Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

Hapa nadhani Baregu kaamua kutua mzigo maana kwa alivyokuwa anamtetea zitto, Sasa ameuona rangi zote za huyu dogo.

NENDA ZITTO MAJIVUNO NA UBINAFSI VIMEKUPONZA.

kWA MIMI BINFSI wanasiasa toka mkoa wa kigoma siwaamini sana kwa hata Dr Walid Aman Kaborou alikuja na mbwembwe sana zaidi ya zito na vijana wa kigoma walimuunga mkono wakidhani ni mkombozi wa kweli kumbe ni mchumia tumbo matokeo yake wengine walipoteza maisha na wengine kufungwa na wengine ni walemavu kwa vipigo vya polisi kutokana na maandamano na kuchoma matairi barabarani wakimuunga mkono Mwenyekiti wao wa chadema lakini Dr. Amani Walid Kaborou kwa sasa ndiye Mwenyekiti wa CCM mkoa wa kigoma kwa hilo tu nadiriki kusema mwanasiasa bora hatoki kigoma au kama walivyosema wayahudi kitu chema hakitoki Nazereth. Kwa wale wazuri kama Buyogela na wengineo nawaomba wanisamehe ila wamefukiwa undumila kuwili wa Zito na Dr.Walid Amani Kaborou
 
hivi chadema ni chama cha manabii? zitto ni zawadi ya watanzania toka kwa mungu na sio mtoto wa chadema, tujadili njisi ya kuikomboa Tanzania toka mikononi mwa mafisadi tusipoteze muda kutukana zitto, ACT WAZALENDO wala chadema, kufanya hivyo ni kupoteza muda wa kujadili mambo ya msingi, I love Tanzania and i' m proud to be Tanzanian
 
Jamaa atakuja kumjibu hapa! Tatizo la jamaa ni Passions kujiona yeye ni bora kuliko mwingine yeyote!! Wampe uenyekiti huko si poa tuu sio lazima CDM!
 
Mkuu King Kinya, kwanza karibu jf!.

Kwenye Escrow, Ndullu was out tena akaweke vizuri kabisa kimaandishi kabla!, sasa kosa lake ni lipi?!. JK unataka kumuingizia wapi?!. Kama ni ule urongo wa hisa za Simba, then hata ikiwa kweli, the age of majority kwa Tanzania ni 18 years, na operational age ni 21, hivyo JK has nothing to do na any over 21 years of his!.

Pasco
Unaweza kuandika Kiswahili? Wengine hatuelewi kilugha
 
Maprofesa wa aina hii ni aibu kwa taifa, profesa mzima badala ya kudiscuss "ideas", unadiscuss "watu", nadhani ndiyo maana alikataliwa kuongezwa mkataba wa kufundisha chuo kikuu, kwa sababu inaonekana hana uwezo wa kuangalia vitu critically.Ukiachilia mbali mipasho yake kwa kijana mzalendo ZZK, sijaona substance yoyote kutoka kwa huyu "profesa"
 
Maprofesa wa aina hii ni aibu kwa taifa, profesa mzima badala ya kudiscuss "ideas", unadiscuss "watu", nadhani ndiyo maana alikataliwa kuongezwa mkataba wa kufundisha chuo kikuu, kwa sababu inaonekana hana uwezo wa kuangalia vitu critically.Ukiachilia mbali mipasho yake kwa kijana mzalendo ZZK, sijaona substance yoyote kutoka kwa huyu "profesa"

Umefikia hatua ya kukejeli weledi wa Prof Baregu?Nijuavyo ni siasa tu zinazo kutuma kufanya hivyo!Prof Baregu ni mmoja kati ya wanazuoni wachache ambao hautachoka kumsikiliza kwa uwezo wake mkubwa wa kujenga hoja!

Zitto Kuondoka Bungeni bila kusubiri hata CHADEMA kuwasilisha barua yao kwa Spika ni ushahidi wa wazi kuwa alipanga kutumia kesi yake na CHADEMA kama mtaji wa kisiasa lkn Mahakama imemkatili
 
Hizo ndo tabia na silka za pepo wa kigoma na bado lets keep waiting much more we expect from ds silly guy
 
Namnukuu Prof. Beregu "Amuulize Mrema,kipi kilimkuta.Alikuwa na kundi kubwa la wafuasi ambao Zito hata robo yake hajawafikia,leo ameyeyuka"
 
Ni ukweli ndoto za mtu ni muhimu sana lakini zinahitaji muda na usikivu mkubwa!! ukila nyama ya mtu kuiacha ni kazi nzito.
Mrema hayupo alishajichokea..
usaliti,wivu na roho ya kupenda madaraka ni mambo yanayovuluga ndoto za mtu!!!
 
Back
Top Bottom