Press za Polepole kwa sasa hazina tija

Press za Polepole kwa sasa hazina tija

Katumwa na CCM huku kaondolewa hadhi ya ubalozi? CCM haiwezi kufanya huo upuuzi. Mchakato tu wa kuwapata wagombea ndani ya CCM tayari umeizima NRNE kwa 100%. Hata makada wa CHADEMA kwa sasa wako bize mno na mambo ya CCM.
Kama CCM iliweza kumtengeneza Mbowe watashindwa Polepole?
 
Madam tumefika Polepole vs Aziz basi huyo Slow Slow yuko mbele ya muda

RA huwa hatoki hadharani bila kutikiswa akatikisika yaani huwezi kumsikia anamjibu Uchwara yoyote

Sasa hapo Aziz si anamtoa Polepole kwenye mchezo apoteze Focus.
Focus ya Polepole ni Rais, kama atataka amjibu Azizi atakuwa ameshatolewa mchezoni kabisa

Yeye kwenye Warplan yake anaweza ku-edit kidogo lakini asije akapoteza focus yake kama lengo ni kumkabili Rais
 
Hamjambo!

Katika vita ya mtandaoni, hasa vita maneno. Kuna kanuni zake.
Unpotupiana maneno na mtu kama unakombora kubwa kuliko haupaswi kulichelewesha sana kama vile katika vita vya silaha mfano Nyukilia ambazo hutolewa kidogo kidogo na kutokea yenye uwezo mdogo kufuatia yenye uwezo Mkubwa

Vita ya maneno ili ushinde lazima uangalie tension, shauku, hamu kubwa ya watazamaji, vita ya maneno watazamaji hutaka kusikia kombora kubwa kuliko hasa likitolewa dakika za mapema kabisa ili kumaliza kazi.
Vita ya maneno hasimu huwa na hofu ya kusemwa zile tabia zake mbaya za siri, usipomsema katika dakika za mwanzo, ukasema mambo ya kawaida. Tayari unampa mazingira ya kuzoea hofu na kisaikolojia ukishazoea hofu ya kile unachotarajia inapunguza uzito wa kombora lenyewe hata likitupwa.

Ikiwa unamchelewesha mtu katika vita ya Maneno jitahidi uwe na taarifa kubwa ya kutisha ambayo yeye(hasimu wako) anajua taarifa hiyo hauna. So inakuwa suprise sio tuu kwa Mashabiki bali hata kwa adui. Na hilo linakuwa pigo moja takatifu ambalo lazima liitwe Knock out.

Sasa Polepole press ya kwanza watu walijua atatuma vyuma vya uhakika, kisha awamu ya pili kutuma ushahidi, yeye watu wanamsubiri wakijua atakuwa na jambo zito. Akaboronga.
Watu wakasema huenda anavuta kasi, kapanga shambulizi la Pili, akaboronga.

Mpaka hasimu zake wamemdharau.
Alafu mbaya zaidi mlengwa Mkuu ambaye ni Rais yupo Kimya.
Na hili nilishaeleza kuhusu mpambano unavyokuwa.

Rais hawezi kujibu shambulizi lililopoa. Na nilimwambia kuwa ukimya wa Rais kwake auhesabu kama ishara ya hatari.

Kikawaida mtu ambaye unajua siri zake ukianzisha vita naye. Kama atakupiga shambulizi lililopoa huwezi mjibu kwani unajua hajamaliza risasi zake. Kwamba kuna risasi anayoitegemea.

Ni tofauti na Gwajima Vs Makonda. Gwajima alipokuwa katika vita vya Maneno na Makonda, Gwajima alianzia moja kwa moja kwenye kiini. Kisha akaacha ngoma imehang huku ushahidi ukiwa unafuata kwa shambulizi alilofanya.

Gwajima Vs Serikali ambao ni kivuli cha watekaji kwa Mujibu wake.
Shambulizi lake alianzia juu na hakuwa na risasi nyingine. Vita ilianza kwa tensioni kubwa.
Rais alimjibu kwa sababu alijua Gwajima amemaliza risasi zake na hana tegemeo jingine tena. Hana kipya atakachoongea.

Polepole yeye katoa shambulio lililopoa Sana. Madhara yake sio makubwa.
Hata kuzima mitandao ni hofu tuu.
Lakini ni kiashiria kuwa Polepole anataarifa nyingi na nyeti sana.

Polepole angerusha mawe mazito hata vipande nusu ambavyo vitamfanya awaabishe adui zake na awapagawishe. Kisha hatua inayofuata aseme anakuja na ushahidi ambao utawashangaza, na aseme atauweke hadharani na kila mtu atauona.
Huku akisema amebakisha vyuma vingine ambavyo vitaitetemesha nchi.

Ukishatoa madai ya kumdhalilisha hasimu wako utakuwa upo nusu ya ushindi. Kuthibitisha utakuwa umemaliza kazi.

Kadiri Polepole anavyochelewa ndivyo mashambulizi yake yanakosa nguvu.
Yaani leo hata aje aseme kitu gani hakitakuwa na nguvu ya maana kama angeshambulia mwanzoni.

Tayari watu wameshazoea, watu wameshapredict, hasimu kashazoea tension jambo ambalo kwenye vita ya maneno sio zuri.

Polepole hata zile trick za majigambo na mikwala ya kusema yeye yupo tayari kufa lakini lazima hasimu wake alale nao mbele hatilii mikazo katika laini hizo.

Yupo katika vita kubwa lakini anapambana kwa namna laini sana. Jambo ambalo unagundua kuna kitu hakipo sawasawa.

Anyway! Sisi tupo!
Na tutakuwepo!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hilo sasa kamwambie mzima mitandao.
 
Hazina tija na umekuja kufungua uzi mkubwaaaaa.

Kama hazina tija basi tulia.
 
Katumwa na CCM huku kaondolewa hadhi ya ubalozi? CCM haiwezi kufanya huo upuuzi. Mchakato tu wa kuwapata wagombea ndani ya CCM tayari umeizima NRNE kwa 100%. Hata makada wa CHADEMA kwa sasa wako bize mno na mambo ya CCM.
NRNE kuwezekana kwake labda kwa "kukinukisha" mkuu, tofauti na hapo elimu ya uhamasishaji tu
 
Sasa hapo Aziz si anamtoa Polepole kwenye mchezo apoteze Focus.
Focus ya Polepole ni Rais, kama atataka amjibu Azizi atakuwa ameshatolewa mchezoni kabisa

Yeye kwenye Warplan yake anaweza ku-edit kidogo lakini asije akapoteza focus yake kama lengo ni kumkabili Rais
Huwezi kukutana na Rais kabla ya kukutana na Rostam Aziz kimapambano

Wengi hamjui JK alikutana wapi na huyo Slow Slow wakiaminishwa ni Ethiopia

Hii game inatumia akili zilizotukuka ndio sababu mchokoza mada alhaj Kimbisa humsikii akiongea tena 😂🇹🇿
 
Siyo ushindi tu, "collateral damage, umeshinda lakini repuation? Wewe kuitwa jambazi mtekaji, muuaji, unadhulumu watu ni sifa?

Kwenye siasa au utawala unaweza iitwa jina lolote Mkuu.
Ukishakuwa maarufu shutuma ni jambo la kawaida. Ushahidi ndio kitu pekee ambacho huondoa utata na kuondoa reputation.

Bila ushahidi maneno hayanaga maana yoyote kwa sababu mtu huweza kuzusha au kuzushiwa lolote.

Ndio maana leo kuna wanasiasa waliitwa mafisadi lakini baadaye wanasafishwa.
Lakini pakiwa na ushahidi huwezi kusafisha kitu watu wameona
 
Watanzania sio watu wakukufanya u-risk maisha yako kwaajili yao. Hilo mimi nilijifunza kitambo sana. Tena kwa ishi ndogondogo tuu achana na maduka makubwa ya kina Lisu.
Hii mindset inawafurahisha sana ccm na wale mafisadi papa! Kama wewe ni mchina, mke wako ni mwarabu na watoto wako na wazazi wako sio watanzania ndio utaona watanzania sio watu wa kuwapambania! Ila kama una damu ya kitanzania hata kama watoto wako hawaelewi unachowapigania endelea kuipigania Tanzania, ishu inakuja pale watu mnataka matokeo ya haraka bila maumivu! Wote walioamua kupambana wanajua gharama ya mapambano na wako tayari kuilipa,kazi kwenu mnaosubiri wengine wawapambanie kwa kisingizio eti watanzania sio watu wa kuwapigania, sema wewe huwezi kuipigania Tanzania kisha kaa pembeni! Kila mmoja akijitoa bila kuangalia nani yuko pembeni yake huo ni ushindi kwa nafsi ya kila mtu aliyetayari!
 
Hamjambo!

Katika vita ya mtandaoni, hasa vita maneno. Kuna kanuni zake.
Unpotupiana maneno na mtu kama unakombora kubwa kuliko haupaswi kulichelewesha sana kama vile katika vita vya silaha mfano Nyukilia ambazo hutolewa kidogo kidogo na kutokea yenye uwezo mdogo kufuatia yenye uwezo Mkubwa

Vita ya maneno ili ushinde lazima uangalie tension, shauku, hamu kubwa ya watazamaji, vita ya maneno watazamaji hutaka kusikia kombora kubwa kuliko hasa likitolewa dakika za mapema kabisa ili kumaliza kazi.
Vita ya maneno hasimu huwa na hofu ya kusemwa zile tabia zake mbaya za siri, usipomsema katika dakika za mwanzo, ukasema mambo ya kawaida. Tayari unampa mazingira ya kuzoea hofu na kisaikolojia ukishazoea hofu ya kile unachotarajia inapunguza uzito wa kombora lenyewe hata likitupwa.

Ikiwa unamchelewesha mtu katika vita ya Maneno jitahidi uwe na taarifa kubwa ya kutisha ambayo yeye(hasimu wako) anajua taarifa hiyo hauna. So inakuwa suprise sio tuu kwa Mashabiki bali hata kwa adui. Na hilo linakuwa pigo moja takatifu ambalo lazima liitwe Knock out.

Sasa Polepole press ya kwanza watu walijua atatuma vyuma vya uhakika, kisha awamu ya pili kutuma ushahidi, yeye watu wanamsubiri wakijua atakuwa na jambo zito. Akaboronga.
Watu wakasema huenda anavuta kasi, kapanga shambulizi la Pili, akaboronga.

Mpaka hasimu zake wamemdharau.
Alafu mbaya zaidi mlengwa Mkuu ambaye ni Rais yupo Kimya.
Na hili nilishaeleza kuhusu mpambano unavyokuwa.

Rais hawezi kujibu shambulizi lililopoa. Na nilimwambia kuwa ukimya wa Rais kwake auhesabu kama ishara ya hatari.

Kikawaida mtu ambaye unajua siri zake ukianzisha vita naye. Kama atakupiga shambulizi lililopoa huwezi mjibu kwani unajua hajamaliza risasi zake. Kwamba kuna risasi anayoitegemea.

Ni tofauti na Gwajima Vs Makonda. Gwajima alipokuwa katika vita vya Maneno na Makonda, Gwajima alianzia moja kwa moja kwenye kiini. Kisha akaacha ngoma imehang huku ushahidi ukiwa unafuata kwa shambulizi alilofanya.

Gwajima Vs Serikali ambao ni kivuli cha watekaji kwa Mujibu wake.
Shambulizi lake alianzia juu na hakuwa na risasi nyingine. Vita ilianza kwa tensioni kubwa.
Rais alimjibu kwa sababu alijua Gwajima amemaliza risasi zake na hana tegemeo jingine tena. Hana kipya atakachoongea.

Polepole yeye katoa shambulio lililopoa Sana. Madhara yake sio makubwa.
Hata kuzima mitandao ni hofu tuu.
Lakini ni kiashiria kuwa Polepole anataarifa nyingi na nyeti sana.

