Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,150
- 126,201
Chadema bhana 😂Huyu atasababisha soko la vyakula Afrika kushuka kwasabb ya kampeni yake ya kutaka watu wale mlo mmoja tu kwa siku.
Chadema bhana 😂Huyu atasababisha soko la vyakula Afrika kushuka kwasabb ya kampeni yake ya kutaka watu wale mlo mmoja tu kwa siku.
Chadema mnabadili Gia angani 😂Kura za kuhonga wallah ,maana ni Janabi ni zero brain. Kulinganisha na wenzake.
VOTING RESULTS:Kura za kuhonga wallah ,maana ni Janabi ni zero brain. Kulinganisha na wenzake.
Nami natamani kujua, kama nchi kuna faida gani inapatikana kuwa na kiongozi ngazi hiyo huko WHO? Maana nakumbuka Migiro alikuwa UN, Salim Ahmed nae AU ila sidhani kama kuna tija yoyote kwa taifa.Hivi kushinda kwa Janabi kunaisaidia nini Tanzania?
Maana hii habari imekuwa gumzo kubwa sana Tanzania
Chawa wa chadema wakiongozwa Erythrocyte na Mshana Jr wakiona hii itawauma Sana 😂VOTING RESULTS:
1. 🇹🇿 Prof Yakub Janabi: 32
2. 🇨🇮 Dr N’da Konan Yao: 5
3. 🇬🇳 Mohamed Drame: 4
4. 🇹🇬 Prof Moustafa Mijiyawa: 4
Yao was the best.VOTING RESULTS:
1. 🇹🇿 Prof Yakub Janabi: 32
2. 🇨🇮 Dr N’da Konan Yao: 5
3. 🇬🇳 Mohamed Drame: 4
4. 🇹🇬 Prof Moustafa Mijiyawa:
Chadema kazi mnayo leo 😂Fake news
Mbona wakati mnampinga hamkusema anaweza kupewa hy nafasi kama mfiwa?Hapana, katembelea nyota ya marehemu... yaani wamempa tu kama pole kwa mfiwa Tanzania
Wakti mnampinga Mbona hukusema who care 😂Who care
🤣🤣🤣Ahahaha kuna mijitu mishipa. Ilikua inawatoka kumkandia huyu jamaa
Chadema andaeni maandamano mana huko Uswisi napo hakuna tume huru ya uchaguzi 😂Kama wameweza kuiba kura uswizi , huku patawezekana kweli kuwazuia?
Safi sana, Tanzania great againHii ni taarifa ya hivi punde.
Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa.
Pongezi nyingi kwake na watanzania.
===============
Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumapili Mei 18, 2025, huko Geneva, Uswisi.
Prof. Janabi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda hiyo na Waziri wa zamani wa Afya wa Tanzania, aliyefariki dunia Novemba 2024.
Katika nafasi hii mpya, Prof. Janabi atahudumu kwa kipindi cha miaka mitano, akiwa na fursa ya kuchaguliwa tena kwa muhula mmoja zaidi. Kazi yake kuu itakuwa ni kuongoza juhudi za kuunda sera za afya, kuratibu huduma za dharura za afya, pamoja na kushinikiza suluhu bunifu kwa changamoto za kiafya barani Afrika.
Wagombea wengine walioshiriki katika uchaguzi huo lakini hawakufanikiwa ni pamoja na:
- Moustafa Mijiyawa (Togo)
- Dk. N’Da Konan Michel Yao (Ivory Coast)
- Mohamed Lamine Dramé (Guinea)
View attachment 3338251
Sahv wanabwabwaja eti hyo nafasi itatusaidia nini, hawanaga aibu.Wale watu sijui watajificha wapi