Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

what if matokeo yako ya hospitali yakitolewa kwenye public utanyaje?
Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba huyu Mwanahawa alipata division 1 point 7, ila ni chuki tu dhidi ya R
ais Kikwete ndio zikafanyika hizi hujuma kwenye ule mkakati wa mfumo kristo. Huu ni mkakati maalum wa kuwaonea waislamu na usisahau yule bosi wa Baraza la mitiani ni Mkatoliki na ni Chadema dam dam, kwahiyo hizi ni hujuma dhidi ya uislamu. Tekbiir.
 
what if matokeo yako ya hospitali yakitolewa kwenye public utanyaje?
Kwani ugonjwa ni SIRI? Ndio maana tutamalizwa na UKIMWI nchi hii. Tunaficha mambo haya hadi makaburini. Tunasingizia mapafu, figo, maini, bandama,..., ili kama ni mke au mme au partner amebaki aendelee kuua wengine!
 
Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba huyu Mwanahawa alipata division 1 point 7, ila ni chuki tu dhidi ya R
ais Kikwete ndio zikafanyika hizi hujuma kwenye ule mkakati wa mfumo kristo. Huu ni mkakati maalum wa kuwaonea waislamu na usisahau yule bosi wa Baraza la mitiani ni Mkatoliki na ni Chadema dam dam, kwahiyo hizi ni hujuma dhidi ya uislamu. Tekbiir.
Unahamisha magoli Mkuu. Najua uwezo wako wa kufikiri na ku-analyze mambo sio huu.
 
si unajidai kwa sababu tuko hapa jf,thank god kuna privacy hatujuani....imagine.....uonekane kama mwanaasha...kny gazeti na mtu akikugugo tu unaonekana ulidisco....????????
Jestina, sina tatizo na the right to privacy,to be honest right to privacy kwenye public issues, kwangu sio issue, hata ud wangekuwa wanabandika majina ya waliodisco, kwangu ni poa tuu kuthibitisha I'm only human. Lakini hili la matokeo kubandikwa sio issue, kila siku magazeti yetu ya udaku yanabandika picha/habari ambazo ni violation to right to privacy, wengi wa wanaoingiliwa faragha zao, hawajui haki zao, na kuna wanaojua haki zao, gharama za kuajiri wakili ni issue!, Tanzania hatuna sheria ya "pro bono" wakili kununua kesi, akishinda mgawane mavuno!.
 
Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba huyu Mwanahawa alipata division 1 point 7, ila ni chuki tu dhidi ya R
ais Kikwete ndio zikafanyika hizi hujuma kwenye ule mkakati wa mfumo kristo. Huu ni mkakati maalum wa kuwaonea waislamu na usisahau yule bosi wa Baraza la mitiani ni Mkatoliki na ni Chadema dam dam, kwahiyo hizi ni hujuma dhidi ya uislamu. Tekbiir.


:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::smash::smash::smash:
 
Kwani ugonjwa ni SIRI? Ndio maana tutamalizwa na UKIMWI nchi hii. Tunaficha mambo haya hadi makaburini. Tunasingizia mapafu, figo, maini, bandama,..., ili kama ni mke au mme au partner amebaki aendelee kuua wengine!

MIMi nikiweka ugojwa wako hapa utajisikiaje?

Privacy kwa upande wa NECTA inabidi iangaliwa kwa jicho la kengeze
 
Freema, its an open secret, ni kweli nilidisco ud and that is a fact!. Na kama kipimo cha kilaza ni ku disco, then hakuna ubishi mimi pia ni kilaza mpaka basi!. Sisi binadamu hatupendi kuonyesha udhaifu wetu ila wengine kama mimi niko very open and frank ndio maana nime fanya disclosure!. Weka tuu hiyo signature kwako na siku ukiichoka na kuibadili, nitaihamishia kwangu!.


Kama ulidiscontinue UD lakini haikuwa mwisho wa maisha yako career wise, kwa nini hukuwaza kuwa kufail kupo na Mwanaasha anaweza fanya vizuri akipewa second chance kama ulivyoweza pata wewe jibaba zima na ndevu?


Ulimi uliponza kichwa, I hope huna mtoto kama unaye akifeli umwite kilaza wa kutupwa.
 
