Prof Kabudi: Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima. Tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima

Prof Kabudi ambaye ni waziri mteule wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Tatizo la mtu huyu ni kujidai anajua kila kitu! Halafu anazungumza utadhani mwana FRELIMO wa miaka ileee! Ni tatizo kwetu maana tukumbuke huyu ni mtu wa miaka 64 ingawa anaonekana ana miaka zaidi ya 70. Kwa umri wake hastahili kuiharibu future yetu. Yeye kishamaliza muda wake. Serikalini kisha expire!
 
Kumwita Kabudi waziri mteule ni sifa za kijinga, hakuna waziri asiye mteule...

Kabuni kuongelea kujali utu ni kejeli kwa raia wapenda HAKI...

Hiyo kauli Ni ya kujipa matumaini...
 
Wakuheshimu kwa kipi ulichonacho? Mtu mwenyewe huna japo uwezo wa kudhibiti maralia.

Shilikisha akili yako kutoa mitazamo yako kwenye hoja shilikishi!
Unataka niwaze kama unavyowaza wewe au?

Watu mmekosa uzalendo mmekuwa wazandiki.
 
Lazima ifike mahali tufanye mambo kwa kujiamini bhana, Prof Kabudi usiyumbishwe na kelele za wapiga makofi wa Mabeberu 😂😂😂😂
Kazi kazi tu hakuna kucheka na beberu wala ndugu yake na beberu.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom