DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,308
- 5,025
Hizo Kanuni za Vita ya Kimtandao zimeandikwa wapi nikazisome?
Kumbe hadi mnazo kanuni za minyukano ya facebook na hamsemi!
Cc: johnthebaptist naomba unipatie nakala ya hizo kanuni nizipitie, kuna watu wananichanganya sana facebook nataka niwashukie wima wima kama mwewe.