafaidi wewe na familia yako,hata walioteuliwa kuwa wabunge wa katiba,wanafaidi mapesa wao na familia zao,ndivyo mfumo wa maisha ulivyo
 
Bwana mdogo,

Sio Prof Baregu peke yake anayepinga hili suala. Mimi na wengineo wengi tunaoipenda TZ na kuamua kuifia hatutaki hilo kwa sababu moja ya msingi "Huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja". Hulazimishwi kumtumikia umtumikie nani ila huwezi kuwepo kote. Wengi wetu hatuna ndoto za kulowea kokote hivyo hatuoni sababu yoyote ya kubadilisha msimamo wetu.

Mbona kama ni uwekezaji tunawaona wageni wengi wanakuja na kuwekeza halafu wakichuma wanarudi kwao? Mbona sioni wakiomba uraia wa TZ kwa udi na uvumba? Kwani nyinyi ni nani usiende ughaibuni ukachuma hafu ukarudi kwenu? Nafikiri WaTZ hatuna sababu ya kuruhusu watu wetu kuwa popo. Kuwa M-TZ kama ulizaliwa Mtanzania ni haki yako mpaka utakapoikataa. Sheria zetu hazikatazi wewe kwenda nje na kufanya kazi ukiwa "proud kuwa MTanzania".

Wewe na wenzako wa aina yako muamue kunyoa au kusuka. Hainihusu mimi wa kijijini.
 
Kwa kuwa haikuhusu basi hutaki iwe hivyo.kama ni hivyo basi kulikuwa hakuna haja ya kuwa na viwanja vya ndege maana haviwahusu watanzania wengi wa vijijini.hakuna haja ya kuwa na barabara nzuri DSM maana haiwahusu watu wa mtera.
Ukiangalia kwa mapana unaona kuwa kuna watu wanaumia na wangehitaji kupata nafasi ya kutumikia nchi yao.lakini pia wangependa kuendelea kuwa watanzania wa kuzaliwa na hata kama wewe haitakufaidisha uwe na furaha kwani watanzania wenzako watafaidika nayo kama wanavyofaidi uwepo wa airport na barabara nzuri DSM
 
hivi hujiulizi hawa wazungu tunaowapa uraia hapa Tanzania wao wanaendelea kutambulika kwao? sasa kama ni hivyo nini unakataa na nini unazuia?
Sheria yetu hairuhusu hayo, na ikiwa wanafanya hivyo wanavunja sheria. Tatizo letu ni utekelezaji wa sheria. Udhaifu huu hauwezi kutufanya tutunge sheria ya kukubali uria pacha!
 
Neno la Kiswahili Uraia ndo nafikiri wengi wenu linawachanganya. Hili si kosa lenu bali ni kosa la lugha ya kiswahili kutokuwa na msamiati sahihi. Naomba mtofautishe kwa kutumia neno la kiingereza.
1.Nationality
2. Citizenship
Watanzania wanaochukua Citizenship huko waliko, hawawezi kuchukua Nationality ya huko pia. Nationality ni moja tu sehemu ulipozaliwa ktk jamii yako, hili ni swala linalofungamana na social, lingua nk. Na nationality hauwezi kuwa renounced. Hivyo kuwa nyanganya watanzania nationality yao ni uvunjifu wa haki za binadamu. Kwa maana kwamba haitakuja siku mtanzania akapata nationality ktk nchi yeyote ile.

Citizenship ndo suala la kisiasa ambalo unaweza chukua ya nchi yoyote ile, hii ndo imeambatana na kupewa passport ama ID. Na unaweza
renounced mda wowote ule hii citizenship. Na ndio maana , ktk nchi zote duniani isipokuwa Tanzania tu, mtu mwenye nationality lakini hana citizenship(passsport) anaruhusiwa kwenda kwao na kufanya mambo kwao.