Polepole angerusha mawe mazito hata vipande nusu ambavyo vitamfanya awaabishe adui zake na awapagawishe. Kisha hatua inayofuata aseme anakuja na ushahidi ambao utawashangaza, na aseme atauweke hadharani na kila mtu atauona.
Huku akisema amebakisha vyuma vingine ambavyo vitaitetemesha nchi.

Ukishatoa madai ya kumdhalilisha hasimu wako utakuwa upo nusu ya ushindi. Kuthibitisha utakuwa umemaliza kazi.

Kadiri Polepole anavyochelewa ndivyo mashambulizi yake yanakosa nguvu.
Yaani leo hata aje aseme kitu gani hakitakuwa na nguvu ya maana kama angeshambulia mwanzoni.

Tayari watu wameshazoea, watu wameshapredict, hasimu kashazoea tension jambo ambalo kwenye vita ya maneno sio zuri.

Polepole hata zile trick za majigambo na mikwala ya kusema yeye yupo tayari kufa lakini lazima hasimu wake alale nao mbele hatilii mikazo katika laini hizo.

Yupo katika vita kubwa lakini anapambana kwa namna laini sana. Jambo ambalo unagundua kuna kitu hakipo sawasawa.

Anyway! Sisi tupo!
Na tutakuwepo!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hakujipanga kabisa pia hajui watanzania wanataka kusikia jambo gani.msmbo ya wanamtandao yameisha zoeleka sana sio mageni kwetu au kumjibu Rostam kila mtu anajua ni fisadi papa.angetulia kwa sasa.pia amejimaliza kisiasa hakuna kiongozi wa kuamini keshaonekana ni Snitch.
 
Huku Polepole Kule Mnaitwa Mahakamani Dodoma,ebu Ngoja Sisi Tunaangalia Tu Hizo Trailers Zenu.
 
Hamjambo!

Katika vita ya mtandaoni, hasa vita maneno. Kuna kanuni zake.
Unpotupiana maneno na mtu kama unakombora kubwa kuliko haupaswi kulichelewesha sana kama vile katika vita vya silaha mfano Nyukilia ambazo hutolewa kidogo kidogo na kutokea yenye uwezo mdogo kufuatia yenye uwezo Mkubwa

Vita ya maneno ili ushinde lazima uangalie tension, shauku, hamu kubwa ya watazamaji, vita ya maneno watazamaji hutaka kusikia kombora kubwa kuliko hasa likitolewa dakika za mapema kabisa ili kumaliza kazi.
Vita ya maneno hasimu huwa na hofu ya kusemwa zile tabia zake mbaya za siri, usipomsema katika dakika za mwanzo, ukasema mambo ya kawaida. Tayari unampa mazingira ya kuzoea hofu na kisaikolojia ukishazoea hofu ya kile unachotarajia inapunguza uzito wa kombora lenyewe hata likitupwa.

Ikiwa unamchelewesha mtu katika vita ya Maneno jitahidi uwe na taarifa kubwa ya kutisha ambayo yeye(hasimu wako) anajua taarifa hiyo hauna. So inakuwa suprise sio tuu kwa Mashabiki bali hata kwa adui. Na hilo linakuwa pigo moja takatifu ambalo lazima liitwe Knock out.

Sasa Polepole press ya kwanza watu walijua atatuma vyuma vya uhakika, kisha awamu ya pili kutuma ushahidi, yeye watu wanamsubiri wakijua atakuwa na jambo zito. Akaboronga.
Watu wakasema huenda anavuta kasi, kapanga shambulizi la Pili, akaboronga.

Mpaka hasimu zake wamemdharau.
Alafu mbaya zaidi mlengwa Mkuu ambaye ni Rais yupo Kimya.
Na hili nilishaeleza kuhusu mpambano unavyokuwa.

Rais hawezi kujibu shambulizi lililopoa. Na nilimwambia kuwa ukimya wa Rais kwake auhesabu kama ishara ya hatari.

