Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

Prof gani anapelekwa namtu ambae kafeli form six alafu ajitape mbele za watu mm naoana ajutasmin upya kama kweli prof
 
Maneno Mengi hakuna point aliyoongea ni wale wale kina Mbowe na wenzake,sasa kama ulipewa umlee then what? Kuwa profesa sio kila unachoongea ni point na watu wafate,fake pfofesa nawe ni mzigo kwa Taifa
 
Hivi unaweza kuwapa mkanda watuhumiwa wa mauaji? kinachomwogopesha Mr dhaifu kuunda tume ya kijaji ni nini kama ccm na policcm hawahusiki? tumia kichwa kufikiri

Kwa hiyo kwa kuwa tume haijaundwa, basi ameamua kuwalinda polisi waliohusika na mauaji? Kwa nini asipeleke kesi mahakamani kwa kuwa ushaidi upo? au kwa nini ausiutoe huo mkanda hata kwenye vyombo vya habari, au kwa nini asiuweke kwenye public domain (youtube, fb etc) ili jumuiya ijue maovu ya polisi?
 
Inasikitisha kuona Profesa mzima nae anaongea kauli za kishabiki na mipasho tu(ana kiburi,anajiona anajua etc),nilitegemea nisikie nilipokabidhiwa Zitto kumlea nilimwambia afanye 1,2,3...,hakufanya akafanya 1,2,3..... we need specifics Prof(Nenda kwa Ibrahim Lipumba akakukumbushe how a prof Talk?)
 
Acha ujinga ww mtowa post na aliesema maneno hayo
Mtumzima utamalea vp ww sumbuwa ubongo wako nawe

DSC_05501.jpg
 
Zitto basi atakuwa na laana ya mama yake kama hakumsikia mpaka anaingia kaburini duh
 
Inasikitisha kuona Profesa mzima nae anaongea kauli za kishabiki na mipasho tu(ana kiburi,anajiona anajua etc),nilitegemea nisikie nilipokabidhiwa Zitto kumlea nilimwambia afanye 1,2,3...,hakufanya akafanya 1,2,3..... we need specifics Prof(Nenda kwa Ibrahim Lipumba akakukumbushe how a prof Talk?)
utafikiri mwanamke mwenye mimba mlamba ndimu mbona yote usemayo kayasema kizabizabina tuu
 
Huyu Baregu si aliigomea Chadema kujitoa katika Tume ya Warioba?, hana chochote huyu anatafuta kick
 
Huyu kijana amekosa hii kitu
 

Attachments

  • 1427394366973.jpg
    1427394366973.jpg
    74.6 KB · Views: 213
Nyerere alisema usaliti na ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu huwez kuacha.......anasema cdm ni ya watu wa kazikazn...je ACT ni ya watu gani???? Imechukua kila kona ya nchi kama hapana kuna siku watasema ....aaa mbna kabila flani lina viongoz wengi......point kma kuna kitu aliona akiendi sawa alitakiwa kupigana mpka dk ya mwisho.....ndo maana mwl alipgana mpka akapewa uhuru.....

Jicho la panzi
 
PROFESA Mwesiga Baregu, mmoja wa watu wanaoheshimika nchini amesema, aliyepata kuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, anaponzwa na kibuli cha kujiona hakuna zaidi ya yeye.

Amesema, Zitto ambaye alikuwa naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara na naibu kiongozi wa upinzani bungeni, anafanya kazi asiyoifahamu na ambayo haina mavuno.

“Ninamfahamu vizuri. Wakati tuhuma hizi za usaliti zilipoanza kuibuka, Kamati Kuu ilinikabidhi jukumu la kumsaidia mama yake mzazi kumlea kijana huyu.”

Kauli ya Baregu ilitolewa siku moja baada ya Zitto kujiondoa bungeni na baadaye kujiunga na Chama cha ACT – Tanzania.

Prof. Baregu aliwahi kuwa “mlezi wa Zitto” ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Alikabidhiwa jukumu hilo na Shida Salum, mama mzazi wa Zitto (marehemu), baada ya mama huyo kuiomba Kamati Kuu (CC) ya chama hicho “kusaidia kumlea.”

Prof. Baregu ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema anasema, “Zitto hamnazo. Amekuwa anajiona yeye ni zaidi ya chama. Hashauriki.”

Anasema wakati ule alipopewa kazi ya kumlea Zitto “katikakati ya migogoro, tulikuwa tunazungumza naye mara kwa mara. Ninamfahamu. Kazi hii ya kumlea tulikabidhiwa mimi na mama yake mzazi, Bi. Shida Salum,” anaeleza Baregu.

Mama mzazi wa Zitto, alifariki dunia Juni mwaka jana, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kauli ya Prof. Baregu ilifuatia gazeti hili kutaka maoni yake juu ya mustakabali wa kisiasa wa Zitto baada ya kuwahi kujiondoa ndani ya Chadema.


So vyema kukataa ushauri, lakini si kila ushauri lazima uukubali.
 
Last edited by a moderator:
Prof gani anapelekwa namtu ambae kafeli form six alafu ajitape mbele za watu mm naoana ajutasmin upya kama kweli prof

kwani mkwere ana elimu gani kuwazidi prof mwandosya, muhongo au maghembe? uongozi ni karama
 
Inasikitisha kuona Profesa mzima nae anaongea kauli za kishabiki na mipasho tu(ana kiburi,anajiona anajua etc),nilitegemea nisikie nilipokabidhiwa Zitto kumlea nilimwambia afanye 1,2,3...,hakufanya akafanya 1,2,3..... we need specifics Prof(Nenda kwa Ibrahim Lipumba akakukumbushe how a prof Talk?)

maskini hadi mnatia huruma nyie uzao wa mafisadi
 
Baregu nahisi akili imeanza kurudi utotoni sio bure
Na siwezi shangaa kuongea kwake huko kwa sbabu kapewa pesa iliaseme ilimradi akashfu zitto
 
Ninapata tabu sana ninapofuatilia mijadala inayoendelea juu ya zitto. Hii ina maana bado ana nguvu hata kwa wale wanaomtusi. Kama mtu hakuhusu hana nafasi katika mtazamo wako vipi uendelee kumfuatilia.hebu tuachane na mijadala ya watu na tuangalie taifa linataka nini kwa sasa kama kweli ktuna nia ya ukombozi na uzalendo wa kweli
 
Back
Top Bottom