Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,884
Kwani wamekatazwa? mbona wakenya na wazungu, wahindi wa aarabu kibao wameajiriwa huku bongo?
Kwa Work Permit Mkuu....
http://tanzania-gov.de/content/view/10/4/
#MosKwito !
Kwani wamekatazwa? mbona wakenya na wazungu, wahindi wa aarabu kibao wameajiriwa huku bongo?
Utakuwaje mzalendo kwa nchi mbili?! Chagua moja kusuka au kunyoa mkuu, hakuna kitu kinaweza nibadilisha utaifa wangu Abadan.
Nitaanisha sababu za nchi tajwa kushabikia dual citizenship:
Swali Kuu, Je , kuna maelfu ya wa-Tanzania wangapi walioishi ughabuni miaka zaidi ya 30 ambao wameweza kuhodhi ughaibuni biashara kubwa, wameajiriwa ktk taasisi nyeti kuweza ku-lobby (kuiunganishia ulaji) Tanzania, ni wabunge ughaibuni, madaktari, wanasheria mahiri ughaibuni?
- Kenya hawana ardhi, maana ardhi inahodhiwa wachache, sera ya kupeleka wa-Kenya nje kuwa diaspora ilianzishwa na ma-settler Kenya baada ya kutwaa ardhi kubwa na kuona Tanganyika ni sehemu ya kuwapeleka waKenya. Mzee Kenyatta pia alipenda kuona waKenya wahamie Tanzania kutokana na sera tata za Mkoloni mweusi wa Kenya na mpaka leo inakuja kwa kubebwa na East African Community Revival. Marehemu Tom Mboya miaka ya 1960 walianzisha Air-lift kubwa kuwapeleka vjjana vyuoni Marekani na Obama ni mtoto wa operesheni hiyo inayosababisha diaspora kubwa ya waKenya USA kuanzia miakaya 1950 mwishoni.
M- Israel wao wana wafanya biashara wakubwa nje kama Mark Rich, Wa-Israeli wamehodhi biashara ya Almasi huko Belgium, Mabenki France, UK , USA n.k kuneemesha uchumi wao. Ku-lobby ndo wenyewe mitaa maarufu jijini Paris, France ina majina kama Ben Gurion mwasisi wa Taifa la Israel Mashariki ya Kati.
- Ethiopia wana maelfu ya wakimbizi kutokana na Mapinduzi yaliyogoa Mfalme Haile Sellasie mwaka 1974 na hivyo baada ya miaka 40 ughaibuni wamekuwa na uwezo kibiashara, kielimu n.k kusaidia nyumbani.
- Nigeria, mlolongo wa mapinduzi ya kijeshi miaka ya 1960, 1970 na vita ya Biafra imesababisha kuwa na diaspora kuwa Ulaya na Marekani ifikiayo mamilioni kwa zaidi ya miaka 50 kama Ethiopia.
- China, raia zake wamehodhi uchumi wa nchi nyingi kama ukienda The Philipines, Malaysia, Singapore n.k hivyo watasadi uchumi wa nyumbani.
Jibu ni kuwa Watazania wengi ni watu wa kawaida hata nyumbani Tanzania hawatambuliki kuwa wanaweza kuleta Mabadiliko Makubwa kwa Haraka hivyo basi muda wa Dual citizenship kuifaidisha Tanzania bado haujafika na suala hili litiwe kapuni labda lirejeshwe kujadiliwa baada ya miaka 50 kupita kuanzia sasa.

Mkuu hoja yako ni nzuri ila imejengwa kwenye majority rights bila ku-consider kuwa hata monorities deserves equal rights and justice.Sidhani kuwa ni sahihi kusema kuwa watanzania wanaotambulika ndio wanahaki ya ku-retain uraia wa Tanzania pale wakipata fursa nje ya nchi na kuamua kuchukua uraia wa huko.Ukweli ni kuwa wenye shida sana sana na watakaofaidika na hii dual-citizenship ni watanzania wanaotoka kwenye familia maskini sana ambao wamepata fursa nje ya nchi lakini maisha yakuwa maghumu zaidi kwa kukosa social privileges kama vile, ajira nzuri, unafuu wa healthcare, mikopo,nafuu ya elimu nk wasipokuwa na uraia wa hizo nchi. Hizo gharama watoto wa mafisadi, wafanya biashara wakubwa, matajiri, na watoto wa wanasiasa matajiri hawazishindwi badala yake wanaoathirika ni watoto wa walala hoi ambao wanaishia kwenye ajira zisizo rasmi au hata kufiwa na wapendwa wao kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu to meantion a few.Wanapopata hizi fursa wanaona fahari sana kuinua jamii yao huku nyumbani kwa vile wanafahamu walikotoka na sababu ya msingi iliyowapeleka kutafuta hizo fursa huko nje ambayo ni hali duni ya maisha na fursa chache.
Hoja ya kwamba wanaweza kuleta mabadilko makubwa au la, nadhani anayeweza kupima ukubwa au udogo wa mabadiliko ni yule ambae msaada umemfikia, unaweza ukawa ni msaada usiokuwa na faida inayoonekana katika community level lakini ikawa na faida kubwa sana katika family level. Bado itakuwa imeleta mabadiliko because it's touching people's lives directly.
Hivyo basi mimi naunga hoja ya dual-citizenship, nakubaliana na wengine kwamba ni mabadiliko hayo yanakuja na challenges, we should focus on discussing how those challenges can be met, but not on the right or wrongs Dual Citizenship!!
Kwa Mtanzania wa kweli sidhani kama anaweza kushabikia hoja hii. Bila shaka manufaa ni kwa kundi dogo sana la watu ambalo mwisho wa siku watakuja ku-abuse hiyo haki.
hapo ndo napata shida kuelewa,kwani huyo mbeba mabox hawezi kufanya haya kwa sasa?mbona kuna watz wengi wanawatumia ndugu zao hela na wanasomesha ndugu zao bila wao kuwa tz physically?Siyo lazima wawe maarufu ndiyo walete mabadiliko. Kama wakifanya kazi na kutuma hela nyumbani (remittances) watasaidia uchumi. Kama mbeba boski anatuma mfano euro 500 (euro 6000 per annum) kila mwezi kwa familia yake kule kijijini, hi si ni hata zaidi ya yule mtalii mzungu anayekuja mara moja kwa mwaka na kulipa airport taxes, na kiingilio cha mbugani? Huyu mbeba boksi si atasomesha mdogo wake shule? Mdogo wake akimaliza shule si atachangia kwenye uchumi akianza kazi?
hapo ndo napata shida kuelewa,kwani huyo mbeba mabox hawezi kufanya haya kwa sasa?mbona kuna watz wengi wanawatumia ndugu zao hela na wanasomesha ndugu zao bila wao kuwa tz physically?