Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

Jamani hapa tunapoteza muda wetu bure, huyo mtoto ameferi mtihani tu na hajafeli maisha, nawahakikishieni huyo Binti ataishi maisha matamu na kumiliki pesa ndefu kuliko hata Maprofesa. huyo hakuferi kwa bahati mbaya bali anajuwa kwamba tunasoma ili tupate maisha mazuri, sasa yeye tayari maisha mazuri anayo mnataka aumize kichwa chake ili iweje!!??
Au kuna mtu kati yenu aliwahi kumuona Ridhiwani Kikwete Mahakamani akisimamia kesi kama Wakili?
 
Kwa kweli tuna mitazamo tofauti, which is good kwa kuleta changamoto za kimaendeleo.

Ni kweli NECTA imekuwa ikifanya hivi lakini haimaanishi ni sawa wafanyavyo. Nimeuliza na wengine wameuiza mbona matokeo ya vyuoni hutangazwa kwa namba hakuna alojibu au mtasema kwa kuwa kule kuna watu wazima na je watoto wao hawana haki ya privacy?

Si sawa kuanika majina ya watoto waliofaulu na waliofeli.waanike namba zao tu zinatosha.

Bado dada,

Kwa nini matokeo yaanikwe?? Hata hizo namba haziwezi kusaidia kama mtu anataka ku-reveal info za mhusika...

Nyie na wenzenu mfanye kazi ya ziada kuhakikisha matokeo ya mtu yanamfikia yeye tu...Akipenda kushare na watu au la ...shauri yake!!
 
Jamani hapa tunapoteza muda wetu bure, huyo mtoto ameferi mtihani tu na hajafeli maisha, nawahakikishieni huyo Binti ataishi maisha matamu na kumiliki pesa ndefu kuliko hata Maprofesa. huyo hakuferi kwa bahati mbaya bali anajuwa kwamba tunasoma ili tupate maisha mazuri, sasa yeye tayari maisha mazuri anayo mnataka aumize kichwa chake ili iweje!!??
Au kuna mtu kati yenu aliwahi kumuona Ridhiwani Kikwete Mahakamani akisimamia kesi kama Wakili?

Matola,

Huu mjadala hauna uhusiano na kufeli au kupass kwa mtoto wa JK.....

Kwa upana wake unaangalia kama hawa NECTA wanavunja haki za mtu za kumlidia taarifa zake binafsi (rights to privacy)!!

Na kama wamekosea, wanaweza kushitakiwa??

Mie nimechukulia Mwanaasha kama best case scenario...ambayo inaupa nguvu huu mjadala!!

Babu DC!!
 
Kwa kweli tuna mitazamo tofauti, which is good kwa kuleta changamoto za kimaendeleo.

Ni kweli NECTA imekuwa ikifanya hivi lakini haimaanishi ni sawa wafanyavyo. Nimeuliza na wengine wameuiza mbona matokeo ya vyuoni hutangazwa kwa namba hakuna alojibu au mtasema kwa kuwa kule kuna watu wazima na je watoto wao hawana haki ya privacy?

Si sawa kuanika majina ya watoto waliofaulu na waliofeli.waanike namba zao tu zinatosha.

Nawaunga mkono NECTA kwa kuweka matokeo hadharani, hili litasaidia hata waajili wanapotaka kuthibitisha vyeti vyako hawawezi kupata tabu, watathibitisha online, na hii imesaidia kujuwa uwezo wa akili za darasani za watu wa aina ya Ephraim Kibonde ambaye amepata Dision 4 lakini anadiliki kuwadhiaki madaktari ambao wamekaa chuo kikuu miaka 6.
 
MJ1 salute...
Ila hebu fikiria pride ya mtoto kufaulu ilivyo tofauti na pride ya mtu mzima kufaulu!
Kuweka matokeo hadharani ni sehemu muhimu ya kuweta ushindani ili kupata their best!
Kuwa wa kwanza darasani ina maana kubwa sana kwa mtoto kuliko kwa mtu mzima!
 
Matola,

Huu mjadala hauna uhusiano na kufeli au kupass kwa mtoto wa JK.....

Kwa upana wake unaangalia kama hawa NECTA wanavunja haki za mtu za kumlidia taarifa zake binafsi (rights to privacy)!!

Na kama wamekosea, wanaweza kushitakiwa??

