Kwa Mtanzania wa kweli sidhani kama anaweza kushabikia hoja hii. Bila shaka manufaa ni kwa kundi dogo sana la watu ambalo mwisho wa siku watakuja ku-abuse hiyo haki.
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala
sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?
In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya
Ni muhimu kusoma history kabla haujapost mada yako, BAREGU alishaondoka UD miaka mingi sana imepita.
Kimsingi hakuna sababu,lakini nikuulize kwa nini watanzania wanashindwa utanzania.Mtu mkubwa alisema naye hajui kwa nini watz ni masikini.Hivyo namimi sababu ya watz kukosa utz siijui nahisi ni njaa.
Wenye mabilioni uswiss walisomea uchina?
Utaifa ni kuangalia mambo ya msingi yanayoliletea taifa maendeleo na siyo kutanguliza ulaji,take it from me,wote wanaogombea dual citizenship ni wale wenye kutaka kutorosha meno ya tembo,na kuuza unga bila kudaiwa visa za nchi husika/wanazopeleka mizigo.
Zamani ilikuwa mtu akiiba fedha kufikia milioni ishirini ulikuwa unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi,leo hii walioiba mabilioni ya EPA wanaombwa warudishe kabla hawajachukuliwa hatua,je hapo kuna utanzania?
Person interest ndizo zinaku-drive kuandika mambo haya juu juu bilia kuwa na hoja ya msingi.kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala
sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?
In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya
Kwanza Baregu hayuko UDSM. Pili hata angekuwa UDSM tupe sababu alizotoa huyo anaepinga ili tuzifanyie tafakuri kusema tu sababu zake hazina msingi haitoshi.
Hivi uraia wa nchi mbili unamnufaisha nani hasa? Nani anastahil huo uraiya wa nchi mbili? Kukiwa na vita nani atapigana yule ambae hana pengine kwa kwenda labda awe kimbizi au yule raia naeishi nje ya Tanzania na uraia wake wa nchi nyingine?. Wakifanya hovyo hawa wenye uraia wa nchi mbili tutawadhibiti vipi? Nikipata majibu ya haya ndio nitalifikiria hili jambo kwa undani.
Kama ni hayo, hata mimi namuunga mkono Prof. Uzalendo ni pamoja na kushikilia ulichonacho siyo kukikana tu ati kwa sababu unataka kupata kazi, elimu, afya kwa unafuu!kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala
sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?
In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya
Unafuu wa elimu, afya, mikopo n.k. Yanakufanya uchukue uraia wa kigeni, lakini unataka ubaki na uraia wako wa kuzaliwa! Ninashangaa kwa sababu kule unakochukua uraia wanakutegemea uwe mzalendo na uishi uraia huo. Wakati huo wewe unataka kuishi 'huku wataka kule wataka'...swala la kumzuia mtanzania asiwe na uraia pacha ni kumdulumu haki yake ya kuwa mtanzania,
nimezaliwa tanzania na ni raia wa tanzania nikienda nje ya Tanzania na nikaona kuna unafuu wa mambo kama vile elimu,afya,mikopo na mengineyo na sharti likawa ni kuwa raia,kwanini nisiombe uraia wa nchi ile,lakini wakati huo huo bado niendelee kuwa raia wa nchi yangu niliko zaliwa?
wanakuja wazungu na wahindi hawa hata kiswahili hawajui na bado wanapewa uraia wa Tanzania,yaani huyo anaaminiwa sana kuliko mie niliyezaliwa mpwapwa,nimekulia mpwapwa,nimesomea mpwapwa,nimeolea mpwapwa na kutafutia maisha nje ya Tanzania?
Tukiwa na vita wanaopigana ni wanajeshiKwanza Baregu hayuko UDSM. Pili hata angekuwa UDSM tupe sababu alizotoa huyo anaepinga ili tuzifanyie tafakuri kusema tu sababu zake hazina msingi haitoshi.
Hivi uraia wa nchi mbili unamnufaisha nani hasa? Nani anastahil huo uraiya wa nchi mbili? Kukiwa na vita nani atapigana yule ambae hana pengine kwa kwenda labda awe kimbizi au yule raia naeishi nje ya Tanzania na uraia wake wa nchi nyingine?. Wakifanya hovyo hawa wenye uraia wa nchi mbili tutawadhibiti vipi? Nikipata majibu ya haya ndio nitalifikiria hili jambo kwa undani.
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala
sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?
In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya
kila JK akizungumzia suala hili la dual citizenship anasema kuna profesa yuko UD anaongoza kwa kupinga hili suala
sasa kwa kuwa hapa we dare TALK OPENLY nathubutu kumtaja kuwa ni profesa BAREGU sababu zake hazina msingi. kama kweli tuko serious kwa nini tusifanye kama CHINA au ISRAEL au NIGERIA au KENYA au ETHIOPIA tukawatumia hawa diaspora?
In the end inashangaza sana PROFESA BAREGU kuwa na mawazo mgando kama haya
hivi Prof. Baaregu ni UD au ni WA UDSM?