Profesa BAREGU ndiye kinara wa kupinga dual citizenship

arigold

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
600
Reaction score
341

kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko chuo kikuuu anaongoza kwa kupinga hili suala

sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?

In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya

wenzetu kule Kenya kwenye katiba yao mpya wamesema hivi:

<strong><font size="4">
Citizenship[edit]

The new constitution makes important reforms to the previous framework on citizenship, in particular by ending gender discrimination in relation to the right of a woman to pass citizenship to her children or spouse; by ending the prohibition on dual citizenship; and by restricting the grounds on which citizenship may be taken away. The text has been criticised, however, for not providing sufficient protections against statelessness for children or adults.[SUP][13]

[/SUP]

  • A person is a citizen by birth if on the day of the person's birth, whether or not the person is born in Kenya, either the mother or father of the person is a citizen (Art 14(1)).

  • A person who has been married to a citizen for a period of at least seven years is entitled on application to be registered as a citizen (Art 15(1)).

  • A person who has been lawfully resident in Kenya for a continuous period of at least seven years, and who satisfies the conditions prescribed by an Act of Parliament, may apply to be registered as a citizen (Art 15(2)).

  • A person who is a citizen does not lose citizenship by reason only of acquiring the citizenship of another country (Art 16) and persons who are citizens of other countries may acquire Kenyan citizenship (Art 15(4)).

  • A person who as a result of acquiring the citizenship of another country ceased to be a Kenyan citizen is entitled, on application, to regain Kenyan citizenship (Art 14(5)).

Last edited by a moderator:
Kwa Mtanzania wa kweli sidhani kama anaweza kushabikia hoja hii. Bila shaka manufaa ni kwa kundi dogo sana la watu ambalo mwisho wa siku watakuja ku-abuse hiyo haki.
Hujui usemacho
 
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala

sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?

In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya

Ni zipi hizo na za kwako za msingi ni zipi!??
 
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala

sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?

In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya

Akili ya ki-weekend weekend hiyo.......UDSM hakuna Profesa Baregu kwa sasa, jaribu kufuatilia mambo kabla ya kutaja jina la mtu huku ukiwa huna uhakika au hujui usemalo.
 
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala

sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?

In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya

Ni muhimu kusoma history kabla haujapost mada yako, BAREGU alishaondoka UD miaka mingi sana imepita.
 
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala

sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?

In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya

Bila shaka anapinga kwa kutoa hoja zake. Hatuwezi kuingia huko kwa kuwa tu nchi kadha wamekubali dual citizenship.
Hao wanaoshabikia walete hoja za maana. Kusema tu nchi fulani wanayo si sawa.
Wangapi wameukana uraia wa Tanzania lakini wanajuta? Mbona wengi tu wanaishi huko ughaibuni wakiwa na uraia wa Tanzania.
Lazima pia tufikirie ni watu aina watakuja kuomba hiyo dual citizenship tukifungulia mbwa!
Itakuwa kisu chenye ncha mbili. Tuangalie sehemu zote.
 
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala

sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?

In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya
Mi naungana na prof.Baregu,kama utanzania pekee unatushinda,tukichanganya na utaifa mwingine
itakuwaje? kati ya nchi ulizozitaja nani tunamzidi kiuchumi japakuwa sina uhakika na ethiopia lkn nao wanatushinda kwa shirika lao la ndege kuwa na viwango vya kimataifa wakati la kwetu linazidi kutikitia kila uchao.
Natamani kwanza tufufue moyo wa utanzania ndipo tuongezee mengine.
kwa kuwa humu jf ni sehemu ya kuelimishana naomba mleta uzi anielimishe faida za kuwa na utaifa wa nchi mbili ukilinganisha na hasara tunazopata endapo huo mfumo hautapitishwa.
 
Huo uraia wa nchi mbili ni jini gani? Kwa nini basi msiwe na uraia wa nchi zote za dunia? Acheni upuuzi huu. Utanzania unatosha.
 
Kwa aafrika hakuna faida zaidi yakuoa au kuolewa na raia wa nchi zingine.Kiuchumi hakuna faida
 
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala

sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?

In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya

Kwa hiyo kikwazo cha Dual Citizenship ni Prof. Baregu?? Team Membe mna matatizo sana!
 
Mi naungana na prof.Baregu,kama utanzania pekee unatushinda,tukichanganya na utaifa mwingine
itakuwaje? kati ya nchi ulizozitaja nani tunamzidi kiuchumi japakuwa sina uhakika na ethiopia lkn nao wanatushinda kwa shirika lao la ndege kuwa na viwango vya kimataifa wakati la kwetu linazidi kutikitia kila uchao.
Natamani kwanza tufufue moyo wa utanzania ndipo tuongezee mengine.
kwa kuwa humu jf ni sehemu ya kuelimishana naomba mleta uzi anielimishe faida za kuwa na utaifa wa nchi mbili ukilinganisha na hasara tunazopata endapo huo mfumo hautapitishwa.

Mkuu kuna sababu za msingi za kushindwa Utanzania kweli? Hii isiwe sababu mkuu labda kama una nyingine! Hivi Baregu alisomea wapi? TZ au China?
 
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala

sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?

In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya
basi huyu rais wako ni dhaifu sana, kumbe le purofesa mmoja tu anamtetemesha????
 
Mkuu kuna sababu za msingi za kushindwa Utanzania kweli? Hii isiwe sababu mkuu labda kama una nyingine! Hivi Baregu alisomea wapi? TZ au China?
Kimsingi hakuna sababu,lakini nikuulize kwa nini watanzania wanashindwa utanzania.Mtu mkubwa alisema naye hajui kwa nini watz ni masikini.Hivyo namimi sababu ya watz kukosa utz siijui nahisi ni njaa.
Wenye mabilioni uswiss walisomea uchina?
Utaifa ni kuangalia mambo ya msingi yanayoliletea taifa maendeleo na siyo kutanguliza ulaji,take it from me,wote wanaogombea dual citizenship ni wale wenye kutaka kutorosha meno ya tembo,na kuuza unga bila kudaiwa visa za nchi husika/wanazopeleka mizigo.
Zamani ilikuwa mtu akiiba fedha kufikia milioni ishirini ulikuwa unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi,leo hii walioiba mabilioni ya EPA wanaombwa warudishe kabla hawajachukuliwa hatua,je hapo kuna utanzania?
 
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala

sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?

In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya

swala la kumzuia mtanzania asiwe na uraia pacha ni kumdulumu haki yake ya kuwa mtanzania,
nimezaliwa tanzania na ni raia wa tanzania nikienda nje ya Tanzania na nikaona kuna unafuu wa mambo kama vile elimu,afya,mikopo na mengineyo na sharti likawa ni kuwa raia,kwanini nisiombe uraia wa nchi ile,lakini wakati huo huo bado niendelee kuwa raia wa nchi yangu niliko zaliwa?
wanakuja wazungu na wahindi hawa hata kiswahili hawajui na bado wanapewa uraia wa Tanzania,yaani huyo anaaminiwa sana kuliko mie niliyezaliwa mpwapwa,nimekulia mpwapwa,nimesomea mpwapwa,nimeolea mpwapwa na kutafutia maisha nje ya Tanzania?
 
Back
Top Bottom