Huyu mzee naye Onchocerca volvulus wamempanda kwenye ubongo,unafiki mbaya sana.
Mbona huwa hawatoi maoni juu ya viongozi waandamizi wa chama hata inapothibitika wamefanya madudu?
Au Baregu anaamini watu wazima hawajambi?
Mbowe alipojipachikia majina yake ya wabunge wa viti maalum,mbona hatukumsikia akisema chochote?
Hata kama mimi ndo ningekuwa Zitto ushauri wa wazee wa aina hii siuchukui hata kwa bakora.
Mungekuwa mnawakemea na hao jamaa tungejua kweli mnamaanisha.
BAREGU ACHA UTOTO you're too old for this bora ukae kimya.
Hawa ndo wazee alowasema jamaa kwamba wanasubiria kurudisha namba kwa muumba.
Wewe ni mzima? Unajua jinsi wabunge wa kuteuliwa kupitia CHADEMA walivyopatikana? Vigezo na maamuzi ya nani awe mbunge wa kuteuliwa viliandaliwa na Dr. Kitila, na mapendekezo yalipelekwa na Kitila Mkumbo kwa niaba ya kamati.
WAACHE NDEGE WAPITE JUU YA KICHWA CHAKO WAONDOKE ZAO USIKUBALI WAJENGE KIOTA JUU YA KICHWA CHAKO MAANA WALIMWENGU NA MUNGU WATAKULAUMU SANA NA KUKUÖNA MBAYA KAMA NDUMILA KUWILI.
WEWE UKITUHUMIWA KUTENDA USALITI AU UOVU WAKATI UNATAKA KUUTENDA AU UMEUTENDA ACHA NA UJUE HILO NI ONYO LAKIN UKAJA UKATENDA YALE UNAYOTUHUMIWA NA YAKBAINIKA HATA KWA FIKRA NA MACHO HAKIKA HUTAWAPONA WALIMWENGU NA MUNGU KWANI WATASEMA MMEÖANA TULIYOSEMA NA NA KUMTUHUM? BAADA YA HAPO KAMA HUKUOMBA MSAMAHA KWA KUAMINI UNAAKILI NYINGI LAANA ITAKUTAFUNA NA UIMARA WAKO UTAKWISHA NA KUITWA DHAIFU,LIMBUKENI,MLAFI wA MADARAKA,MSALITI,NDUMILAKUWILI . Asante
Kuhusu kutoambilika ni sahihi, baregu yuko sahihi. Zitto anaamini yeye ana akili kuliko wanakigoma wote na hilo liko wazi.
Huyu mzee naye Onchocerca volvulus wamempanda kwenye ubongo,unafiki mbaya sana.
Mbona huwa hawatoi maoni juu ya viongozi waandamizi wa chama hata inapothibitika wamefanya madudu?
Au Baregu anaamini watu wazima hawajambi?
Mbowe alipojipachikia majina yake ya wabunge wa viti maalum,mbona hatukumsikia akisema chochote?
Hata kama mimi ndo ningekuwa Zitto ushauri wa wazee wa aina hii siuchukui hata kwa bakora.
Mungekuwa mnawakemea na hao jamaa tungejua kweli mnamaanisha.
BAREGU ACHA UTOTO you're too old for this bora ukae kimya.
Hawa ndo wazee alowasema jamaa kwamba wanasubiria kurudisha namba kwa muumba.