Hapo kwa RED ni Kupeng'e
Back to the Topic

Mkuu Kupeng'e, Necta inabidi wajirekebishe maana hii sio haki hata kidogo
Nakubaliana na wewe, be a human right lawyer, tetea haki za wote na zaidi wale wasiostahili, hizi hoja za kutafutwa kwa haki za wenye majina zinapokuwa violated sio. Tuwapiganie the nameless, statusless the unknown ambao ndio wahanga wakuu wa ukiukwaji wa haki za binaadam!.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Nakumbuka Kipindi cha Nyuma (Si Miaka Mingi sana) Matokeo yalikuwa yanatangazwa kwa Namba za Mitihihani (Ambazo mostly zinakuwa zinafahamika kwa Wanafunzi). Sasa ikitokea Dogo limefeli hali disclose Matokeo kwa Mzazi, matokeo yake Mzazi anatumia muda mwingi na Resource kujua ukweli wa Matokeo ya Mwanae. Sisi Wazazi ( Mimi mmoja) tulilalamika kwamba Watoto wetu hawatuonyeshi Matokeo hasa yanapokuwa Mabaya. Ikaonekana mambo yawe Hadharani.

1. Juzi Bodo ya Mikopo imetuanika tena wengine tumeshalipa, hakuna aliyesema chochote kuhusu Privacy
2. Ze Utamu iliwatesa sana akina Nsia Swai na wengine kuhusu Maisha yao ya Privacy ( Tena Mpaka ya Chumbani). Wakalamika weeee hakuna mtu aliyechukua hatua yeyote kilichofuata wengi Mnakijua "Animal Farm Principle)
3. Kila Mwaka Matokeo ya Mitihani yanawekwa Hadharani na kuna watu yanawaumiza kweli kweli hakuna aliyesema.

May be hili la Mwanaasha ni "A Blessing in Disguise"
 
Labda la kujifunza hapa ni moja. Shule kama za FEZA, MARIAN, St. FRANCIS,..., zinafundisha kweli au zinataka watoto wenye akili zao za kuzaliwa tu? Mbinu wanazotumia kufaulisha watoto hawa ni sahihi? Zikipelekewa watoto walioko Makongo watafaulu?
 
Kwa hiyo kama NECTA walikuwa wanakosea miaka yote basi ndio tuwaache bila kuyajadili makosa yao ili waendelee kukosea? Tatizo mtazamo wako unaonyesha kwamba uzito wa mada hii unatokana na kuhusishwa kwa mtoto wa Kikwete. Unachotakiwa kuelewa ni logic ya mtoa mada. Point ya msingi ya mtoa mada inahusu Protection of Personal Privacy. Hapa msisitizo unaowekwa ni kwamba NECTA wanaenda kinyume na sheria hii. Hivyo hata kama sio Mwanaasha, mtu yeyote ambaye kwa namna moja au nyingine amekumbana na udhalilishwaji uliosababishwa na makosa haya ya NECTA basi ana haki ya kisheria ya kuishitaki NECTA.
Mkuu maji hutafuta mpenyo kidogo tu kisha mwisho wa siku huangusha nyumba. Jifunze kwa makosa ya wenzako usingoje mpaka ukosee wewe..!

Naona umechukua post moja na kutegeneza hitimisho la mtazamo wangu,

Nimesema na nitaendelea kusema kuwa wanachofanya NECTA au kile ambacho wamekuwa wakifanya ni makosa bila kujali wamebandika matokea ya mtoto wa nani....Yawe ya kufaulu au kufeli....Wanakosea kuonesha matokea ya mtu kwenye public!

Kwamba sasa wanatakiwa kubadilika...Nimeliongelea sana...Walitakiwa kulijua hili...ila lazima moto utokane na sparks...Hili la mtoto wa JK naamini litawaamsha usingizini!!

Babu DC!!
 
Nakubaliana na wewe, be a human right lawyer, tetea haki za wote na zaidi wale wasiostahili, hizi hoja za kutafutwa kwa haki za wenye majina zinapokuwa violated sio. Tuwapiganie the nameless, statusless the unknown ambao ndio wahanga wakuu wa ukiukwaji wa haki za binaadam!.