Hili suala la Tanzania kunyang'anya watu Nationality kumbuka sio citizenship, ni Nationality ni uvijifu wa haki za binadamu at the highest order possible.
Watu wameoa na kuolewa, kwa sheria hii ya unjifu wa haki ya binadamu ya Kitanzania Explicitly ina state kwamba, Mtanzania haruhusiwi pia kuoa ama kuolewa nje ya nchi. Ni sheria ya zaidi ya kihuni, ukishindwa kuona huu uhuni kwa kweli itatia shaka ktk level nyingine. Ni sheria ya kurithi ya walugaluga wa mtemi Isike.
 
Kwa kuwa haikuhusu basi hutaki iwe hivyo.kama ni hivyo basi kulikuwa hakuna haja ya kuwa na viwanja vya ndege maana haviwahusu watanzania wengi wa vijijini.hakuna haja ya kuwa na barabara nzuri DSM maana haiwahusu watu wa mtera.
Ukiangalia kwa mapana unaona kuwa kuna watu wanaumia na wangehitaji kupata nafasi ya kutumikia nchi yao.lakini pia wangependa kuendelea kuwa watanzania wa kuzaliwa na hata kama wewe haitakufaidisha uwe na furaha kwani watanzania wenzako watafaidika nayo kama wanavyofaidi uwepo wa airport na barabara nzuri DSM

Sorry, I did not know I was commenting on something some people do not understand OR their power of reasonable analysis is well below a dimwit. I expected you to argue your way as to why the status quo is invalid given that no one said you should not adopt any nationality of your choice.

Hujataja ni faida gani hizo ambazo kukosa uraia wa nchi mbili kumekuzuia kuisaidia Tanzania. Ukweli ni kuwa hakuna. Bado unaweza kufanya vyote unavyotaka ukiwa nje na bado ni mtanzania. Wengi wenu mnataka huu uraia wa nchi mbili ili muweze kufaidi cheap services kama raia huko mliko but this is CHEATING and an honourable person will not resort to that kind of behaviour. I personally worked in various countries with my Tanzanian passport and had never contemplated adopting other nationalities. You should fight to build a social order in your own country similar to the european OR Australian or whatever instead of wanting to reap where you did not sow. Tujenge nchi yetu ili wengine waitamani kuwa raia wake kama unavyotamani huko badala ya kukimbilia uraia wao. You must excuse me but I have difficult understanding guys like you. I might be forced to call you guys a nasty name but I am above that.

We are well above that and I can assure you, the debate is closed "NO DUAL NATIONALITY" as far as many of us who can argue for a single nationality are alive. We shall tell the majority poor why it should not be allowed in the country. Not because others are adopting, but because we do not need it in Tanzania.
 
Baregu unamlaumu bure wkt yeye anawakilisha msimamo wa walio wengi nami mmoja wao. DILI LENU LITABUMA!
 
You can't adopt any nationality, but rather what you could do is adopting the citizenship. Mind you, please do the default for differentiating between citizenship and nationality.
 
Difference Between Nationality and Citizenship

Nationality vs Citizenship
Nationality and citizenship are two terms that are sometimes used interchangeably. Some people even use the two words '" citizenship and nationality - as synonyms. But this is not true and they differ in many aspects.
First of all let's see what nationality means. In simple words, nationality can be applied to the country where an individual was born. Then what does citizenship stands for? It is a legal status, which means that an individual has been registered with the government in some country.

An individual is a national of a particular country by birth. Nationality is got through inheritance from his parents or it be called a natural phenomenon. On the other hand an individual becomes a citizen of a country only when he is accepted into that country's political framework through legal terms.
Elaborating the two words, an individual born in India, will be having Indian Nationality. But he may have an American citizenship once he has registered with that country.

Well, No one will be able to change his nationality but one can have different citizenship. An Indian can have an American or Canadian citizenship but he cannot change his nationality. Another example is that people of the European Union may have European Union Citizenship but that person's nationality does not change.
Coming to citizenship, some nations also confer honorary citizenship to individuals. But no country can confer honorary nationality on any one as his birthplace cannot be changed.

