Angalizo kwa pro-Chadema msipokuwa makini Zitto atawafanya muwe machizi.
kwa nini ZZK anatetewa sana na CCM badala ya vyama vya upinzani? mmhh kuna jambo
Angalizo kwa pro-Chadema msipokuwa makini Zitto atawafanya muwe machizi.
ni habari kamili niliweka na source ila mods waliihariri
We pimbi ndo wakusikitikia,hivi hujui kuwa Mbowe aliyakata majina yalipendekezwa na kuwapachika dada zake na Lissu na vilaza wa aina yake.
Tafuta waraka wa Wangwe ndo ulete tena pua yako hapa.
Halafu uache kuonea huruma wanaume.
Ni mzigo kivipi kwa kunyonyoka nywele?Baregu naye ni miongoni mwa wazee mizigo kabisa akili zake zimenyonyoka kama nywele zake.
Nadhani we anakulaza bila nguo kabisa,but anyhow ni haki yako kikatiba.
Ukianzisha mada inayomhusu Zitto huwa watu wanalipwa ama? Naona kilamtu anakuja na upuuzi tu hapa.Au mnamaanisha mbwembwe nyingi katika sakata la Escrow huku akijifanya kum-overlook Rais na taasisi ya urais,kumwacha pembeni Beno Ndulu na BOT!Sioni ni wapi watu hawa pakuwaficha kwenye skandali.Unafiki mwingine kwenye posho,kujipamba kuwa hupendi sana posho,at the same time CHADEMA wanapokukosesha posho unawahi mahakamani ili uendelee kupiga posho
WAACHE NDEGE WAPITE JUU YA KICHWA CHAKO WAONDOKE ZAO USIKUBALI WAJENGE KIOTA JUU YA KICHWA CHAKO MAANA WALIMWENGU NA MUNGU WATAKULAUMU SANA NA KUKUÖNA MBAYA KAMA NDUMILA KUWILI.
WEWE UKITUHUMIWA KUTENDA USALITI AU UOVU WAKATI UNATAKA KUUTENDA AU UMEUTENDA ACHA NA UJUE HILO NI ONYO LAKIN UKAJA UKATENDA YALE UNAYOTUHUMIWA NA YAKBAINIKA HATA KWA FIKRA NA MACHO HAKIKA HUTAWAPONA WALIMWENGU NA MUNGU KWANI WATASEMA MMEÖANA TULIYOSEMA NA NA KUMTUHUM? BAADA YA HAPO KAMA HUKUOMBA MSAMAHA KWA KUAMINI UNAAKILI NYINGI LAANA ITAKUTAFUNA NA UIMARA WAKO UTAKWISHA NA KUITWA DHAIFU,LIMBUKENI,MLAFI wA MADARAKA,MSALITI,NDUMILAKUWILI . Asante
Mkuu King Kinya, kwanza karibu jf!.Au mnamaanisha mbwembwe nyingi katika sakata la Escrow huku akijifanya kum-overlook Rais na taasisi ya urais,kumwacha pembeni Beno Ndulu na BOT!Sioni ni wapi watu hawa pakuwaficha kwenye skandali.Unafiki mwingine kwenye posho,kujipamba kuwa hupendi sana posho,at the same time CHADEMA wanapokukosesha posho unawahi mahakamani ili uendelee kupiga posho