Mie nimechukulia Mwanaasha kama best case scenario...ambayo inaupa nguvu huu mjadala!!

Babu DC!!

Mahakama tu ndio chombo pekee cha kikatiba kinachoweza kutafsiri sheria. na ni kwa nini huu mjadala uwepo baada ya mtoto wa JK kufeli? hizi ni adhabu kutoka kwa mungu wanatuachia shule za kata bila waalimu wala maabara halafu watoto wao wanawapeleka shule nzuri!! huu ni ujinga uliopitiza mtu kusikitika na matokeo ya huyu mtoto wa JK.
 
Nawaunga mkono NECTA kwa kuweka matokeo hadharani, hili litasaidia hata waajili wanapotaka kuthibitisha vyeti vyako hawawezi kupata tabu, watathibitisha online, na hii imesaidia kujuwa uwezo wa akili za darasani za watu wa aina ya Ephraim Kibonde ambaye amepata Dision 4 lakini anadiliki kuwadhiaki madaktari ambao wamekaa chuo kikuu miaka 6.

Ok. Kwa ajili ya kudhibiti udanganyifu. But hata wakitumia namba mtu akitaka kukutambua atakutambua tu. Na je hakuna njia nyingine za kuhakiki elimu ya mtu?
 
MJ1 salute...
Ila hebu fikiria pride ya mtoto kufaulu ilivyo tofauti na pride ya mtu mzima kufaulu!
Kuweka matokeo hadharani ni sehemu muhimu ya kuweta ushindani ili kupata their best!
Kuwa wa kwanza darasani ina maana kubwa sana kwa mtoto kuliko kwa mtu mzima!
Ok ni kwa ajili ya pride ya mtoto alofaulu na yule alofeli je? Au ndo anapata changamoto ya kukaza buti? Lipi sasa wakati ndo mtihani wake wa mwisho?
 
Huyu binti jamani alianzia shule ya masista na wakamtimua ......Ndio akatafutiwa hapo feza....
 
Ok ni kwa ajili ya pride ya mtoto alofaulu na yule alofeli je? Au ndo anapata changamoto ya kukaza buti? Lipi sasa wakati ndo mtihani wake wa mwisho?

Pride ya aliyefaulu....na chalenge kwa wengine kufanya vizuri (kwa kuogopa aibu ya kufeli hadharani).....
Ukikomaa na privacy basi hata katoto kwa chekechea katataka privacy......
 
Wasingeweka jina kwani namba ake angeikumbuka? Kwanza wamemsaidia. Ktk 'PRECEDENTs' zote sijawahi ona kesi km hii, hakuna privacy hapo!
 
Nawaunga mkono NECTA kwa kuweka matokeo hadharani, hili litasaidia hata waajili wanapotaka kuthibitisha vyeti vyako hawawezi kupata tabu, watathibitisha online, na hii imesaidia kujuwa uwezo wa akili za darasani za watu wa aina ya Ephraim Kibonde ambaye amepata Dision 4 lakini anadiliki kuwadhiaki madaktari ambao wamekaa chuo kikuu miaka 6.

Haina maana kwamba majibu yakiwa kwenye special database waajiri hawawezi kuyapata...Watapata ila kwa ruhusa ya mwenye matokeo na kwa kutuma maombi maalumu...

Hakuna sababu ya matokeo yangu kuwa accessed kama vile ni mchanga wa bahari!! Hata bahari zenyewe zinalindwa na taasisi za kuhifadhi mazingira!!
 
J
Au kuna mtu kati yenu aliwahi kumuona Ridhiwani Kikwete Mahakamani akisimamia kesi kama Wakili?
Mkuu Matola, kwani kuwa wakili lazima usimame mahakamani?. Dr. Hawa Sinare ni miongoni mwa mawakili mahiri kabisa, top paid wa level ya Nimrod Mkono, jee umewahi kumuona mahakamani?.

Kwenye uwakili, kuna mawakili wanaokwenda mahakamani na kuna mawakili ambao hufanya due diligenzi na kutoa tuu ushauri wa kisheria kama "legal opinions" na ndio wanaovuta pesa ndefu!. Na katika sheria, sheria ngumu kuspecialize ni "criminology" na wanasheria wanaotetea kesi za jinai, ndio the least paid lawyers!. Speciality ya Investment Law ndio mteremko mkubwa, ila kwenye soko ndio the highest paid lawyers!, na sio lazima kukanyaga mahakamani!.
 