Nationality can be described as a term that refers to belonging to a group having same culture, traditions history, language and other general similarities. On the other hand, citizenship may not refer to people of the same group. For example, an Indian and may be having a US citizenship but he will not be belonging to the same group as that of the American nationals.
Summary
1. Nationality can be applied to the country where an individual has been born. Citizenship is a legal status, which means that an individual has been registered with the government in some country.
2. Nationality is got through inheritance from his parents or it be called a natural phenomenon. On the other hand an individual becomes a citizen of a country only when he is accepted into that country's political frameworkthrough legal terms.
3. No one will be able to change his nationality but one can have different citizenship.

Read more: Difference Between Nationality and Citizenship | Difference Between | Nationality vs Citizenship http://www.differencebetween.net/mi...en-nationality-and-citizenship/#ixzz2u3aSW1z3
 
Hivi kina Somaiya wenye dual citizenship walipokimbilia Canada (ambako wahindi wengi ndiyo wana Uraia) walikuwa wamefanya nini Kwa Uraia wao wa Tanzania??? Chagua moja. Habari za kutuambia Vihela vya kuuza bar na kufanya uoshaji wa vyombo ULAYA ambavyo wengi ndivyo vinawapa kiburi na kula huko nje, eti ndo manufaa ya kuwekeza na kusaidia ndugu zetu walioko huku, katu...bakini huko huko. Na siku Nikiwa Kiongozi wote wenye DUAL CITIZENSHIP walioko hapa nchini nawanyang'anya Uraia. Mnataka kuitenda nini hii nchi yetu?
 
Difference Between Nationality and Citizenship

Nationality vs Citizenship
Nationality and citizenship are two terms that are sometimes used interchangeably. Some people even use the two words '" citizenship and nationality - as synonyms. But this is not true and they differ in many aspects.
First of all let's see what nationality means. In simple words, nationality can be applied to the country where an individual was born. Then what does citizenship stands for? It is a legal status, which means that an individual has been registered with the government in some country.

An individual is a national of a particular country by birth. Nationality is got through inheritance from his parents or it be called a natural phenomenon. On the other hand an individual becomes a citizen of a country only when he is accepted into that country's political framework through legal terms.
Elaborating the two words, an individual born in India, will be having Indian Nationality. But he may have an American citizenship once he has registered with that country.

Well, No one will be able to change his nationality but one can have different citizenship. An Indian can have an American or Canadian citizenship but he cannot change his nationality. Another example is that people of the European Union may have European Union Citizenship but that person's nationality does not change.
Coming to citizenship, some nations also confer honorary citizenship to individuals. But no country can confer honorary nationality on any one as his birthplace cannot be changed.

Nationality can be described as a term that refers to belonging to a group having same culture, traditions history, language and other general similarities. On the other hand, citizenship may not refer to people of the same group. For example, an Indian and may be having a US citizenship but he will not be belonging to the same group as that of the American nationals.
Summary
1. Nationality can be applied to the country where an individual has been born. Citizenship is a legal status, which means that an individual has been registered with the government in some country.
2. Nationality is got through inheritance from his parents or it be called a natural phenomenon. On the other hand an individual becomes a citizen of a country only when he is accepted into that country's political frameworkthrough legal terms.
3. No one will be able to change his nationality but one can have different citizenship.

Read more: Difference Between Nationality and Citizenship | Difference Between | Nationality vs Citizenship Difference Between Nationality and Citizenship | Difference Between | Nationality vs Citizenship
With this article what do you entail? That you can't have dual citizenship similarly to nationality. What is confusing most of us and even politicians is that they seek for nationality of two nations which according to your article is absolutely IMPOSSIBLE!
 
No
Nasema hivi ni tatizo la lugha ya kiswahili ndo linachanganisha watu.
Tatizo lilopo Tanzania, ni kuwa mtu akichukua citizenship(Passport) Tanzania ina mnyanganya vyote yani Nationality na Citizenship kitu ambacho ni uvunjifu wa haki za binadamu. Tanzania ilitakiwa ku revoke only Citizeship. Huwezi wanyanganya watu nationality zao kwa kigezo chochote kile.

Wanachokipigania watanzania waliochukua citizenship ni kurudishiwa haki yaki yao ya msingi ya nationality. Nationality hainyanganywi kama ambavyo mtu ataweza kukunyang'anya mama yako mzazi na kukuaminisha huyu si mama yako. Nationality ni natural. It's genetic and not political platform.