Kikawaida mtu ambaye unajua siri zake ukianzisha vita naye. Kama atakupiga shambulizi lililopoa huwezi mjibu kwani unajua hajamaliza risasi zake. Kwamba kuna risasi anayoitegemea.

Ni tofauti na Gwajima Vs Makonda. Gwajima alipokuwa katika vita vya Maneno na Makonda, Gwajima alianzia moja kwa moja kwenye kiini. Kisha akaacha ngoma imehang huku ushahidi ukiwa unafuata kwa shambulizi alilofanya.

Gwajima Vs Serikali ambao ni kivuli cha watekaji kwa Mujibu wake.
Shambulizi lake alianzia juu na hakuwa na risasi nyingine. Vita ilianza kwa tensioni kubwa.
Rais alimjibu kwa sababu alijua Gwajima amemaliza risasi zake na hana tegemeo jingine tena. Hana kipya atakachoongea.

Polepole yeye katoa shambulio lililopoa Sana. Madhara yake sio makubwa.
Hata kuzima mitandao ni hofu tuu.
Lakini ni kiashiria kuwa Polepole anataarifa nyingi na nyeti sana.

Polepole angerusha mawe mazito hata vipande nusu ambavyo vitamfanya awaabishe adui zake na awapagawishe. Kisha hatua inayofuata aseme anakuja na ushahidi ambao utawashangaza, na aseme atauweke hadharani na kila mtu atauona.
Huku akisema amebakisha vyuma vingine ambavyo vitaitetemesha nchi.

Ukishatoa madai ya kumdhalilisha hasimu wako utakuwa upo nusu ya ushindi. Kuthibitisha utakuwa umemaliza kazi.

Kadiri Polepole anavyochelewa ndivyo mashambulizi yake yanakosa nguvu.
Yaani leo hata aje aseme kitu gani hakitakuwa na nguvu ya maana kama angeshambulia mwanzoni.

Tayari watu wameshazoea, watu wameshapredict, hasimu kashazoea tension jambo ambalo kwenye vita ya maneno sio zuri.

Polepole hata zile trick za majigambo na mikwala ya kusema yeye yupo tayari kufa lakini lazima hasimu wake alale nao mbele hatilii mikazo katika laini hizo.

Yupo katika vita kubwa lakini anapambana kwa namna laini sana. Jambo ambalo unagundua kuna kitu hakipo sawasawa.

Anyway! Sisi tupo!
Na tutakuwepo!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Je kombara la kifo cha JPM na kombora la wasiojulikana wa Samia ...wewe huoni ila madhara yapo ndiyo maana unamuona hule muhuni kwa mara ya kwanza kajitokeza ..ROSTAM AZIZI kumjadili Polepole.
 
Huyo katumwa na sisiemu ili kuua ajenda ya NRNE na amefanikiwa kwa 70% mpaka sasa .

Na Lissu soon watu watamsahau Tanzania ni nchi ya watu wajinga
Lisu kusahaulika imeshindikana, cdm kufa imekuwa mgumu zaidi. Maana kila wakiingia kufanya mikutano hamasa yao kwa umma inazidi kuwa kubwa. Kuna mambo yanakwenda na kizazi na huwezi kuyazui, mambo hayo ni mabadiliko.
 
Sawa je Polepole yupo sahihi?.
 
Madam tumefika Polepole vs Aziz basi huyo Slow Slow yuko mbele ya muda

RA huwa hatoki hadharani bila kutikiswa akatikisika yaani huwezi kumsikia anamjibu Uchwara yoyote
Wewe leo nani kakujaza asilimia 4% ya akili yangu... Watu wameshindwa kutambua vipi Rostam Azizi kwa mara ya kwanza anajitokeza dhidi ya Polepole... Niliwaambia kuwa TZ tupo mikononi mwa raia feki, hivyo kuua wazalendo kwao ni ajenda namba 1. Nilieleza hapa kuwa kifo cha Mtikila kuna uwezekano wa asilimia 90 Rostam Azizi na genge lake la raia feki waliusika... Leo umeweza kutumia akili kwenye hii comment ✅
 
Back
Top Bottom