Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,304
owwwkkkeyyyyy!!!
then majina ya wadaiwa wa bodi ya mikopo, posting za vituo vya kazi magazetini, majina ya waliopata tuzo na nishani, posting za vyuo, skolashipu maalum
i dont mind, my only question ni inakuaje hizi haki za privacy zinakuja baada ya mwanaasha??... if shea had scored div 1 point 7, then everyone would usher her and noe would remember anything about privacy
kweli tuna watu na binadamu
Walau hao wadaiwa unaweza kusema ni adhabu ya kuwa wadaiwa sugu japo si halali
Kama kosa linafanywa kila mahali, haifuti wala kuondoa uzito wa kosa hilo.
Si haki kutangazwa kwa watu wote eneo langu la kazi licha ya kuwa nina option ya kuendelea na kazi hiyo au la.
Matokeo ni final, na hata huyo aliyepata A zote, ana haki ya privacy pia maana si kila aliyepasi vyema anataka kujitangaza na kujitapa, na kuwa center of attention kama wengi wanavyofikiria
Kama unadhani ni halali kwa matokeo kutangazwa hivi, unaonaje kuweka wazi wote wenye VVU? Maana hili linaweza likawa lina faida zaidi kwa jamii