Nilivyosema kuwa Magufuli alificha mabilioni Canada nilitukanwa sana, hatimaye ndio mnafahamu sasa?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Huwa naandika machapisho nabezwa na baadhi ya watu wachache humu wanafikiri huwa nakurupuka kama wao

Lakini yametimu kila kitu kitaenda kuwa wazi sasa

Mtu ambaye aliweza kushirikiana na mpwa wake na kijana mmoja wa Mwanza diaspora (Dick mpemba ambaye yeye na doto walikua na mahusiano yasiyofaa) ambaye amefariki mwaka juzi kutorosha mabilioni kuyaficha Canada mtu huyo anaweza kuwa vipi kiongozi wa wanyonge?

Ni kichaa tu anayeweza kudhani eti mwendazake hakua fisadi alikua fisadi papa

Hakuna mtu anaweza mzidi kwa ukwapuaji jamaa alijipimia haswa huko Canada ni mabilioni kwa mabilioni karibia bilioni 500 alizificha huko halafu kuna watu wanasema hakua mbadhirifu alikua mkwapuaji mkubwa sana

Mtu kaacha majumba huko Canada, kanunua hadi supermarkets za kutosha huko eti alikua baba wa wanyonge, Ripoti ya Assad ilisema ni trilioni 4 zilichotwa lakini muulizeni na naamini ipo siku atasema maana siku kadhaa kabla ya ripoti alifatwa na "Wasiojulikana" zaidi ya mara 3 siku ya kwanza wakimvamia garini akitoka sheli jioni kujaza mafuta ilimbidi mwishowe akakaa na wakaguzi wengine akapunguza baada ya vitisho hadi vya kufuatwa ofisini....Ndo maana Assad huwa hamsifii mwendazake hata chembe Prof Assad akiwa anazungumzia changamoto alizopitia katika utumishi wake

Anasema alikwenda kukagua wizara moja, akauliza kuhusu matumizi ya Pesa fulani akaambiwa usikague matumizi haya,

Akauliza kwanini asikague matumizi ya fedha zile akajibiwa kuwa matumizi yake inajua Ikulu!

Bado mamia ya mahekta aliyojipimia huko kwenye hifadhi za taifa na mapori.... Mtu ambaye aliamuru bilioni 900 zitolewe hazina zikafanye kazi ya kununua wabunge na madiwani huyo si fisadi papa?

Bado alifanya ufisadi mkubwa kwenye manunuzi ya ndege alileta ndege used huku akihakikisha kila ndege anapiga

Mtu ambaye alificha zaidi ya trilioni 1.2 kwenye accounts za siri za benki huko Malaysia na Uchina anaweza vipi kusema alikua Msafi?

Serikali yake ilijaa wizi na ufisadi, Wizara ya mambo ya ndani waliingia mkataba wa trilioni 1 kununua sare za polisi huku yeye mwendazake akichukua mgao wa bilioni 650 muulizeni kangi Lugola.

Kwani kilichomuua Lwajabe ninini??

Jinsi Leopold Lwajabe walivyomuua.

Hii kwanza isichukuliwe kama kitu cha bahati mbaya ama kufumbia macho na kujaribu kuzunguka mbuyu. Muuaji wa huyu Injinia ni hayati lazima tumnyooshee kidole bila kuweka shaka wala kufanya unafiki kwanza alifatwa na watu wa Intel HQ, walioagizwa kudeal nae, walitumia simu ya mmoja wa hao jamaa wa Intel kumpigia mida ya saa tatu asubuhi akiwa ofisini kwake kisha wakaondoka nae wakakaa siku mbili wakimuhoji na kumtishia uhai wake, tar 18 wakamwambia asiseme lolote wakimuachia arudi uraiani, wakamchukua mpaka karibu na kwake wakamuacha hapo. Na kumpa masharti ya asiripoti popote kwamba alichukuliwa na watu wa serikali kikosi maalumu.

Hao wakamwambia ila wakutane nae Mburahati kituo cha Polisi kwa mahojiano zaidi siku watakapomuhitaji, ila asiseme kwa mtu yeyote waliyomuhoji wala mtendea. Badala yake wakambrain wash aje aseme alichanganyikiwa tu akajikuta katoweka.

Wiki moja mbele akapigiwa simu na watu wale wale kwamba aende kituo cha Polisi Mburahati kwa mahojiano zaidi, akafanya hilo akaaga Ofisini kwake na kuanza safari jamaa walimsubiria Mburahati wakahojiana nae kwa sehemu kisha, wakamwambia anatakiwa na wakuu kwa mahojiano zaidi, wakampakia kwenye gari private kisha wakaanza nae safari kumpelaka walikojua wao na simu zake zote wakazima.

Moja ya mambo ambayo wanamtuhumu ni kwamba anashirikiana na mabeberu wa EU kumuhujumu Mh Rais. Kumbukeni nani anayejinadi kupoteza watu watakao bainika kumkosoa ama kua kikwazo kwa Rais. Leopold kosa lake kubwa ni kumkatalia mwendazake na genge lake kuchota mabilioni kwenye kitengo cha EU alichokua akikisimamia. Wakamuona kama msaliti kwanini anasema kwa wenyepesa kwamba kuna pesa inatakiwa itoke bila yeye kuambiwa aseme nini kwa hao wazungu.

Walitaka watoe bilioni 500 wazipeleke nje kupitia doto james ambaye mkabidhiwa ni dick mpemba yule mratibu wa vuguvugu la Mwanza ambalo lilikua na kauli mbiu ya kuhakikisha wakuja wote wanaangushwa kwenye majimbo kanda ya ziwa huku wasukuma pekee wakichukuwa majimbo (Nitaleta huu ushahidi hapa JF soon na jinsi mwendazake alivyokuwa na mpango wa kuunda himaya ya kikabila na mratibu alikuwa ni huyu Dick na hata Gwajiboy alikuwa anaujua huu mpango nitakuja kuleta ushahidi).

