kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala
sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?
In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya
Mwenye kutaka uraia wa nchi mbili si akane uraia wa tz akachukue wa kenya then wa uk. uraua wa nchi mbili kwa ajili gani. ina maana huna imani na nchi yako au??? mtanzania wa kweli ni yule anaeipenda Tanzania na yuko tayari kufa kwa ajili ya Tanzania