Kefaville
Member
- Mar 21, 2013
- 92
- 10
A.Tibaijuka ana kosoa kauli ya wao 600 kulinganisha na tume ilivyofanya. wao wameteuliwa kwa maana imetumika stratified sampling( kwa maana uteuzi wao ulicheck sifa fulani). lakini tume haikufanya stratified sampling.hivyo hoja ya A.tibaijuka iko sahihi kwenye ukosoaji wa hiyo scenario
Huyo mama mlevi tu,yan mchakato wa katiba ya watanzania ianze kuchagua watu wenye sifa kwa wananchi kutoa maon?