Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,846
- 90,306
- Thread starter
- #121
Kumbuka ana viapo vya kutunza siri za mambo aliyoyajua akiwa ndani ya serikali, hivyo usitarajie kuwa atapiga kombora mchana kweupe. ( anasema kufanya hivyo kunaweza kupelekea kifungo cha atmost 25 years). Kama ni mtu wa code naona anaeleweka tu vizuri hizo hints zinatosha.
Sidhani kama atafikia malengo yake hata kwa asilimia 20