dicson donald
Member
- Mar 31, 2015
- 7
- 4
Ni oral,ata waite mtu buku haibadlishi theme ya interview kua oral
Mungu awatangulie wote mliobahatika kuchaguliwa tena kwa mara hii ya pili. Mzidi muomba awasimamie tena kwa hii ya pili. ila kwa bahati mbaya sijatumiwa msg kwa hii ya pili ila Namshukuru Mungu hata kwa experience Niliyopata kwa mara ya kwanza.
NSSF ilikuaje?
ww muongo acha kuwapa taarifa watu uongo,nani kakwambia wameshotlist watu 40?mm niko huku ppf nyie jiandaeni ni oral interview na kila mtu ktk postion yake aliyeomba kuna majopo ma8,ndani ya saa moja watu walioitwa ktk interview ya postion yako lazima wamalizwe
Oral ifanyike hapo elimu ya watu wazima na sio HQ jamani. Mbona inakuwaga pale HQ samora jamani. Tusilishane matango hapa watu tukavunja kabati mwisho wa siku ikawa chenga..
Sema wewe kaka
Hamnaga hyo.we walioitwa unajua ni wangap au unaongea tu
Ni kweli watu wote tu wameitwaa mi mshikaji wangu first interview hakufanya ila kaitwa tena for 2nd interview.......Kwaiyo jamaa wanafanya michezo tuTumekupata mkuu kila mtu katumiwa itakuwa yale yale ya DUCE wameona paper ilikua rahisi sana,sasa wanatafuta vigezo vya kupunguza watu.
Sio meseji za Oral,wameita wotee tu mi mshikaji wangu aliitwaga First interview ila hakuudhuria ila this time 2nd interview katumiwa meseji kuwa ahudhurie 2nd interview trhe 27/06 Taasis ya Elimu ya watu wazima kwaiyo hamna kitu hapo ni wooooote tu kama kuna aliok o mkoani atulie tu asikilizie chance zingine izi hapa jamaa wanafanya michezojaman ppf wameanza kutuma message za oral.
humu ndani watu wengine wanawatia presha wenzao tu .....mtu hana data anaropoka tu
Sio meseji za Oral,wameita wotee tu mi mshikaji wangu aliitwaga First interview ila hakuudhuria ila this time 2nd interview katumiwa meseji kuwa ahudhurie 2nd interview trhe 27/06 Taasis ya Elimu ya watu wazima kwaiyo hamna kitu hapo ni wooooote tu kama kuna aliok o mkoani atulie tu asikilizie chance zingine izi hapa jamaa wanafanya michezo