Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,161
- 126,226
Sawa, nipe faida kwa nchi kama angeshindwa kupata hy nafasi.Kaka mimi sio CHADEMA wala sio CCM ungejibu tu swali nililouliza 😅😅😅
Sawa, nipe faida kwa nchi kama angeshindwa kupata hy nafasi.Kaka mimi sio CHADEMA wala sio CCM ungejibu tu swali nililouliza 😅😅😅
Wanazungukazunguka mjini hawana mahali pa kujiweka, mwenzao mmoja ameamua kurudi chadema 😂Kweli kwa sasa G55 hawana chama.
Mshana Jr siyo chawa.Kazeni Moyo tuu wakuu 😂 wenzako Erythrocyte na mwenzie Mshana Jr wanapita kimya kimya na maumivu moyoni 😂
Kwan akiwa huko WHO hawezi kuwaambia?Angeendelea kutushauri tule machungwa kwa chai kuwa vipotabo!
Nyumbu gani hiyo imerudi?Wanazungukazunguka mjini hawana mahali pa kujiweka, mwenzao mmoja ameamua kurudi chadema 😂
Kweli kabisa, mimi ndo mimesema.Ww ndo umesema.
Umeona mkuu hapo umeongea sasaNami natamani kujua, kama nchi kuna faida gani inapatikana kuwa na kiongozi ngazi hiyo huko WHO? Maana nakumbuka Migiro alikuwa UN, Salim Ahmed nae AU ila sidhani kama kuna tija yoyote kwa taifa.
Kuna uzi humu ipo ya leo leo, ametambulishwa na Boni yai kwenye press yakeNyumbu gani hiyo imerudi?
Nilijua tu atashinda! Na ningeshangaa sana kama asingeshinda pamoja na usomi wake na kampeni kubwa iliyofanywa kuhakikisha anashinda.Hii ni taarifa ya hivi punde.
Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa.
Pongezi nyingi kwake na watanzania.
===============
Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumapili Mei 18, 2025, huko Geneva, Uswisi.
Prof. Janabi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda hiyo na Waziri wa zamani wa Afya wa Tanzania, aliyefariki dunia Novemba 2024.
Katika nafasi hii mpya, Prof. Janabi atahudumu kwa kipindi cha miaka mitano, akiwa na fursa ya kuchaguliwa tena kwa muhula mmoja zaidi. Kazi yake kuu itakuwa ni kuongoza juhudi za kuunda sera za afya, kuratibu huduma za dharura za afya, pamoja na kushinikiza suluhu bunifu kwa changamoto za kiafya barani Afrika.
Wagombea wengine walioshiriki katika uchaguzi huo lakini hawakufanikiwa ni pamoja na:
- Moustafa Mijiyawa (Togo)
- Dk. N’Da Konan Michel Yao (Ivory Coast)
- Mohamed Lamine Dramé (Guinea)
View attachment 3338251
Vumilieni tuu, bado October ndo itakuwa kubwa kuliko 😂Nimesikitika sana.
Duh, kuna wakati CHADEMA tunakuwa hatujui tunachokitafuta! Sasa Janabi naye tulikuwa tunamchukia kwa lipi hasa? Sasa tumeumbuka mchana kweupe!Kazeni Moyo tuu wakuu 😂 wenzako Erythrocyte na mwenzie Mshana Jr wanapita kimya kimya na maumivu moyoni 😂
Mkuu, mbona comment yangu hujibu, au hujaona nikuulize tena? 😂Umeona mkuu hapo umeongea sasa
Sawa turudi kwenye swali sasa, kwa hiyo ushindi wake una manufaa gani kwa Tanzania?Imekuwa gumzo kwa sababu kuna watu walikuwa wanaombea ashindwe, na wakawa wanaapiza kwamba hawezi kushinda! Kwahiyo, kabla ya kuhoji kwani TZ itanufaika na nini tulitakiwa kwanza tuhoji wale waliokuwa wanaombea ashindwe kwani walihofia Tanzania ingedhurika na nini kwa ushindi wake?
Na ushindi aliopata sio ushindi wa michezo!Hongera sana kwake.
Japo nguvu iliyotumika ilikuwa kubwa kupita kiasi.
Kwa hiyo tuseme tu hauna jibu la hilo swaliSawa, nipe faida kwa nchi kama angeshindwa kupata hy nafasi.
Binafsi mm sio chadema wala sio CCM, ila chadema wanazingua Sana, sasa hv wamebadili gia wanasema hicho cheo kina faida gn kwa nchi 😂Duh, kuna wakati CHADEMA tunakuwa hatujui tunachokitafuta! Sasa Janabi naye tulikuwa tunamchukia kwa lipi hasa? Sasa tumeumbuka mchana kweupe!
Jibu swali mzee, mbona maneno mengi 😂Kwa hiyo tuseme tu hauna jibu la hilo swali