wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,454
- 4,376
Hivi akiongea akiwa amerelax kwan hataeleweka!!
Siwezi Kumwita Prof. Mtu mwenye kujitoa akili...
Hivi akiongea akiwa amerelax kwan hataeleweka!!
Utu upi? Kupiga watu risasi? Au udanganyifu kwenye uchaguziProf Kabudi ambaye ni waziri mteule wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.
Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.
Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema ulikuwa huru na wa haki na dunia nzima imeshangaa maana hatukutumia posta kama wale wengine lakini uchaguzi wetu umefanyika kwa amani kabisa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
😂😂😂Siwezi Kumwita Prof. Mtu mwenye kujitoa akili...
Hawajatisha wameuliza tu kale ka fedha ka korona mmekapeleka wapi.Prof Kabudi ambaye ni waziri mteule wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.
Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.
Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema ulikuwa huru na wa haki na dunia nzima imeshangaa maana hatukutumia posta kama wale wengine lakini uchaguzi wetu umefanyika kwa amani kabisa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Sijui kwanini CHADEMA hata wanaume wanapenda sana misaadaProf mzima anaweza taga mayai viza namna hii?
Kauli ngumu wakati una njaa.
Tutavumilia kama na wao watakuwa wanatembea kwa mguu. Sio sie tunashindia mlo mmoja wao wanaungurumisha maV8 na Ma BMWsasa yatubid Tuwajengee wananch political will ya kuvumilia tukiyakosa Yale Matunda yatokanayo na misaada badala ya kuandamana!Yaan kufunga mkanda
Shetani anazidi kujifunuaMimi naomba niseme tu matamshi yaliyotolewa na Prof. Mheshimiwa Sana kwa wahisani wa maendeleo hapa nchini, yana faida moja kubwa sana nayo ni kuonyesha uhalisia wa aina ya viongozi tulionao katika awamu hii.
Wacha wajionee arrogance ya hawa watu ili hata pale wapinzani na wanaharakati wengine wanapowataka wachukue hatua, labda sasa watakuwa wanaewaelewa kwani wahisani hawa wamekuwa wagumu kuchukua hatua stahiki.
Na pia speech ya bwana Professor itawasaidia kujua shukrani yetu kwa msaada na mikopo wanayotupatia.
Ukweli ni kwamba,faida ya kitu huonekane pale kitu husika kinapokosekana, kwahiyo tujipe muda tu kuona hii arrogance inaishia wapi.
Post ya kishamba Sana hii... Mawazo mgando yaliyopitwa na wakati ....Mimi naomba niseme tu matamshi yaliyotolewa na Prof. Mheshimiwa Sana kwa wahisani wa maendeleo hapa nchini, yana faida moja kubwa sana nayo ni kuonyesha uhalisia wa aina ya viongozi tulionao katika awamu hii.
Wacha wajionee arrogance ya hawa watu ili hata pale wapinzani na wanaharakati wengine wanapowataka wachukue hatua, labda sasa watakuwa wanaewaelewa kwani wahisani hawa wamekuwa wagumu kuchukua hatua stahiki.
Na pia speech ya bwana Professor itawasaidia kujua shukrani yetu kwa msaada na mikopo wanayotupatia.
Ukweli ni kwamba,faida ya kitu huonekane pale kitu husika kinapokosekana, kwahiyo tujipe muda tu kuona hii arrogance inaishia wapi.
Dadavua.Post ya kishamba Sana hii... Mawazo mgando yaliyopitwa na wakati ....