Kwa Mtanzania wa kweli sidhani kama anaweza kushabikia hoja hii. Bila shaka manufaa ni kwa kundi dogo sana la watu ambalo mwisho wa siku watakuja ku-abuse hiyo haki.
kumbuka kuwa wakati huo BABA,MAMA,WAJOMBA,SHANGAZI NDUNGU,JAMAA NA MARAFIKI WAPO TANZANIA,sasa kuninyima uraia ambao ndio uhalisia wa vinasaba vyangu ni kuninyima haki ya kuishi,na ndio maana hata wanya pia huwa wanahama,leo SERENGETI,Kesho Kenya,hawapendi,lakini ndio utafutaji wa maisha ulivyo.
Naunga mkono uraia wa nchi 2 kuliko hata hizo posho wanazozitaka ziongezeke.
unafuu wa elimu, afya, mikopo n.k. Yanakufanya uchukue uraia wa kigeni, lakini unataka ubaki na uraia wako wa kuzaliwa! Ninashangaa kwa sababu kule unakochukua uraia wanakutegemea uwe mzalendo na uishi uraia huo. Wakati huo wewe unataka kuishi 'huku wataka kule wataka'...
Mkuu kula tano..madhara ya dual citizenship ni makubwa kuliko faida ..mie nafikiri hio kitu isikubaliwe kabisaa ni majanga, kwanza tujiulize hivyo sie tulioko ughaibuni ni asilimia ngapi ya population ya Tz..maana wabongo walioko nje ni wachache sana huwezi kucompare eti Kenya au Uganda...pili hivi kuna mbongo haswa anaweza shindwa kuinvest TZ eti kwa vile tu ana uraia wa nchi zingine???mie nimefika bongo mwaka juzi pamoja na uraia wangu wa ughaibuni lakini nimefanya mambo mengi kama raia bila mgogoro wowote na nikitaka hiko kitambulisho cha uraia naweza kupata pia...tuache longo longo uraia wa nchi mbili kwa TZ kwa sasa ni majanga na haswa kipindi hiki muhimu cha uvumbuzi wa mafuta na gesi...tuangalie mambo muhimu kwa faida ya wananchi wengi wa Tanzania na sio hilo la watu wachache sana wanaoishi huku ughaibuni.kitu cha kwanza cha kufaham ni diaspora na dual citizenship ni vitu viwili tofauti, alafu wakat mwingine tusipende kumfurahisha kila mtu sababu ni kitu kisichowezekana. Dual citizenship is something very risky, let's not be blinded by investment. Hasara zinazoweza sababishwa na dual citizenship kwa nchi masikini na changa km TZ ni nyingi compared to faida. c kila kitu ni cha kuiga jaman kumbukeni hao wanao taka dual citizenship endapo mambo yatakwenda ndivyo sivyo wataikimbia TZ na kurudi kwenye nchi walizochukua uraia kwa maneno marahisi u can't get true patriot citizens through dual citizenship
Wote mnaopinga uraia wa nchi mbili ni WIVU tu na hakuna lingine. Wengi sababu zenu ni mbovu kabisa, mnamitandao someni faida zake. Mnataka muambiwe humu ili iweje?
Acheni wivu na uoga wa wao walivyo kimaishakili zaidi yenu.
Hujui usemacho
Naona unatoa hisia zako. Baati mbaya hii ni sehemu ya kutoa hoja zinazombatana na vielelezo na mifano
Hivi Baregu gani yuko UD Fanya utafiti kabla ya kuleta mada hapa JF na mijitu mingine inakurupuka kusaport mada bila kujiuliza.
Kwa Mtanzania wa kweli sidhani kama anaweza kushabikia hoja hii. Bila shaka manufaa ni kwa kundi dogo sana la watu ambalo mwisho wa siku watakuja ku-abuse hiyo haki.
Mkuu kula tano..madhara ya dual citizenship ni makubwa kuliko faida ..mie nafikiri hio kitu isikubaliwe kabisaa ni majanga, kwanza tujiulize hivyo sie tulioko ughaibuni ni asilimia ngapi ya population ya Tz..maana wabongo walioko nje ni wachache sana huwezi kucompare eti Kenya au Uganda...pili hivi kuna mbongo haswa anaweza shindwa kuinvest TZ eti kwa vile tu ana uraia wa nchi zingine???mie nimefika bongo mwaka juzi pamoja na uraia wangu wa ughaibuni lakini nimefanya mambo mengi kama raia bila mgogoro wowote na nikitaka hiko kitambulisho cha uraia naweza kupata pia...tuache longo longo uraia wa nchi mbili kwa TZ kwa sasa ni majanga na haswa kipindi hiki muhimu cha uvumbuzi wa mafuta na gesi...tuangalie mambo muhimu kwa faida ya wananchi wengi wa Tanzania na sio hilo la watu wachache sana wanaoishi huku ughaibuni.
Big up Prof. Baregu wewe ni mzalendo wa kweli!!!

Pamoja na kuishi nje ya tz sikubaliani na dual citizenship uraia ni wa nchi mmoja ndio mpango mzima, ukitaka wa huko ulipo ni hiyari yako, hakuna faida za uraia wa zaidi ya nchi mmoja,ni kwa faida ya watu wachache sana.
Wakuu,
Sasa hivi tu huo uraia wa nchi mbili haujaruhusiwa mmeua faru wote na tembo wote nchini, ukiruhusiwa je?si ndo mtauza kabisa mbuga na mlima Kilimanjaro na kukimbilia ughaibuni?
Mfumo wetu wa ulinzi bado upo ki-analogia,inabidi tusubiri mpaka pale mfumo wetu utakapokuwa upo-digital kama wenzetu ili kuweza ku-monitor watu wema na wabaya wanaoingia na kutoka na wale wenye uraia wa nchi mbili kwa manufaa Yao binafsi!
Mungu ibariki nchi yetu!