Na kwa hili si ukiukwaji wa haki za binaadam, ni ukiukwaji wa haki za watoto
 
  • Thanks
Reactions: EMT
MIMi nikiweka ugojwa wako hapa utajisikiaje?

Privacy kwa upande wa NECTA inabidi iangaliwa kwa jicho la kengeze
Nje ya JF kila kitu changu kiko wazi sana. Siugui nikaficha. Sishindwi mitihani nikafanya siri. Jambo ambalo ni siri kwangu liko moyoni kwangu. Hakuna siri zaidi yale yaliyo moyoni kwangu kama vile chuki, husda, wivu, tamaa, hamu,...
 
wewe unadhani nilijiuliza?

cant answer that unless ujibu my first question, why now hiyo privacy inkua issue??? is it because Mwanaasha kawa wa mwisho darasani tena shule iliyotoa wa kwanza kitaifa?? tena kapata four nil?

Simply because Mwanaasha has been the victim and has been ridiculed to death...

Kila kitu lazima kipate mahali pa kuanzia kaka.

Ni kweli tulitakiwa kuwa tumeliongelea na kupiga kelele siku nyingi ila sina hakika kama tungesikilizwa vizuri...Leo naamini tutasikilizwa tena sana kwa sababu familia ya Mkuu wa nchi imeguswa.....Hii si sababu ya msingi???

Babu DC!!
 
nirudie tena katiba chini ya article 16 imetoa mwongozo wa kuanzisha sheria maalumu data protection laws ambayo ingeanzisha data protection authority, poa muelewe sio kila kitu ni privacy kama sheria imeruhusu jambo kwa minajili fulani kama kutoa matokeo kwa njia ya mtandao au magazeti, kwa tanzania sio kila mtu ana acess na mtandao ndio maana wanatumia magazeti.labda mtu aibuke na ishu ya kwann wasiweke number tu badala ya majina,na kama sheria ilioruhusu nacta kufanya hivo imeanishwa basi hawezi kufungua kesi ya privacy
jiulizeni data zenu nlizotoa wkt mnaandikisha simcard zinalindwaje?ukifungua account benki nako data zako zinalindwaje+ je mtu wa benki hawezi kuzitumia against you kwa profit? nk
tukishakuwa na sheria hiyo basi tutaelewa wazi na pia kama necta wanatoa matokeo na majiba bila sheria inayowaruhusu kufanya hivo ndio unaweza kufungua kesi kuwashtaki ktk data protection authority na sio mahakama

Article 16(1) and (2) of United Republic of Tanzania Constitution of 1977 as amended form time to time provides for right to privacy. Article 16(2) of URT constitution provides for possibility of other laws to encroach the right to privacy. The said article stipulates clearly that the law maker will enact law to stipulate how privacy right may be protected, pursued or encroached by government agents.Unfortunately this requirement has not been put into implementation.​

hivi mtoa mada anajua nn maana ya privacy?
hadi sasa Tanzania hatuna sheria rasmi INAYOlinda taarifa binafsi za mtu (Data protection law=, katiba, CPA nk zinarestrcict tu privacy kuliko kulinda
. nchi nyingi duniani tayari wanazo na kunakuwa na mamlaka maalumu ya kusimamia
yaani Data protection authority ambako mtu anaweza kushtaki kama akiona habari zake zimetumika visivo bila idhini yake.
Kuna principal za data protection ambazo zimeanishwa katika sheria hii ya kimataifa ICCPR, ECHR nk
kama Tanzania hatuna Necta watawezaje kuwa nayo??? kutoa majina ktk mtandao hiyo ni policy ya necta na haijavunja right to privacy kwani privacy unagusa vitu vingi na exception yake ndio kama wanavofanya NECTA kwani kutoa majibu ni haki ya kila mtu kupata ni
ningeandika mengi ntawachosha,

Kuna tofauti kubwa kati ya Privacy Law na Data Protection Law. Tafadhali usichanganye hivi viwili hapa. Kama unataka kujua zaidi juu ya Privacy Law, soma juu ya Privacy Tort in the US. Data Protection is a more European thing.
 
