mleta maada toa hoja usimu abuse mtu kwa taaluma yake na huenda we ukijumlisha elimu za ukoo wenu ndo umfikie prof. Baregu kwani ye amepinga kwa hoja gani lete hoja tujadili sio ushabik wa kijinga
Mi nadhani yupo sahihi sisi watanzania hatujui kutumia uhuru tukipewa chochote lazima tukizidishe hapa sheria haijapita wageni kibao walianza wahindi wako kibao saiz wachina wamejaa tz sasa fkiria tukiwapa uraia wote itakuwaje na wengine wakija itakuwaje?? itakuwa nchi au shirika la wakimbizi??
tumeshindwa kuuinua uchumi wetu tukiwa wenyewe tukiongeza na wengine wataokuwa na uraia hapa si ndo tutakuwa wa mwisho hebu fikiri kwa kutumia akili hapo ndo unaonesha utofauti wako na prof tungekuwa tunaweka sheria kwa kuangalia nchi basi tungehalalisha ushoga coz nchi kubwa zmehalalisha
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala
sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?
In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya
Pamoja na kuishi nje ya tz sikubaliani na dual citizenship uraia ni wa nchi mmoja ndio mpango mzima, ukitaka wa huko ulipo ni hiyari yako, hakuna faida za uraia wa zaidi ya nchi mmoja,ni kwa faida ya watu wachache sana.
Unafuu wa elimu, afya, mikopo n.k. Yanakufanya uchukue uraia wa kigeni, lakini unataka ubaki na uraia wako wa kuzaliwa! Ninashangaa kwa sababu kule unakochukua uraia wanakutegemea uwe mzalendo na uishi uraia huo. Wakati huo wewe unataka kuishi 'huku wataka kule wataka'...
Ukitaka kuendelea na uraia wako, baki nao usiunajisi kwa kuchukua uraia mwingine. Hao wanyama wanachofanya ni kutembea tu na muda ukifika wanarudi kwao. Hawakani uraia wao.kumbuka kuwa wakati huo BABA,MAMA,WAJOMBA,SHANGAZI NDUNGU,JAMAA NA MARAFIKI WAPO TANZANIA,sasa kuninyima uraia ambao ndio uhalisia wa vinasaba vyangu ni kuninyima haki ya kuishi,na ndio maana hata wanya pia huwa wanahama,leo SERENGETI,Kesho Kenya,hawapendi,lakini ndio utafutaji wa maisha ulivyo.
Naunga mkono uraia wa nchi 2 kuliko hata hizo posho wanazozitaka ziongezeke.
Wacha uongo wewe! Tangu lini China imeruhusu dual citizenship. Nchi makini zinazotegemea uzalendo kutafuta maendeleo ya watu wao hazifanyi biashara ya uraia wa nchi mbili. Watu wenye mbari ya kichina raia wa nchi zingine wengi wanaipenda nchi ya asili yao. Kinachofanyika serikali ya china inawatumia kuleta utaalam na uzoefu kuendeleza china. Sio Baregu tu wengi tunapinga dual citizenship badala yake tunapenda kurejeshwa hali ya uzalendo na uadilifu nchini. Sioni shida gani kwa mtu mwenye asili ya tanzania (mzawa) kushindwa kuwekeza na kutoa mchango kwa maendeleo ya ndugu zake (na yake binafsi) hadi apewe uraia alioukana kwa kua raia wa nchi nyingine. Hapa kuna hatari ya nchi kuongozwa na mamluki wenye uraia wa nchi za kigeni. Kuna minong'ono baadhi ya wanaowania urais wana uraia wa nchi kama USA na canada na hata mmoja inadaiwa amewaeleza watu marekani inataka yeye ndio awe rais wa tanzaniakila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala
sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?
In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala
sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?
In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala
sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?
In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya
Ukitaka kuendelea na uraia wako, baki nao usiunajisi kwa kuchukua uraia mwingine. Hao wanyama wanachofanya ni kutembea tu na muda ukifika wanarudi kwao. Hawakani uraia wao.
kwanza huyo siyo prof. baregu, kwani alishastaafu siku nyingi na hayupo UDSM na ndio maana yuko CDM anakula maisha vinginevyo mkono wa sheria unaozuia watumishi wa serikali kujiingiza katika siasa ungemkuta
pili suala la uraia ni la kisera na ni lazima ulifanyie uchambuzi na kuona faida na hasara zake kabla ya kujiingiza kichwa kichwa
kuna changamoto nyingi za uraia wa nchi mbili, mm natoa tatu tu, wengine muongezee-
1. wizi na upotevu wa mali za umma
iko hatari kubwa wezi wakubwa wa mali za umma wakatumia mwanya huu kufanya uhalifu na kwenda kujificha katika nchi ambazo watakuwa na uraia. fikiria leo hatuna uraia wa nchi mbili lakini watu wamehifadhi mabilioni ya fedha nyingi nje ya nchi. kinachowashinda kukimbilia huko na kujificha ni kutokuwa na uraia wa nchi hizo, maana wanawajibika kuukana uraia wa tanzania kabla ya kupata uraia wa huko. unadhani ni rahisi kuikana damu yako?unafikiri hataulizwa kwanini anaukana uraia wake ilihali alikuwa kiongozi mkubwa wa nchi hii?
