Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
basi na yule aliyeandika bongo fleva kwenye majibu nae aende maakamani na yule aliyekuwa wa kwanza nae aende mahakamani maana nao wameandikwa na kutajwa sana kwenye mitandao na magazeti kama uyu kilaza wa feza girls. mpeni pole yake na amechelewa kwenda
Huyo wa Bongo flava hawezi kwenda mahakani kwa sababu hakuna sehemu ambayo wame-reveal identity yake!!
Kitu ambacho Watanzania tunachanganya...ni tofauti kati ya data na processed information....
Data huwezi kuziweka kavu kavu kwenye public ila ukishaziprocess na kupata information, basi kuna information ambayo unaweza kuiweka kwenye public bila kuingia privacy ya mtu...Mfano average score, idadi ya wanafunzi waliopata sifuri, waliopata daraja la kwanza n.k
Inapobidi kutangaza details za mtu binafsi basi inabidi tuwe makini sana. Unaweza kumtangaza best student Tz wa form 4 halafu huyo huyo mwanafunzi akaja kupata Div 4 A-level au ku-Disco chuo. Taarifa kama hizo zikifuatilia zinaweza kumletea madhara makubwa huyo mwanafunzi..
Kuna mfano mzuri tu wa Bethuel Mbugua...
https://www.jamiiforums.com/celebri...gua-watanzania-walipigwa-changa-la-macho.html
Babu DC!!