Mkuu naamini kuna regulation zinazogovern uanzishaji wa NECTA na namna ya kuhandle masuala yote yanayohusiana na mitihani
Maana sidhani tuu wanaweza kuwa na policy ambayo haijawa regulation na bado wakaendelea kutumia policy kuendesha mambo yao
Naamini ipo regulation ambayo wanajua kabisa haitaendana kinyume na katiba au kinyume na sheria iliyoanzisha baraza lenyewe

But section 18(1) if the Act provides that in the performance of its duties and exercise of its powers, the Council may, with the consent of the Minister, make regulations generally for the Government, control, administration and management of the Council and for conduct of its business, and without prejudice to the generality of the foregoing, may make regulations prescribing, among others (g) the manner in which diplomas, certificates or other awards may be granted and (i) anything which may be prescribed under this Act or any matter or thing which, in the opinion of the Council, is necessary to prescribe for the furtherance of the functions and objects of the Council.

Kwa hiyo the Act grants NECTA with so much power including the making of regulations. Labda hizo Regulations which NECTA has made under Act zinasemaje?

Mwanajamiione nafikiri issue kubwa hapa ni Je huyu binti anaweza kuisue NECTA for breach of her privacy as per the constitution of the URT
Kwa majibu ya watu wengi ni No kwa kuwa NECTA imeanzishwa kwa sheria ya bunge ambalo limeipa mamlaka kufanya mambo yote na kuregulate masuala yote yanayohusiana na mitihani
Bile vile NECTA imepewa mamlaka ya kujitungia sheria zake ( regulations) kuregulaet day to day activities za Baraza
Chini ya mamlaka hayo ililopewa chini ya sheria za kuanzishwa kwake ni kwamba baraza lisimamie mitihani, lisimamie usahihishaji wa mitihani husika na kutangaza matokeo
Utangazaji wa matokeo huo kwamba utangazwe kwa wahusika kwa mujibu wa sheria zilizounda baraza ambapo Baraza litatangaza kwa namna litakayoona inafaa na bila kuathiri sheria au kanuni nyingine yoyote.
Consitution of the URT ina kifungu kinachosema kuwa privacy ya mtu izingatiwe ila ukienda mbali zaidi Article 30 ya the same Consitution inasema kuwa na hapa nanukuuu sehemu yake:-
Mipaka ya haki na Uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu Sheria Na. 15 ya 1984 ib. 6; 34 ya 1994 ib. 5
(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
(2) Ifahamike kwamba masharti yaliyomo katika sehemu hii ya Katiba hii, yanayofafanua misingi ya haki, uhuru na wajibu wa binadamu, hayaharamishi sheria yoyote iliyotungwa wala kuzuia sheria yoyote kutungwa au jambo lolote halali kufanywa kwa mujibu wa sheria hiyo, kwa ajili ya.......

NECTA ina sheria yake na kanuni zake ambazo zinalifanya baraza hilo kuendesha shughuli zake bila kuathiri au kuingilia mambo mengine na sheria hiyo haijaharamisha au kuvunja kipengele chochote na imepitishwa na Bunge kuwa sheria na inalipa baraza mamlaka ya kufanya jambo lolote ambalo halivunji wala kuharamisha jambo lolote
Kusema kuwa kutangaza matokeo kwa njia wanayotumia NECTA ni kuvunja sheria au kuingilia uhuru wa watu ni kinyume maana sheria ya kuanzishwa kwake inalipa baraza kufanya jambo lolote ambalo linaonekana na linafaa kutfanywa na baraza na halivunji sheria yoyote. Ngalia hapa chini mamlaka ya baraza:-
Powers and duties of Council Acts Nos. 4 of 1987 Sch.; 2 if 1998 Sch.
(1) The Council shall have power to do things and to act in all ways necessary for, or incidental to the purposes for which it is established.
(2) In particular and without prejudice to the generality of subsection (1), but subject to the provisions of subsection (4), the Council shall have power–
(a) to administer the properties of the Council both movable and immovable;
(b) to administer the funds and other assets of the Council;
(c) to signify the acts of the Council by use of the common seal;
(d) subject to the provisions of this Act, to appoint any officers of the Council whom it may deem necessary;
(e) to review regulations relating to examinations;
(f) to consider and approve subjects suitable for examination;
(g) to appoint panels or boards of examiners;
(h) to enter into arrangements, whether reciprocal or otherwise, with other persons or organisations, whether within or outside the United Republic, for the recognition of awards granted in respect of examinations falling within their respective responsibilities;
(i) to do all other acts and things which may be provided for in this Act or which may be prescribed.



