Nilivyokua nasoma sms za watu kuwa watu watakua wengi, ooh watu wameitwa ambao hawakufanya written ya kwanza, si kweli jaman watu mumuogope mungu, kumbe ppf walikua wanaawandikia ata wale walioshindwa kuingia awamu ya pili, zaidi nimeona humu kuna watu wapotoshaji, mfano hai kuna mtu kanionyesha sms kuwa hakubahatika kuitwa second interview ya member care trainee. Ila leo tuko wachache kulingana na siku ile, ila hatujajua tunafanya oral ama written tumekaa tunasubili.
Hahaaaa
Kwa haya maswali ya Leo :
Mandela alifariki tar ngap, mwez na mwaka
mmmmmh
Swali la pili general director wa SSRA ni nan??
Jina la Chairperson wa PPF
Mbunge anayezikwa Leo anaitwa nani??
Mtangaza nia wa 40 wa ccm ni nani???
Jina la msajili wa vyama vya siasa
Mtihan dakika 20
Sasa Maswali kama hayo wanakuwa wanapima kitu gani hasa?
Swali la pili general director wa SSRA ni nan??
Jina la Chairperson wa PPF
Mbunge anayezikwa Leo anaitwa nani??
Mtangaza nia wa 40 wa ccm ni nani???
Jina la msajili wa vyama vya siasa
Mtihan dakika 20
Swali la pili general director wa SSRA ni nan??
Jina la Chairperson wa PPF
Mbunge anayezikwa Leo anaitwa nani??
Mtangaza nia wa 40 wa ccm ni nani???
Jina la msajili wa vyama vya siasa
Mtihan dakika 20
Huo ni ubabaishaji tu. hapo sasa wana angalia nini? Kuna zile aptitude TEST za online bora wangetumia zile
Hahaaaa
Kwa haya maswali ya Leo :
Mandela alifariki tar ngap, mwez na mwaka
Kweli Mkuu?..
Swali la pili general director wa SSRA ni nan??
Jina la Chairperson wa PPF
Mbunge anayezikwa Leo anaitwa nani??
Mtangaza nia wa 40 wa ccm ni nani???
Jina la msajili wa vyama vya siasa
Mtihan dakika 20