Wazazi waliokuzaa watabaki kuwa ndo wazazi wako wanaoshea nao jinzi hii ndo NATIONALITY, hainyanganywi ni Tanzania tu kote duniani. Wazazi wa ku adopt (Citizenship) wanaweza kuku adopt wengi kadri inavyowezekana, lakini hiyo haikufanyi JINZI ama DNA za wazazi wako zitoke mwilini mwako eti kwa vile uko adopted.

Swala la watanzania kurudishiwa nationality yao ni swala la haki ya binadamu tena la msingi, swala la haki za binadamu halihitaji kulihoji lina hasara ama faida. Ni swala la haki.
Watanzania wanachotafuta ni dhuluma ya kunyanganywa nationality, NOTHING MORE NOTHING LESS.
 
Neno la Kiswahili Uraia ndo nafikiri wengi wenu linawachanganya. Hili si kosa lenu bali ni kosa la lugha ya kiswahili kutokuwa na msamiati sahihi. Naomba mtofautishe kwa kutumia neno la kiingereza.
1.Nationality
2. Citizenship
Watanzania wanaochukua Citizenship huko waliko, hawawezi kuchukua Nationality ya huko pia. Nationality ni moja tu sehemu ulipozaliwa ktk jamii yako, hili ni swala linalofungamana na social, lingua nk. Na nationality hauwezi kuwa renounced. Hivyo kuwa nyanganya watanzania nationality yao ni uvunjifu wa haki za binadamu. Kwa maana kwamba haitakuja siku mtanzania akapata nationality ktk nchi yeyote ile.

Citizenship ndo suala la kisiasa ambalo unaweza chukua ya nchi yoyote ile, hii ndo imeambatana na kupewa passport ama ID. Na unaweza
renounced mda wowote ule hii citizenship. Na ndio maana , ktk nchi zote duniani isipokuwa Tanzania tu, mtu mwenye nationality lakini hana citizenship(passsport) anaruhusiwa kwenda kwao na kufanya mambo kwao.

Hili suala la Tanzania kunyang'anya watu Nationality kumbuka sio citizenship, ni Nationality ni uvijifu wa haki za binadamu at the highest order possible.
Watu wameoa na kuolewa, kwa sheria hii ya unjifu wa haki ya binadamu ya Kitanzania Explicitly ina state kwamba, Mtanzania haruhusiwi pia kuoa ama kuolewa nje ya nchi. Ni sheria ya zaidi ya kihuni, ukishindwa kuona huu uhuni kwa kweli itatia shaka ktk level nyingine. Ni sheria ya kurithi ya walugaluga wa mtemi Isike.

Ndio maana nchi kama Marekania mtanzania ambaye ameasiliwa uraia wa nchi hiyo huitwa 'Tanzanian American'
 
Nchi kama Ujerumani ama Poland na nyingi tu, wanawaita Tanzanian with Polish passport.

Harafu watu wakitafuta haki, eti wanahoji hasara na faida. Hapa sio swala la faida ama hasara ni swala la haki za binadamu.
 
Difference Between Nationality and Citizenship

Nationality vs Citizenship
Nationality and citizenship are two terms that are sometimes used interchangeably. Some people even use the two words '" citizenship and nationality - as synonyms. But this is not true and they differ in many aspects.
First of all let's see what nationality means. In simple words, nationality can be applied to the country where an individual was born. Then what does citizenship stands for? It is a legal status, which means that an individual has been registered with the government in some country.

An individual is a national of a particular country by birth. Nationality is got through inheritance from his parents or it be called a natural phenomenon. On the other hand an individual becomes a citizen of a country only when he is accepted into that country's political framework through legal terms.
Elaborating the two words, an individual born in India, will be having Indian Nationality. But he may have an American citizenship once he has registered with that country.

Well, No one will be able to change his nationality but one can have different citizenship. An Indian can have an American or Canadian citizenship but he cannot change his nationality. Another example is that people of the European Union may have European Union Citizenship but that person's nationality does not change.
Coming to citizenship, some nations also confer honorary citizenship to individuals. But no country can confer honorary nationality on any one as his birthplace cannot be changed.

