Prof. Assad: Ni wajinga tu ndio wanaonunua ndege kwa cash

Tokea MwendaZake aende naye, kumepungua kabisa TANZIA za viongozi kuvuta.

Au nasema uongo ndugu yangu.
Labda mazingira yalikuwa yanatengenezwa ili akivuta tuseme ni upepo kama kwa wengine.

Au msimu umepita kwahyo mwendazake kafa mwishoni mwa msimu
 
Kwahiyo SAA hizi tunashangilia SGR Na wakati huohuo tunauguzia matumizi mabaya ya hela za umma
 
Ilikuwa ushamba sababu jamaa alikuwa hajui kuiba kwa akili, pia alizoea kuwa kama papaa so unajua ndugu zetu wa huko kidogo mambo ya mjini na ujanja umewapita kushoto ? No wonder alikuwa anatembea na fuko la hela kila anapoenda na kugawa kama kina papaa Msofe
Jaman wasukuma ni mishambaa ya kutupwa, japo watani zangu,ila hapana wamedhidi kwakweli!!!!
 
Mwendazake ana historia ya kuwa one of the most corrupt politician in Tanzania ndiyo maana akanunua ndege kwa cash. Miradi yote mikubwa alianzisha kwa msukumo wa kupata RUSHWA na siyo maendeleo.

Magufuli hajawahi anzisha kitu kikafanikiwa. Angalia!
- Meli ya samaki ya Thailand
  • Speed boat ya Bagamoyo
  • Kituo cha UDART Jangwani
  • Korosho Mtwara
 
Twende tu ula ifafika wakati tutaanza kuukizia zile ndege zetu alizotuachia Magufuli zote zimeuzwa na mafisadi. Hapo ndo tutataka kujua kati ya Mshamba na ao wenyewe elimu kubwa waliostarabika nani alikuwa na Maarifa?
Bora zile ndege ziuzwe tu hata kwa bei ya hasara au kukodishwa kwa watu wengine, Tz kuendelea kuzimiliki ni hasara tupu. Magufuli alikuwa anataka kuifirisi nchi kwa manunuzi ya ajabu na miradi yenye hasara tupu.

Kwa kweli bora amepumzika tu.
 
Na
Mwendazake ana historia ya kuwa one of the most corrupt politician in Tanzania ndiyo maana akanunua ndege kwa cash. Miradi yote mikubwa alianzisha kwa msukumo wa kupata RUSHWA na siyo maendeleo.

Magufuli hajawahi anzisha kitu kikafanikiwa. Angalia!
-Meli ya samaki ys Thailand
  • Speed boat ya Bahamoyo
  • Kituo cha UDART Jangwani
  • Korosho Mtwara
Na ndio Rais aliekaa muda mfupi zaidi madarakani wakati wafuasi wake waliotaka akae milele.
 
Huyu mzee presentation yake kwa wanaoelewa kiingereza ni muhimu sana kuitazama. Ameonyesha matatizo tuliyonayo waafrika exactly. Ni aibu tulikua juu ya nchi nyingi za Asia kiuchuki miaka ya 1960 leo hii tupo palepale wao wamekua haraka mno. Waafrika mmelaaniwa Tanzania ina vilaza wengi mno
 
Somo:

Wenye mamlaka/madaraka, tumieni vizuri mamlaka mliokabidhiwa ili mnapotangulua mbele za haki, msiwaache ndugu na jamaa zenu na maumivu mara mbili: kufiwa na Marehemu kusemwa vibaya.
Ulionawapi marehemu anakufa
 
Back
Top Bottom