Prof. Assad: Ni wajinga tu ndio wanaonunua ndege kwa cash

Huyu Prof. ni bookish. JPM ni practitioner. Kwenye vitabu utaambiwa hata nyumba hajengwi kwa cash, lakini wengi wamejenga. RIP JPM.
 
Huyu Prof. ni bookish. JPM ni practitioner. Kwenye vitabu utaambiwa hata nyumba hajengwi kwa cash, lakini wengi wamejenga. RIP JPM.
Are you a standard four failure?mbona unashindwa kuelewa mambo wewe.
 
Hehehehe ila Prof Assad ni chuma,,,, huyu ndio pekee aliyesema ukweli enzi za hayati magufuli bila kupepesa macho... Na sasa anaendelea kusema mengine....

Nchi ngumu sana hii
 
Professor assad aliongea mengi sana . trillion 1.5 umesahau? Na alisema bunge lihoji iko wapi
Trilioni 1.5 ni namba ya Zitto tu; yeye mwenyewe Assad hakuisema; in fact kwa miaka mitano yote ya Assad ripoti zake zilikuwa ni 95% na zaidi clean.

CAG kusema haikuwa sahihi kununua ndege kwa cash ni kitu kimoja, lakini hiyo siyo kazi yake; yeye anachotakiwa ni kukagua vitabu vya serikali kama matumizi yamefanyika kama ilibyoidhishwa na Bunge. Kwa vile bunge liliidhinisha kunuliwa ndege hiyo na likatenga fedha kwa shughuli hiyo, yeye CAG alitakiwa aangalie tu kuwa fedha zilzotengewa na bunge kununua ndege zimetumika sawasawa.
 
Are you a standard four failure?mbona unashindwa kuelewa mambo wewe.
Hizi concepts za bookish na practitioners ni ngumu kuzielewa kama huna uwezo wa kuchanganua mambo kwa kutumia uwezo wako binafsi.
 
Hii ni tweet inayoombatana na video huko twitter:

Prof. Assad anasema "..You can't buy airline by cash, hakuna yeyote anayenunua ndege kwa cash...wapi umeona?..hakuna mtu ananunua ndege kwa cash. Watu wajinga sana ndio wanaweza kufanya jambo hili..."


Prof. anashindwa kujua kama kuna toafauti kati ya airline na plane (ndege)!!!! Hivi kunauwezekano kweli wa kununua airline hata kwa mkopo? Nijuajo airline uingia ubia, mfano, KQ na KLM.

Emotion sio nzuri unapotaka kufanya reasoning/ au kuwa rational. Siku zote ukiikaribisha emotion, rationality inaondoka, sasa ona eti tumenunu airline!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi unafikiri Assad ukimpa Nchi ndo hakutokuwa na watu wanapiga hizo hela chini? Unafikiri ndo ataweka mikataba wazi? Unafikiri atafanya nini ili kuifikia ata China mnayosema mlikuwa sawa kwenye miaka 60?

Leo mnatamani kuzifikia China kiuchumi..!! Utaweza wewe mlalamishi kufunga mikanda kama waliyofunga China mpaka wakafikia maendeleo ayo? Au unadhani EROUPE imejengajwe? Au America imejengajwe? Kaa chini tuliza tako we unaendhani wenzetu walijenga nchi zao kwa kidai mishahara sijui na upupu wenu mnaona una faida kwa sana kuliko kuzijenga nchi zao.

Najua hizo nchi zilijengeaje vizuri kuliko wewe, ushamba unakusumbua.
Tatizo jiwe liliwalisha ushenzi na mlivyo vilaza mkawa mnamuona mtukufu. Mtu yeyote mwenye hata nusu ya ubongo anajua kabisa udikteta haufikishi mtu popote, unataka sample? Tanzania, North Korea, nchi nyingi za Afrika. Ovyo tu zinanuka mavi na vilaza wamejaa ka wewe hamna kingine
 
Hii ni tweet inayoombatana na video huko twitter:

Prof. Assad anasema "..You can't buy airline by cash, hakuna yeyote anayenunua ndege kwa cash...wapi umeona?..hakuna mtu ananunua ndege kwa cash. Watu wajinga sana ndio wanaweza kufanya jambo hili..."


MJINGA MWNEYWE aASIYE NA HAYA WAKLA UTU KUMSEMA MTU HATA KABLA YA AROBAINI AISHIE HUKO. huwadanganya watanzania , ripoti kablka hata haijapatiwa majibu imekwishajadiliwa. Mtu wa kawaida Bilioni moja anaiona kubwa sana ndio maana VChenge aliwaambia vijisenti tu mnababaika navyo. He can go to hell!
 
Wacha watu watapike watakavyo dhidi ya mwendazake, kwa kuwa alivyokuwa hai watu hawakuthubutu kuyatamka hayo kutokana na jamaa alivyokuwa mlipaji visasi kwa yeyote anayeonekana anampinga kutokana na jinsi anavyoiendesha nchi yetu shaghala baghala
Simba wa Yuda
 
Hivi hizo ndege mngekuwa mmekopa sasahivi si zingekuwa zimeshaacha kufanya kazi!
 
Back
Top Bottom