Hapo unaona kufanya jambo lolote liliruhusiwa chini ya sheria ya kuanzishwa kwake ikiwemo kutangaza matokeo kwa namna itakayoona inafaa na iliyopitishwa na sheria ya kuanzishwa kwake au kwa njia yoyote itakayoona inafaa
So tuseme wazi kuwa sijaona sehem yoyote ambapo Baraza limeenda kinyume cha Sheria au kanuni za kuanzishwa kwake mpaka lifikie kushtakiwa kuwa limeingilia privacy ya mtu

Hapa ningependa kuuliza, je regulations enacted through an Act are also considered above the Constitution? Yani zita-invoke s30(2) ya Katiba? Pia hicho kifungu cha (i) cha bluu, kiko to wide na kwa lugha yake inaruhusu Council kufanya kitu kilichokuwa prescribed. Sidhani kama kutangaza matokeo ni kazi iliyokuwa prescribed by the Act. I still think it is challengable.
 
what if matokeo yako ya hospitali yakitolewa kwenye public utanyaje?

Usilinganishe mtihani wa umma na afya ya mtu...havilingani.....
Haki ya privacy lazima ina mipaka....sio kila kitu una haki na privacy!
 
Nakumbuka Kipindi cha Nyuma (Si Miaka Mingi sana) Matokeo yalikuwa yanatangazwa kwa Namba za Mitihihani (Ambazo mostly zinakuwa zinafahamika kwa Wanafunzi). Sasa ikitokea Dogo limefeli hali disclose Matokeo kwa Mzazi, matokeo yake Mzazi anatumia muda mwingi na Resource kujua ukweli wa Matokeo ya Mwanae. Sisi Wazazi ( Mimi mmoja) tulilalamika kwamba Watoto wetu hawatuonyeshi Matokeo hasa yanapokuwa Mabaya. Ikaonekana mambo yawe Hadharani.

1. Juzi Bodo ya Mikopo imetuanika tena wengine tumeshalipa, hakuna aliyesema chochote kuhusu Privacy
2. Ze Utamu iliwatesa sana akina Nsia Swai na wengine kuhusu Maisha yao ya Privacy ( Tena Mpaka ya Chumbani). Wakalamika weeee hakuna mtu aliyechukua hatua yeyote kilichofuata wengi Mnakijua "Animal Farm Principle)
3. Kila Mwaka Matokeo ya Mitihani yanawekwa Hadharani na kuna watu yanawaumiza kweli kweli hakuna aliyesema.

May be hili la Mwanaasha ni "A Blessing in Disguise"

Katika hii dunia hakuna fairness...Ndiyo maana kuna Mfalme, Queen, Prince, Princess etc...

Watoto wa mtumishi wa Royal family wikiliwa na chui au simba...ni suala dogo na huyo simba ataachwa aendelee kuishi...

Ila mtoto wa mfalme akijeruhiwa tu na simba huyo huyo, maisha ya huyo simba yatakuwa shakani!!

Ndiyo maana mie naamini kuwa matokeo ya Mwanaasha yatasaidia kuwazindua NECTA kwamba exam results in personal information na haziwezi kutundikwa kwenye public kama vile wanauza ubuyu!!

Babu DC!
 
Kwa kweli tuna mitazamo tofauti, which is good kwa kuleta changamoto za kimaendeleo.

Ni kweli NECTA imekuwa ikifanya hivi lakini haimaanishi ni sawa wafanyavyo. Nimeuliza na wengine wameuiza mbona matokeo ya vyuoni hutangazwa kwa namba hakuna alojibu au mtasema kwa kuwa kule kuna watu wazima na je watoto wao hawana haki ya privacy?

Si sawa kuanika majina ya watoto waliofaulu na waliofeli.waanike namba zao tu zinatosha.
 
Back
Top Bottom