Hata Muarobaini unamatunda lakini umeshawahi muona nani akiurushia Mawe!?
who cares?CHAMA cha Alliance for Change and Transparance (ACT-Tanzania) kimefanikiwa kuishawishi kwa hoja mahakama kuu ya Tanzania na kushinda katika maombi ya zuio la muda yaliyoombwa na wanachama wake Kadawi Limbu na wenzake ya kutaka mahakama Kuu itoe amri ya zuio la muda kwamba Samson Mwigamba, Peter Mwambuja na Mohamed Masaga wasijihusishe na shughuli yoyote ya Chama mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa
Kutokana na kutupwa kwa zuio hilo la muda kesi ya msingi namba 21/2015 imepangwa kusikilizwa April 15 mwaka huu, huku Limbu na wenzake wakitakiwa kulipa theluthi moja ya gharama za kesi hiyo
Kabla ya Limbu na wenzake kuomba zuio la muda la kutaka Mwigamba na wenzake wasijishughulishe na kazi za Chama kwa nafasi ya Katibu Mkuu,Naibu katibu Mkuu na mhasibu,walifungua kesi ya msingi iliyokuwa na maombi manne
1 Mahakama kuu ya Tanzania Itamke kuwa Chama cha ACT-Tanzania haina kamati kuu na Halmashauri kuu
2 Mahakama kuu ya Tanzania itamke kuwa kikao halali cha viongozi wa ACT-Tanzania ni kile cha kamati kuu iliyokutana Disemba 31 mwaka jana
3 Mahakama kuu itamke kuwa washitakiwa watatu Mwigamba,Masaga na Mwambuja siyo wanachama halali wa ACT-Tanzania
4 Mahakama kuu iwatake washitakiwa kulipa gharama zote za kesi
Kwa upande wake wake Mwigamba na wenzake waliweka pingamizi la kusikilizwa kwa maombi ya zuio la muda ya Limbu na wenzake kwa hoja zifuatazo
1 Walalamikaji Limbu na wenzke hawakuonyesha ni kanuni gani ya kisheria waliyotumia kuiomba mahakama itoe zuio la awali
2 Kwenye hati ya mlalamikaji katika kesi ya msingi mlalamikaji namba moja ni Kadawi Lucas Limbu,lakini Kwenye hati ya kiapo ya maomb ya zuio la muda mla kiapo namba moja amejitambulisha kuwa ni ACT-Tz
3 Maombi hayo yangeweza kuombwa katika mahakama ya chini badala ya mahakama kuu
Kufuatia hoja hizo tatu za mawakili wanaowawakilisha kina Mwigamba, wakili wa Limbu na wenzake alikiri upungufu katika hati yao ya maombi hivyo mahakama kuu chini ya Jaji J.Mwandambo ikatupilia mbali maombi ya zuio la muda na kumtaka Mlalamikaji Kulipa gharama za kesi.
Ama kweli nyani haoni kundule. Wewe Baregu ndo mzigo. Professor mzima utakubalije kutumiwa vibaya na kijana mcheza disco? Siyo tu mcheza disco bali pia kijana mwenye eimu ya kidato cha sita mwenye ufaulu wa sifuri? We ndo mzigo siyo zitto
PROFESA Mwesiga Baregu, mmoja wa watu wanaoheshimika nchini amesema, aliyepata kuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, anaponzwa na kibuli cha kujiona hakuna zaidi ya yeye.
Amesema, Zitto ambaye alikuwa naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara na naibu kiongozi wa upinzani bungeni, anafanya kazi asiyoifahamu na ambayo haina mavuno.
Ninamfahamu vizuri. Wakati tuhuma hizi za usaliti zilipoanza kuibuka, Kamati Kuu ilinikabidhi jukumu la kumsaidia mama yake mzazi kumlea kijana huyu.Kauli ya Baregu ilitolewa siku moja baada ya Zitto kujiondoa bungeni na baadaye kujiunga na Chama cha ACT Tanzania.
Prof. Baregu aliwahi kuwa mlezi wa Zitto ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Alikabidhiwa jukumu hilo na Shida Salum, mama mzazi wa Zitto (marehemu), baada ya mama huyo kuiomba Kamati Kuu (CC) ya chama hicho kusaidia kumlea.
Prof. Baregu ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema anasema, Zitto hamnazo. Amekuwa anajiona yeye ni zaidi ya chama. Hashauriki.