Tuendelee na ishu ya Lwajabe
Kuna taarifa mbovu sana sana ya uchotwaji wa pesa kwenye hicho kitengo alichokua akisimamia. Na yeye ndio alikua anajua na muaandaaji wa report na report alizozituma kwa wenye pesa EU ndani yake aliainisha matuzi ambayo hayakukusudiwa na EU lakini pesa zilichukuliwa kwenye fungu lao. Hicho kikaonekana kama yeye kasaliti usiri wa uchotaji huo wa pesa na ili kuficha maovu yoote ya upigaji basi wameamua kumuua kuficha uchafu wote.
alimchukua mpaka mapori ya huko Mkuranga na wamkamlawiti kwa zamu huku wakimrekodi kisha kummaliza. Rejea Kifo cha Leopold Lwajabe dhidi ya uongo wa Mambosasa: Aibu dunia nzima "skunk of the world"

Ukiachana na hiyo 1.5 trilioni kuna ishu nyingine ya trilioni 1.6 ambazo zilitumika juu kwa juu na ikulu bila kupita mfuko mkuu wa Hazina akadai zilikwenda kwenye miradi lakini inadaiwa ziliingizwa kwenye account zake mbili ambazo zilikua zinasimamiwa na Mpwa wake Dotto James!

Ndo maana aliamuru serikali yake ijitoe kwenye mfumo wa kujiendesha kwa uwazi mwaka 2017 kwasababu alifahamu ufisadi wake na ili aendelee kupiga mabilioni kwa matrilioni na baada ya hapo ndo report za kutisha za wakaguzi zikaanza kutikisa taifa kwa ufisadi aliokuwa anafanya rejea Tanzania yajitoa rasmi katika mpango wa uendeshaji Serikali kwa Uwazi (OGP)

NINA FURAHA KUBWA SANA KUWA MAMBO YANAENDA KUWA WAZI YAANI MTASHANGAA HADI NCHI ITATIKISIKA KWA WIZI WA HUYU MTU
.
.
UPDATE:............
Hatimaye Feb 9 Rais Samia ameprove nilichosema huwa mimi sikurupuki kabisa

UPDATES.........
Lissu ameprove nilichosema mimi: Lissu: USD 42Milioni (takribani Sh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Na niliyasema hayo mwezi march kupitia uzi huu hapa nikaishia kutukanwa na kuambiwa eti namsingizia na kuitwa mzushi kupitia post hii: Leo ni miaka 2 tokea kifo cha Hayati Magufuli
 
Kwa hiyo umemaliza kutuaminisha na ushahidi umeweka?

Mimi ni chadema Lia Lia na nilikuwa nampinga huyo mzee haswa upande WA haki Za binaadamu

Yawezekana Ali iba ila kimaendeleo na huduma Za jamii na miradi vilionekana
Lakini Sasa tunakipata cha mtema kuni

EBU TUWEKEE KIUSHAHIDI CHA HUO WIZI
 
Huwa naandika machapisho nabezwa na baadhi ya watu wachache humu wanafikiri huwa nakurupuka kama wao

Lakini yametimu kila kitu kitaenda kuwa wazi sasa

Mtu ambaye aliweza kushirikiana na mpwa wake na kijana mmoja wa Mwanza diaspora (Dick mpemba) ambaye amefariki mwaka jana kutorosha mabilioni kuyaficha Canada mtu huyo anaweza kuwa vipi kiongozi wa wanyonge?

Ni kichaa tu anayeweza kudhani eti mwendazake hakua fisadi alikua fisadi papa

Hakuna mtu anaweza mzidi kwa ukwapuaji jamaa alijipimia haswa huko Canada ni mabilioni kwa mabilioni karibia bilioni 500 alizificha huko halafu kuna watu wanasema hakua mbadhirifu alikua mkwapuaji mkubwa sana
Ama kweli KILA KITU NI UBATILI. Sasa zinamsaidiaje huko aliko?
 
komamgo njoo huku
 
Ushahidi wa kuficha hayo mabilioni uko wapi?

Tunataka ushahidi, sio umbea na majungu. Ushahidi.

Kwa mfano, mimi nikisema hua nakupiga miti kimsboy kila siku bila ushahidi si unaweza kukataa kwamba hua sikupigi miti na ikaonekana kweli nakutungia ana ni umbea tu Ila nikiweka na ushahidi wa meseji vile hua unanisifia nakupiga miti hapo hata ukikataa ni juu yako.

Achaneni na hadithi za kutunga, tunataka ushahidi.
 
Aweke Canada kwa maadui zake wa makinikia ?!! Haiingii akilini !! Mtu huweka pesa chafu sehemu ambayo watamlinda huyo mhusika maana wamepiga deals pamoja!!
 
Ushahidi wa kuficha hayo mabilioni uko wapi?

Tunataka ushahidi, sio umbea na majungu. Ushahidi.

Kwa mfano, mimi nikisema hua nakupiga miti kimsboy kila siku bila ushahidi si unaweza kukataa kwamba hua sikupigi miti na ikaonekana kweli nakutungia ana ni umbea tu Ila nikiweka na ushahidi wa meseji vile hua unanisifia nakupiga miti hapo hata ukikataa ni juu yako.

Achaneni na hadithi za kutunga, tunataka ushahidi.
Kweli hizo ni tungo tu kama hadithi za Alfulela ulela !!
 
Back
Top Bottom