Pray for my dady

Pray for my dady

pole Piddy Mungu yuko nanyi na atafanya njia ya kumpponya baba yako
uwe mtu wa maombi rafiki
 
After loosing ma mumy 2012
ma gmother 2013
leo tena ma dady amekutwa na cancer
mungu tuokoe na haya majaribu
popote ulipo tusiache kuombeana cc kwa sisi
I can feel what ur going thru as am in hospital with my aunt suffering of cancer treatment complications as alishapona cuz ilikutwa stage za mwanzo. Jipe moyo naam tuombeane sisi kwa sisi daima.
 
pole mkubwa, matatizo ni sehemu ya maisha.pamoja
 
Pole sana mkuu Pdidy, mwenyezi Mungu atamponya maana nasikia Kansa ktk hatua ya awali huweza kutibika haraka iwapo mgonjwa ataanza matibabu mapema.
 
Last edited by a moderator:
Inategemea kansa iko stage gani. kama nistage one or hata two ondoa shaka inatibika na dingiataendelea kula chumvi. Kama ni tertiary au stage four hapo inabidi muwe karibu sana nae. All in all muwahishe ORCI mapema.

Hatutakufa bali tutaishi kuyasimulia makuu ya
BWANA YESU NAAMINI MAOMBI YA PAMOJA MUNGU ATAMWEZESHA TUZIDI KUMWEKA MAOMBINI
 
pole sana mkuu tuko pamoja kwa sara ,lakini fanya hima umpeleke hospitali iliyoko karibu ili apewe barua ya rufaa kwenda hospitali ya ocean road
 
Pole mpendwa, andika shida yako then tuma kwenye namba hii 0717 119966 ni kikundi cha wana mmaombi wanasaidia sana
 
Pole Pdidy, Mungu wa majeshi aishiye atawapigania katika hili. Mzee ataishi kusimulia ukuu wa Mungu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
pole mpendwa, andika shida yako then tuma kwenye namba hii 0717 119966 ni kikundi cha wana mmaombi wanasaidia sana


thx much ntatma mungu atatupitisha
 
Pole sana mkuu, wahi kujua stage ya cancer itasaidia sana katika kujua ni kipi cha haraka cha kufanya.
 
u have our prayers mkuu Pdidy . so sad u had lost ur beloved ones arleady... MUNGU AWATIE NGUVU WANAFAMILIA KTK KIPINDI CHA UGONJWA WA MZEE... closing my hands together hoping ugonjwa uko ktk early stages na utatibika..
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mungu akupe nguvu ya kuuguza na ampe uzima mrefu mzee wako
 
Back
Top Bottom