Anasema wakati ule alipopewa kazi ya kumlea Zitto katikakati ya migogoro, tulikuwa tunazungumza naye mara kwa mara. Ninamfahamu. Kazi hii ya kumlea tulikabidhiwa mimi na mama yake mzazi, Bi. Shida Salum, anaeleza Baregu.
Mama mzazi wa Zitto, alifariki dunia Juni mwaka jana, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kauli ya Prof. Baregu ilifuatia gazeti hili kutaka maoni yake juu ya mustakabali wa kisiasa wa Zitto baada ya kuwahi kujiondoa ndani ya Chadema.
Wewe ni mzima? Unajua jinsi wabunge wa kuteuliwa kupitia CHADEMA walivyopatikana? Vigezo na maamuzi ya nani awe mbunge wa kuteuliwa viliandaliwa na Dr. Kitila, na mapendekezo yalipelekwa na Kitila Mkumbo kwa niaba ya kamati.
CHAMA cha Alliance for Change and Transparance (ACT-Tanzania) kimefanikiwa kuishawishi kwa hoja mahakama kuu ya Tanzania na kushinda katika maombi ya zuio la muda yaliyoombwa na wanachama wake Kadawi Limbu na wenzake ya kutaka mahakama Kuu itoe amri ya zuio la muda kwamba Samson Mwigamba, Peter Mwambuja na Mohamed Masaga wasijihusishe na shughuli yoyote ya Chama mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa
Kutokana na kutupwa kwa zuio hilo la muda kesi ya msingi namba 21/2015 imepangwa kusikilizwa April 15 mwaka huu, huku Limbu na wenzake wakitakiwa kulipa theluthi moja ya gharama za kesi hiyo
Kabla ya Limbu na wenzake kuomba zuio la muda la kutaka Mwigamba na wenzake wasijishughulishe na kazi za Chama kwa nafasi ya Katibu Mkuu,Naibu katibu Mkuu na mhasibu,walifungua kesi ya msingi iliyokuwa na maombi manne
1 Mahakama kuu ya Tanzania Itamke kuwa Chama cha ACT-Tanzania haina kamati kuu na Halmashauri kuu
2 Mahakama kuu ya Tanzania itamke kuwa kikao halali cha viongozi wa ACT-Tanzania ni kile cha kamati kuu iliyokutana Disemba 31 mwaka jana
3 Mahakama kuu itamke kuwa washitakiwa watatu Mwigamba,Masaga na Mwambuja siyo wanachama halali wa ACT-Tanzania
4 Mahakama kuu iwatake washitakiwa kulipa gharama zote za kesi
Kwa upande wake wake Mwigamba na wenzake waliweka pingamizi la kusikilizwa kwa maombi ya zuio la muda ya Limbu na wenzake kwa hoja zifuatazo
1 Walalamikaji Limbu na wenzke hawakuonyesha ni kanuni gani ya kisheria waliyotumia kuiomba mahakama itoe zuio la awali
2 Kwenye hati ya mlalamikaji katika kesi ya msingi mlalamikaji namba moja ni Kadawi Lucas Limbu,lakini Kwenye hati ya kiapo ya maomb ya zuio la muda mla kiapo namba moja amejitambulisha kuwa ni ACT-Tz
3 Maombi hayo yangeweza kuombwa katika mahakama ya chini badala ya mahakama kuu
Kufuatia hoja hizo tatu za mawakili wanaowawakilisha kina Mwigamba, wakili wa Limbu na wenzake alikiri upungufu katika hati yao ya maombi hivyo mahakama kuu chini ya Jaji J.Mwandambo ikatupilia mbali maombi ya zuio la muda na kumtaka Mlalamikaji Kulipa gharama za kesi.
Zitto yupo kambi ya Act-wavamizi,na siyo Act-wazalendo,naona unafanya makusudi.Mwenye Enzi Mungu atujalie afya njema na pumzi tuweze kuishi na kushuhudia safari ya Zitto Kabwe huko ACT-Wazalendo ili hatimaye atuthibitishie alikotoka walikuwa wanamchelewesha.