Pray for my dady

Pray for my dady

Inategemea kansa iko stage gani. kama nistage one or hata two ondoa shaka inatibika na dingiataendelea kula chumvi. Kama ni tertiary au stage four hapo inabidi muwe karibu sana nae. All in all muwahishe ORCI mapema.
 
Pole sana. Yupo Pamoja katika sala.

Sent from my Lumia phone using Tapatalk
 
After loosing ma mumy 2012
ma gmother 2013
leo tena ma dady amekutwa na cancer
mungu tuokoe na haya majaribu
popote ulipo tusiache kuombeana cc kwa sisi

Pole Sana Pdidy na Kikubwa Ni Kufanya Maombi na Kushikamana Japo Inategemeana Ni Cancer au Saratani Ya Wapi na Lini Mliigundua na Amepata Tiba Gani. Mengineyo Tumwachie tu Mwenyezi Mungu na Najua Maumivu Unayoyapata Mdau ila Jikaze, Jiamini na Simama Imara.
 
Pole Pdidy kwa kuondokewa na mumy thn we will pray for dady he will be fine...amin
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Pdidy;
Mungu yuko pamoja na nyie.
 
Last edited by a moderator:
Tuko Pamoja Ndugu.......tunamuombea apate na aendelee kuwa na afya njema.....
 
Mungu akupe amani na upendo katika kipindi hiki!!!!
Akupe uwezo wa kuayakabili haya mkuu Pdidy na wengine wakuzungukao!!!

Na amjaalie mzazi wetu huyu afya iliyo njema leo na hata siku za usoni kwani hakuna tumtegemeaye isipokuwa yeye muumba mbingu,ardhi na sisi viumbe wake!!!

Aamin
 
Ameen.
 
Last edited by a moderator:
Yeye aliyetuumba awape nguvu madaktari wanaomtibu mzee pia mwambie mzee asikate tamaa apambane huku akimtegemea mungu na anaweza kuwa na pumzi yake hadi pdidy upate wajukuu.
 
After loosing ma mumy 2012
ma gmother 2013
leo tena ma dady amekutwa na cancer
mungu tuokoe na haya majaribu
popote ulipo tusiache kuombeana cc kwa sisi

Pole sana brother, mpatieni tiba sahihi lakini kama ninavyokujua wewe ni baba wa imani, na unamjua Yesu ndio mponyaji basi tumweke mzee wetu mikononi mwake.
 
After loosing ma mumy 2012
ma gmother 2013
leo tena ma dady amekutwa na cancer
mungu tuokoe na haya majaribu
popote ulipo tusiache kuombeana cc kwa sisi
Hao wengine walifariki kwa same disease?
 
Back
Top Bottom