Prof. Anna Tibaijuka amkosoa Mh. David Kafulila

Prof. Anna Tibaijuka amkosoa Mh. David Kafulila

Mimi pia nilimsikia huyu Anna Kajumulo akijisifu kuwa yeye ni msomi na hivyo anaona Kafulila hakuwa mkweli alipozungumzia mambo ya sampling!!! Yeye huyu mama amesomea mambo ya Agricultural economics na sampling Theory ni sehemu ndogo tu aliyofundishwa ukimlinganisha na watu waliosomea STATISTICS. Amesahau kuwa katika kufanya utafiti the important thing unachotakiwa kuzingatia ni kuwa sample yako iwe Representative; hayo mambo ya stratified na non-stratified sampling anawachanganya magamba wenzie ambao ni mbumbumbu kwani hayo yote yanakuwa yameangaliwa kama sample yako ni REPRESENTATIVE ambayo ndio aina ya sample iliyotumiwa na tume ya Warioba. Hawa mburula wa Magamba hata kama wana shahada wakiingia siasa akili zao zinadata shauri ya njaa hata kama wamefanya kazi United Nations!!

Tumuulize huyu Prof Anna Tibaijuka kufanya kwake UN na uprof wake amevitumia vipi kupunguza umasikini na ujinga ktk jimbo lake la Muleba Kusini na taifa kwa ujumla. Power ya mtu hailetwi na kuwa prof au ubunge bali hutoka ndani yako. Wananchi wengi wa Jimbo la Muleba Kusini wanajuta kumchagua mama huyu.
 
Prof yupo sahihi, ni vizuri watu warudi kujikumbusha statistics. Ile tume ilihoji watu takriban 350,000 kwa maana ndiyo sample inayowakilisha watanzania. Hivyo 17,000 walioongelea muungano ni asilimia 5 tu ya sample na ndiyo asilimia ya watanzania. Ukija kwa bunge la katiba wapo 600 ndiyo sample ya wawakilishi wa watanzania hivyo asilimia itatokea hapo (idadi ya wajumbe / jumla ya wajumbe)

unauhakika na unachokishadidia? ukweli watu 17000 wanatakiwa kutazamwa miongoni mwa watu waliochangia juu ya mada ya muundo wa serikali, tu. siyo uangalie sample ya watu wote waliochangia mada mbalimbali ambamo wengine hata hawakuzungumzia muundo wa serikali. population ilikuwa ni watanzania wote walio na umri wa watu wazima! lakini kwa kuwa hawakujitokeza kuchangia juu ya jambo hilo tunaangalia wale waliochangia tu juu ya mada hiyo! huyo mama unamtetea lakini ukweli haoneshi weredi wowote katika hoja zake! amebeba chama ndani ya akiri zake uzarendo zero.

Muungano tunaupenda lakini kwa muundo huu wa s2 wanao lazimisha, hauoneshi tumaini. nasikitishwa na kwamba tumepoteza pesa nyingi kujadiri katiba mpya lakini kwa mwonekanokatiba itakakuwa hiihii iliyopo. any fool can know. the point is to understand.
 
Kabla ya ku disqualify method ni vizuri ukajua njia za kukusanya opinions......

Tuache creming bila kujali context; Warioba was not doing academic research..... Alikuwa ana search for public opinion ambayo hamzuii kufanya judgemental conclusions na kutumia njia zinazofaa ku analyze information aliyo gather to suit objectives alizokuwa nazo.

Amefanya triangulation ya kutosha kuja na conclusion ambayo wengi walio na open mind tunakubaliana nazo.

Kama una argue ya Tume ya maoni je ni ambie composition ya wajumbe wa katiba una i justify vipi?

Warioba na wajumbe wenzake ni watu wenye experience kubwa na wana institutional memory ya tangu uhuru hivyo kwa hadi yao tunategemea wana social capital kubwa kiasi ambacho hawawezi danganya na wameonyesha jinsi walivyo wafikia watu wa hali na jinsi zote.

Wametoa matangazo kwenye media, wameenda kuwafuata watu katika makundi mbalimbali na kuwaita katika mabaraza yao mnataka takwimu gani yenye diversity kiasi cha hicho walichokifanya?
Siyo kuhusu diversity. Ni kuhusu maoni-wakilishi. Hayo huwezi kuyapata hadi uwe na probability sampling. Hapakuwa na sampling ktk Tume, achilia mbali probability. Ni hivyo tu. Si kuwa yaliyosemwa kwa mtindo huo hayana maana, ila hayana sifa za funga-kazi yaliyopewa na Tume mwanzoni. Sasa wameipunguza sifa hiyo wenyewe.
 
Mimi pia nilimsikia huyu Anna Kajumulo akijisifu kuwa yeye ni msomi na hivyo anaona Kafulila hakuwa mkweli alipozungumzia mambo ya sampling!!! Yeye huyu mama amesomea mambo ya Agricultural economics na sampling Theory ni sehemu ndogo tu aliyofundishwa ukimlinganisha na watu waliosomea STATISTICS. Amesahau kuwa katika kufanya utafiti the important thing unachotakiwa kuzingatia ni kuwa sample yako iwe Representative; hayo mambo ya stratified na non-stratified sampling anawachanganya magamba wenzie ambao ni mbumbumbu kwani hayo yote yanakuwa yameangaliwa kama sample yako ni REPRESENTATIVE ambayo ndio aina ya sample iliyotumiwa na tume ya Warioba. Hawa mburula wa Magamba hata kama wana shahada wakiingia siasa akili zao zinadata shauri ya njaa hata kama wamefanya kazi United Nations!!
Neno representative ndilo lenyewe. Tume haikuwa na sample. Ilienda maeneo mengi ikamsikiliza yeyote aliyetaka kutoa maoni. Ni vipi yanakuwa representative kwa kanuni za takwimu au ukusanyaji maoni?
 
Neno representative ndilo lenyewe. Tume haikuwa na sample. Ilienda maeneo mengi ikamsikiliza yeyote aliyetaka kutoa maoni. Ni vipi yanakuwa representative kwa kanuni za takwimu au ukusanyaji maoni?

Hapo kwenye nyekundu, kama tume ilikwenda maeneo mengi na kukusanya maoni kutoka kwa wananchi ndio maana sample yao ilikuwa REPRESENTATIVE!!
 
Back
Top Bottom