segere
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 539
- 262
Sitanii eti
.duh!!! hatari kwelikweli, poleni sana, kwa dak 20 hizo unaweza toka ukiwa umeandika jina tu.
Sitanii eti
.duh!!! hatari kwelikweli, poleni sana, kwa dak 20 hizo unaweza toka ukiwa umeandika jina tu.
Hiyo ilikua ya kwanza ya pili ndio kiboko...mkuu...sina hata ninalolifahamu
Hiyo ilikua ya kwanza ya pili ndio kiboko...mkuu...sina hata ninalolifahamu
Swali la pili general director wa SSRA ni nan??
Jina la Chairperson wa PPF
Mbunge anayezikwa Leo anaitwa nani??
Mtangaza nia wa 40 wa ccm ni nani???
Jina la msajili wa vyama vya siasa
Mtihan dakika 20
Nipe maswali mawil mkuu ili nicheke peke angu hapa
Baada ya kugoogle haya ndo majibu.
[h=1]5 December 2013 - Mandela Death
Ramadhani Khijjah - PPF Chairman
Donald Kevin Max (CCM- Geita) - Mbunge anayezikwa leo
Helena Elinewinga -Mtangaza nia wa 40 CCM
Jaji Francis Mutung -Msajili wa vyama vya siasa
[/h]
Uwiiiiiiii:sly:
Si gasy wa Ukweli huyo kagoogle majib naona yote chakaaaaa mbaya
Si gasy wa Ukweli huyo kagoogle majib naona yote chakaaaaa mbaya
Bora ww chaka,mie nimerudisha karatasi lao kama lilivo, wameniweza hatari yale mamichoro ndo yalinichosha zaidi
Kwa maana hiyo idadi ya maswali uliyoyaweka hapa ndo uliyokutana nayo chumba cha mtihani, au haya ni yale uliyoyakumbuka tu?.