Nationality can be described as a term that refers to belonging to a group having same culture, traditions history, language and other general similarities. On the other hand, citizenship may not refer to people of the same group. For example, an Indian and may be having a US citizenship but he will not be belonging to the same group as that of the American nationals.
Summary
1. Nationality can be applied to the country where an individual has been born. Citizenship is a legal status, which means that an individual has been registered with the government in some country.
2. Nationality is got through inheritance from his parents or it be called a natural phenomenon. On the other hand an individual becomes a citizen of a country only when he is accepted into that country's political frameworkthrough legal terms.
3. No one will be able to change his nationality but one can have different citizenship.

Read more: Difference Between Nationality and Citizenship | Difference Between | Nationality vs Citizenship Difference Between Nationality and Citizenship | Difference Between | Nationality vs Citizenship

Very very true ever
 
Wivu
Watanzania tupande hatua moja zaidi kuondokana na dhana ya wivu ambayo kuendelea kuiendekeza inazidi kudunisha ukuaji wa uchumi. Wivu ni ni adui mbaya sana maana haangalii manufaa kipana ila tu upande mmoja tu kwa kuangalia mnufaika bila upana wa manufaa ya mnufaika yanajenga mazingira gani mazuri kwa wanaomzunguka na taifa. Nimeona wengi tu wameshuka na kuanzisha miradi ambayo imaajiri vijana kadhaa, hapa wenye kunufaika zaidi ni vijana waajiriwa na taifa, sisi hatulioni hili.

Kuna wengi wenye ujuzi mbalimbali waliopata huko, wanahitaji nafasi na mazingira ya kuwawezesha kushiriki kujenga nchi yetu si kwa kuomba pesa serikali bali uwezekano wa kuanzisha mipango ya kiuchumi na viwanda, afya, elimu, kilimo nk. Uanzishwaji na uendeshaji wa mipango hiyo utafungua macho na akili za wazawa wengi kuiga. Wengi wanapenda kuelekea mikoani tofauti na wazawa wangi walioishi nchini zaidi ambao wenye kuelekeza macho mujini darisalama tu ndio mafanikio ya maisha.

Dunia kijiji (global village
Watanzania tusiwe watu ambao tunaishi ndani ya kisiwa bado kisichoingilika, uchumi wa dunia hukua kwa kuingiliana na mataifa mbalimbali, hata enzi hizo ulaya walihangaika kupata njia ya kufikia nchi za mashariki kirahisi ili kupanua wigo wa uchumi. Nchi za Asia zimenufaika na raia wake wakaao nchi za magharaibi kwa kuiba utaalamu waliyopata huko na kwenda kuwafunza na hivyo kukuza viwanda na sasa ni tishio kwa uchumi wa nchi za magharibi.

Ukuaji wa uchumi chachu ni mwingiliano
Hakuna taifa lililoendelea kutokana na mali iliyopo ndani ya nchi pekee, ila kutokana na kufungua milango wazi ya kushirikiana kiuchumi na mataifa mengine. Hii ni pamoja na kupata
· Resources za kuendeshea biashara na uchumi toka nchi nyingine
· Kupata soko la bidhaa kwa mataifa mengine
· Kupata taaluma na wataalamu toka mataifa mengine.
Kubaki isolated ni kuweka kifungoni kiuchumi, kimaendeleo na ushirikiano, ndo maana hata mipango ya michezo ya kimataifa ni kwa nia hiyo zaidi. Tutaendelea kupitisha baluli hadi lini wakati baadhi ambao wamebahatika kujifunza na kuishi nchi zilizoendelea wanataka kutumia njia hizo kuziishi hapa home na kutufunza wengine?

Kuna wengi toka familia za kimaskini
Hoja kwamba familia za wenye uwezo ndozo lengwa kwenye mpango wa kunufaika na uraia pacha si sahihi, labda kwa wale ambao hawajabahatika kufika nchi ambazo zina watanzania wahamiaji. Wengi wa wahamiaji hao hasa nchi za magharibi ni kutoka familia maskini kutokana na kukosa ajira Tanzania. Walipokumbana na masharti ya ajira katika nchi hizo ikiwa ni pamoja na masharti ya ukazi au uraia ndipo mazingira yalipowalazimisha kufanya hivyo. Wananchi wa matiafa mengi hata yale ambayo nchi zao zinapigana vita wengi moyo wao ni home sweet, wanasubiria hali itulie makwao ili warejee na kuungana na familia zao.

