Prof Kabudi: Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima. Tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima

Inasemekana Kabudi ni Mwanasheria. Binafsi sioni umahiri wake. Anaongea Kama yupo kwenye matuta ya viazi mbatata.

Kabudi anasahau kwamba Tanzania imesaini Mikataba mbalimbali ya kimataifa yenye masharti mengi including sharti la kuheshimu Demokrasia, Haki na Uhuru wa Mawazo.

Kabudi anaongea Kama vile haoni ukiukwaji wowote wa Sheria, Katiba, Kanuni na Taratibu zozote katika Tanzania ya leo. Anasema uchaguzi ulikuwa Huru, wa Haki Tena wa standard ya USA.

Nadhan Kabudi ameanza kuchanganyikiwa. Kabudi huyu sio yule mwanasheria nguli. Nashauri Kabudi huyu apimwe akili lazma itakuwa amepatwa na tatizo la Afya ya akili.

Kama mtu wa Aina hii ndio Mshauri wa Rais wetu, basi tusitegemee la ziada Mana sioni dalili yoyote ya Kabudi huyu kutoa Ushauri wenye maslah kwa Taifa na unaopingana na Maamuzi mabovu ya Serikali.
 
Kumbe sio watawala tu wasiotaka kusikia mawazo mbadala, hata huku uraiani mmejaa wa hivyo pia! Nchi hii ni yetu sote na tutaijenga kwa ushikiano bila kujali tofauti zetu za itikadi! So mnasema MAENDELEO HAYANA CHAMA - japo mnatenda tofauti na Motto wenu huu!

Mungu mwenyewe amemstahimili na kumvumilia Shetani japokuwa ana uwezo wa kumfutilia mbali lakini hajafanya hivyo. We binadamu unapata wapi mamlaka ya kutaka kumfutilia mbali mwanadamu mwenzako??
 
Inasemekana Kabudi ni Mwanasheria. Binafsi sioni umahiri wake. Anaongea Kama yupo kwenye matuta ya viazi mbatata.

Kabudi anasahau kwamba Tanzania imesaini Mikataba Mbalimbali ya kimataifa yenye masharti mengi including sharti la kuheshimu Demokrasia, Haki na Uhuru wa Mawazo.

Kabudi anaongea Kama vile haoni ukiukwaji wowote wa Sheria, Katiba, Kanuni na Taratibu zozote katika Tanzania ya leo. Anasema uchaguzi ulikuwa Huru, wa Haki Tena wa standard ya USA.

Nadhan Kabudi ameanza kuchanganyikiwa. Kabudi huyu sio yule mwanasheria nguli. Nashauri Kabudi huyu apimwe akili lazma itakuwa amepatwa na tatizo la Afya ya akili.

Kama mtu wa Aina hii ndio Mshauri wa Rais wetu, basi tusitegemee la ziada Mana sioni dalili yoyote ya Kabudi huyu kutoa Ushauri wenye maslah kwa Taifa na unaopingana na Maamuzi mabovu ya Serikali.
Kuwa Prof sio kigezo cha akili Bali kipimo cha uelewa!!.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Mh. Palamagamba Kabudi kama kweli anahitaji msaada wa media zetu za kiTanzania kama alivyo waomba waTanzania basi ajitokeze mstari wa mbele kimataifa nasi tutakuwa bega kwa bega tukiona anaongoza mapambano ya kweli dhidi ya 'mabeberu'.
 
Jamaa toka Lissu apigwe kwenye Uchaguzi! umekua kama umerukwa akili hivi! Unaanzisha mada sizizo na kichwa wala miguu, mlituaminisha humu Ni Yeye Ni yeye! Mkamsaliti kwenye maandamano, katimkia zake Ubelgiji! Ona sasa mnahangaika Mnatia aibu! Yaani sasa hivi chama na Wafuasi wake wamebaki kuombea Vikwazo tu na Kusubiri Wazungu watasema nini juu ya Tanzania kustuka 2025 hii hapa Mnapigwa tena!
 
Back
Top Bottom