2. utakuwa uchochoro wa watu waovu
hili wanalitumia sana wahindi na watu waovu, wanakuja Tanzania, wanajifunza kiswahili, wananishi miaka angalau mitano saba kisha wanaomba uraia. wengi wao wakishapata uraia huo baada ya mda mfupi hukimbilia Canada, Uingereza na Marekani na kupata uraia wa huko na kuishi huko. katika sera za canada, Uingereza na marekani sio rahisi mhindi akatoka India akaenda moja kwa moja marekani/Uingereza/canada na kuomba uraia. hili lisipoangaliwa vizuri utanzania utawanufaisha watu wa nje kuliko sisi
3.uraia wa nchi mbili nani atafaidika
ukweli watakaofaidika kwa sehemu kubwa ni viongozi wa serikali, matajiri, mafisadi na wezi wa mali za umma ambao ni sehemu ndogo sana ya watanzania. sasa tuchague kama lengo letu ni kunufaisha watu wachache badala ya wengi sawa.Wakubwa hawa ndio wanaojua hata nchi za wenzetu zikoje, zina fursa gani za uchumi na wapi pazuri pa kwenda kuchukua uraia na kuishi. je ni mtanzania gani mwingine zaidi ya hawa niliowataja watapata fursa hiyo.Fanya tathmini ndogo tu hivi leo kwann passport ni anasa kwa watanzania? kwanini mtu anapoomba passport anaanza kuulizwa unasafiri n.k. kwann passport isiwe haki ya kila raia na itolewe bure kwa kila mtanzania? hili nalo ni tatizo. kuna watu wameishi hadi wamekufa wana zaidi ya miaka 100 lakini hawajui wala hawajawahi kufika kenya wala uganda wala Burundi wala kongo wala Rwanda. je kwao uraia wa nchi mbili unawasaidia nini
mm kwangu la msingi tungejenga uchumi watu wapate maendeleo na elimu yetu iwe za vitendo zaidi kiasi cha kuwafanya wasomi kujiajiri na kutafuta kufungua makampuni nje ya nchi, tukifanikiwa katika hilo hata unapofungua mpaka kwa namna hiyo ya uraia wa nchi mbili una hakika watu wengi watanufaika na nchi itanufaika. kwa sasa tukiruhusu hakuna faida kubwa ambayo nchi inaweza kupata isipokuwa itakuwa ni faida ya watu binafsi na wachache
hivyo, huo ni mtizamo tu, nawe toa maoni yako
kuna wezi wangapi hapa Tanzania na ni mafisadi na bado wapo Tanzania?
cha msingi ktk hili ni kuwa na sheria kali zitakazoweza kupambana na wezi wa mali za umma na si uraia pacha[/QUOTajutE]
mfumo wa kulindana ndio unaowasaidia kwa sasa, lakini akiingia mtawala mwingine mwenye mtizamo tofauti na hili likawa kipaumbele watajuta. na wao kwa kujua hili ndio maana wanatumia nguvu kuhakikisha hili linafanikiwa kabla ya utawala wa haki, ambao nao hauko mbali sana
Prof. Mwesiga Baregu, is quite right. At the moment we have other issues which we must sought out before we embark on this dual citizenship. I speak this as professional in the field of international migration. I have done researches in various countries in Africa. Dual citizenship is not the best option at the moment. Lets conclude the issue of constitution, the issue of National ID, handle the land question with our fellow east African then we can start serious discussion about the subject matter.
I salute Prof. Mwesiga Baregu, a well informed intellectual in the field of International relation and African politics.
Kwa mfano mimi nimezaliwa malinyi nina heka 200.wazazi wangu wakanipa heka 100 zikawa 300 lakini nikaona niwahi majani mabichi ulaya.je sina haki ya kuja kuziendeleza hekali zangu za aridhi hata kama nimepata uraia wa nchi nyingine?
Ndugu yangu kwa kila hali mimi sikubaliani na hiyo dhana ya uraia pacha - haiwezekani mtu mmoja akawa na uzalendo pacha. Loyalty cannot be divided.HAHAHAHAHA
Ndio tunachokisema hapa mkuu
kwa nchi zinazoruhusu uraia pacha hutakiwi kukana uraia wako,kwa Tanzania watu wake wanaukana uraia wa Tanzania kwa sababu Tanzania hairuhusu uraia pacha,sasa tunaomba iruhusu ili watu wake wasiukane utanzania