Pray for my dady

Pray for my dady

Pdidy pole sana
Mungu ni mwema atamsaidia
 
Last edited by a moderator:
poleni sana jamani hii ni mitihani ya dunia ni vema kuwa na moyo wenye kurudi kwa mwenyezi Mungu na kupiga goti kwake hakuna linaloshindikana.
 
pole mkuu jipe moyo munguwanamaksudi kwa hayo yatokeayo, eemwenyezimungu kamponye BABA YETU.
 
Pole sana,tupo pamoja katika sala,mwamini mungu sana katika kipindi atokuacha kwamwe,kwani ametuahidi
 
After loosing ma mumy 2012
ma gmother 2013
leo tena ma dady amekutwa na cancer
mungu tuokoe na haya majaribu
popote ulipo tusiache kuombeana cc kwa sisi
Pole sana, hayo ni majaribu ya Mungu lakini usikate tamaa maana Mungu haachi kutoa njia ya faraja.
 
Pole sana ila kumbuka kuna wakati hawa madakitri wetu wanaweza wakakwambia kitu ukadhani ni kweli kumbe hakuna loloteeeeeeeee, ungekuwa na pesa panda ndege mpeleke baba yako India... kwa uangalizi zaidi, hapa watu wanadesa sana kwenye mitihani na wanafanya makosa kibaoo makazini. Nawajuwa watu wengiiiii waliambiwa wana cancer, etc etc kumbe siyo kweli. Hapa Bongo ni nomaaaaa...
 
pole sana.. usisahau kila jambo linatokea kwa utukufu wake yeye Mungu..
 
After loosing ma mumy 2012
ma gmother 2013
leo tena ma dady amekutwa na cancer
mungu tuokoe na haya majaribu
popote ulipo tusiache kuombeana cc kwa sisi
Pole sana mkuu. Tunamwombea katika jina la Yesu aliye hai amemponya. Mungu ni Mwaminifu na Mwema kwetu anatupigania.
 
Pole sana, Mungu akutie nguvu na kukupa faraja katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom