framjuh
Member
- Jun 19, 2012
- 18
- 4
Yale maswali ya session ya saa 5 hayakuwa fair hata kidogo. Ile iterview haikuwa fair hata kidogo. We wanatoa mambo ya ndani kabisa ya mfuko ambayo si rahisi kwa public kuyafahamu. Na ninaamni hata baadhi ya staffs wao hawayajui. Shenzi kabisaaaaaaaaaaa..
Kabisa mkuu ya saa 5 haikua fair kabisa, sijui walikua wanafikiria nn, yaani hata tungepewa masaa 3 sidhani km 2ngeyapata yale maswali, wamejua kutupunguza