MJ1 salute...
Ila hebu fikiria pride ya mtoto kufaulu ilivyo tofauti na pride ya mtu mzima kufaulu!
Kuweka matokeo hadharani ni sehemu muhimu ya kuweta ushindani ili kupata their best!
Kuwa wa kwanza darasani ina maana kubwa sana kwa mtoto kuliko kwa mtu mzima!

Hapo kaka unagusa kitu kingine kabisa...kutangaza matokeo kwa ujumla na pale ambapo kuna sababu ya msingi kama vile kutoa majina ya washindi 10 ni tofauti na kuanika raw marks au passes zao!!

Babu DC!!
 
Wasingeweka jina kwani namba ake angeikumbuka? Kwanza wamemsaidia. Ktk 'PRECEDENTs' zote sijawahi ona kesi km hii, hakuna privacy hapo!
Lolz...hii kali ingawa huwa inatokea sana...ni rahisi kusahau/kuchanganya namba ya mtihani lakini mtu hawezi kusahau jina lake!
 
Mahakama tu ndio chombo pekee cha kikatiba kinachoweza kutafsiri sheria. na ni kwa nini huu mjadala uwepo baada ya mtoto wa JK kufeli? hizi ni adhabu kutoka kwa mungu wanatuachia shule za kata bila waalimu wala maabara halafu watoto wao wanawapeleka shule nzuri!! huu ni ujinga uliopitiza mtu kusikitika na matokeo ya huyu mtoto wa JK.

Nakubaliana na wewe kuwa suala kutafsiri sheria ni kazi ya mahakama...Ila hata kama mahakama inaweza kusema kuwa hakuna kesi katika hili suala....haina maana kwamba it is morally right!!....

Basically...itabakia kuwa wrong na hii itakuwa ni changamoto kuweka sheria za kulinda taarifa muhimu za watu including minors!!

Wanaomtetea mtoto wa JK basi wanauchukulia huu mjadala katika narrow sense..Wengine tunauangalia katika mapana yake na kuchukulia suala la Mwanaasha kama kianzio cha mjadala wenyewe!!

Babu DC!
 
Hapo kaka unagusa kitu kingine kabisa...kutangaza matokeo kwa ujumla na pale ambapo kuna sababu ya msingi kama vile kutoa majina ya washindi 10 ni tofauti na kuanika raw marks au passes zao!!

Babu DC!!

Privacy ni ya muhimu sana hasa mtu anapofeli.Kuna watu wamefeli bahati mbaya amini usiamini.Lakn inapokuja suala la kutangaza matokeo na jinsi waTz tunavyojua kuchonga ,unaweza msababishia mtu matatizo ya kisaikolojia...Baraza la mitihani waliangalie suala hili.
 
Babu DC,
Kwani aliyefaulu sana hana haki ya privacy?
Nod maana nikaulizia mipaka ya usiri!
 
Privacy ni ya muhimu sana hasa mtu anapofeli.Kuna watu wamefeli bahati mbaya amini usiamini.Lakn inapokuja suala la kutangaza matokeo na jinsi waTz tunavyojua kuchonga ,unaweza msababishia mtu matatizo ya kisaikolojia...Baraza la mitihani waliangalie suala hili.
Kwa akili hizi za kushikiwa sasa mtashinikiza hata mkifumaniwa gesti house mkiwa mnavunja amri ya sita na wake/ waume za watu mtataka iwe Privacy na Shigongo asiripoti matukio haya. yaani nchi hii imejaa watu wa ajabu kweli kweli.
Wakati dunia leo hii watu wanakuna vichwa kurahisisha maisha bado huku kwetu kuna mijitu bado ina mawazo ya kale ya kugonga muhuri wa confidential hata kwenye barua ya kuomba bili ya maji!!
 
Privacy ni ya muhimu sana hasa mtu anapofeli.Kuna watu wamefeli bahati mbaya amini usiamini.Lakn inapokuja suala la kutangaza matokeo na jinsi waTz tunavyojua kuchonga ,unaweza msababishia mtu matatizo ya kisaikolojia...Baraza la mitihani waliangalie suala hili.

Sounds like Mwanaasha J Kilaza
 
Back
Top Bottom