MachoMakavu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 367
- 44
Kwa hiyo unaona ni bora kutumia majina kuliko namba? Mimi binafsi sioni sababu yoyote ya msingi ya kutumia majina na athari zake ndo tunaziona kwenye matokeo ya huyu binti - kejeli, kebehi, matusi, dhihaka, na mengine mengi tu.
Wangekuwa wanatumia namba haya yote huenda tusingeyajua kabisa na binti wa watu angekuwa spared na hii ridicule tunayoiona sasa.
She doesn't deserve it at all.
There's nothing private for a public figure!