Tanzania tunawakumbatia wageni wenye uraia pacha
Jambo la kushangaza ni pale wageni wengi wenye uraia pacha wanapozidi kujaa nchini tangu awamu zilizopita kutoka mataifa mbalimbali duniani yakiongozwa na mataifa ya bara la asia na sasa nchi za Magharibi nazo raia wake wanazidi kufurika. Hao wanakuja kuchuma na kupeleka kwao, tofauti na wazawa ambo wamevuna huko nje wanataka kurejesha nchini sisi tunawawekea ngumu, huu ni mpango mzima wa kukosa undugu, ubinafsi, kuendekeza wivu usio na manufaa kiuchumi, na kujaribu kutoa visingizio visivyo na hoja zenye tija ila kutia khofu balada ya kueleza ukweli.

Watanzania tufunguke, tupo ndano ni global village, tunapaswa kushiriki yaliyomo ndani ya global village. Tumekuwa wa mwisho katika mengi tu hata hilo tumeshatanguliwa na mataifa yanayotuzunguka na hawahalalamikikia hoja dhafifu zinazoletwa hapa ila kinachoonekana ni matunda ya wanacholeta hao walengwa kwa nchi zao.
 
Mh Membe yuko sawa sana, watu wapewe haki zao. Hoja ingekuwa hoja kama ingejikita zaidi kujadili jinsi ya kuwapa uraia (citizenship) wananchi wasio na utaifa (nationality) wa Tanzania.

Otherwise, kinachoendelea ni uvunjifu wa haki za msingi za binadamu.
 
Sorry, I did not know I was commenting on something some people do not understand OR their power of reasonable analysis is well below a dimwit. I expected you to argue your way as to why the status quo is invalid given that no one said you should not adopt any nationality of your choice.

Hujataja ni faida gani hizo ambazo kukosa uraia wa nchi mbili kumekuzuia kuisaidia Tanzania. Ukweli ni kuwa hakuna. Bado unaweza kufanya vyote unavyotaka ukiwa nje na bado ni mtanzania. Wengi wenu mnataka huu uraia wa nchi mbili ili muweze kufaidi cheap services kama raia huko mliko but this is CHEATING and an honourable person will not resort to that kind of behaviour. I personally worked in various countries with my Tanzanian passport and had never contemplated adopting other nationalities. You should fight to build a social order in your own country similar to the european OR Australian or whatever instead of wanting to reap where you did not sow. Tujenge nchi yetu ili wengine waitamani kuwa raia wake kama unavyotamani huko badala ya kukimbilia uraia wao. You must excuse me but I have difficult understanding guys like you. I might be forced to call you guys a nasty name but I am above that.

We are well above that and I can assure you, the debate is closed "NO DUAL NATIONALITY" as far as many of us who can argue for a single nationality are alive. We shall tell the majority poor why it should not be allowed in the country. Not because others are adopting, but because we do not need it in Tanzania.

Thanks for this stance.

Tusing'ang'anie "short run gains" za watu wachache huku tukiweka mazingira ya "long run loss" kwa taifa zima. Kwa mtazamo wangu, ni vigumu kujua "loyalty" ya mtu mwenye "dual citizenship". Tutasema tunaishi na mzalendo mwenzetu, kumbe ni SPY tu kwa ajili ya Taifa lingine au akawa ni mtu anayechukua mali kutoka kwetu kwenda kufaidisha nchi ya pili. Kama hili swala ni la kupigiwa kura, nitapiga kura ya HAPANA.
 
Inabidi tuchague nchi za kuweka nao dual citizenship

Nchi kama rwanda sidhani kama tunahitaji dual citizenship nao, watakuwa wanakuja kufanya mauaji na kukimbilia kwao
 
Back
Top Bottom