MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,820
- 5,822
kwani hao wabunge wanapopinga maoni ya watu wengi, wa wametumia aina gani ya sampling kupinga statistical data. au kama vipi tuwape nafasi kila mmoja arudi jimboni kwake akusanye maoni ya wananchi wake ndio apate nguvu ya kubisha statistical data za tume.